anko akiwa na wanahabari wengine na nyota wa enzi hizo wa soka george weah alipokuwa bongo miaka hiyoooooooo.... wenye data zaidi na majina msaada tutani. mie naanza na juma pinto aliyesimama kuumeni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. yule dada ni Shyrose banji.

    ReplyDelete
  2. Namuona Abdallah Majura Nyuma Ya Anko nanihii.

    ReplyDelete
  3. Watano kutoka kulia nyuma ya Weah ni Aboubakar Lyongo, wa nyuma yako kaka Michuzi ni Abdallah Majura na kulia kwako ni Shyrose Bhanji. Du kumbe huyu dada ni wa siku nyingi kwenye fani maana wakati ule mie kabla sijaacha uandishi nilikuwa nakutana nae sana maelezo nikawa nafikiri labda sio mwandishi wa siku nyingi. RESPECT SIS SHYROSE.

    Wengine nawajua kwa sura majina yao nimeyasahau nadhani wadau wengine watasaidia. Bro Michu unaonekana ulikuwa very smart toka zamani Keep It Up.

    ReplyDelete
  4. Naona Shy Rose Bhanji na Abubakar Liongo

    ReplyDelete
  5. Nyuma ya Weah kushoto sio Liongo yule?

    ReplyDelete
  6. Nyuma ni Aboubakar Liongo na Abdalah Majura wakati huo wakiwa RTD. Sasa Liongo yuko DW-Radio, Ujerumani na Majura yuko BBC-London. Mbele alichuchumaa ni Jabir Idrissa wakati huo akiwa gazetu la Uhuru sasa yuko Mwanahalisi

    ReplyDelete
  7. Shy-Rose, Majura, Michuzi nyuma ya Weah ni Liongo. Ila jamani kweli generation inabadilika watu zamani walikuwa na sura mbaya hebu semeni wenyewe

    ReplyDelete
  8. Hivi Miss Bhanji akiangalia picha hii na ile ya vakesheni yake kule anasemaje

    ReplyDelete
  9. Aliekuwa ameshikwa begani na George Weah ni marehemu Francis Lucas nadhani, alikuwa mpiga picha wa habari pia katibu mwenezi wa Yanga, sinauhakika sana,

    ReplyDelete
  10. hahaaaa namuona juma pinto hapo du watu wanabadilika kishenzi.

    ReplyDelete
  11. mbona Juma Pinto (kulia) hamkumtaja? au mmemsahau yule mwenye gazeti la Jambo?

    ReplyDelete
  12. Jaffarai alikuwa amekwisha zaliwa hapo?

    ReplyDelete
  13. Anko michu... kumbe una sura mbaya sana kaka,bora uje huku ubebe box...shwaini wewe

    ReplyDelete
  14. Someni ya juu kwanza Juma pinto hakutajwa sababu jamaa kasema anamjuwa Juma Pinto wengine tajeni nyie.

    ReplyDelete
  15. baada ya juma pinto anayefuata ni jerry koto mtoto wa tmk kwa wajanja.
    Mdau USA!

    ReplyDelete
  16. jaffarai alikuwa na mwaka mmoja wakati picha hiyo ikipigwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...