Home
Unlabelled
chikawe azindua cheti kipya cha kuzaliwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Utaalamu wa Hali ya Juu??
ReplyDeleteNi upi hapo wakati naona bado ni
"gazeti" lile lile la Mzalendo!!
Wakitengeneza "Electronic Birth
Certificate Card" hapo ndo tuite
utaamu.. Watu wanatengeneza pesa
fake ndo ije kuwa hilo Gazeti??
ACHA MASIHARA MICHUZI.. hiyo ni deal tu printing imetengenezwa watu wapate pesa za Kampeni.
Tatizo sio Cheti kiko katika form gani bali ni culture ya rushwa iliyoshamiri katika jamii .
ReplyDeleteHapo hapo vizazi na vifo ndipo hapo hapo vyeti vya kuzaliwa vinapouzwa. Hiyo ni 2+2-4=? jibu mnalo wadau
ReplyDeletehaya kaka michuzi tuulizie taratibu za kupata vyeti vipya tufanye nini turudishe vya zamani tupewe vipya??????
ReplyDeleteau vitapatikana kwa dili kama passport bila mlango wa nyuma hupati????????
na kwanini wasitoe na vitamburisho vya uraia kabisa kwani ni kazi kubwa kutengeneza????????
mbona nchi zote duniani zina vitamburisho vya uraia vimetengenezwa kwa kadi za prastic
hata huko zenji kuna vitamburisho vyao vimeandikwa kitamburisho cha uzanzibar
haya twendeni tu labda tutafika.
mdau wa mahakama kuu ya dunia.
Eti utaalamu wa hali ya juu ili kuzibiti kanyaboya hao wenyewe makanyaboya tusubili tuone
ReplyDeleteanacheza njia ya kudhibiti vyeti feki ni kuifadhi vizuri kumbukumbu.
ReplyDeleteInamaanisha vile tulivyonavyo havifai tena au ndo nini?
ReplyDeleteKwa mbogo wa karne ya 21 'utaalamu wa hali ya juu' ni kuandikwa kwa kingereza tu. basi kwake amemaliza!!!!! ulimbukeni mtupu.
ReplyDeletelabda kama wanatengenezewa watu wa Dar tu ambao ndio wanahua ung'eng'e. asilimia 80 ya wabongo wako vijijni na lugha wanayojua ni kiswahili
Hicho cheti kilipaswa kuwa na lugha mbili kama zilivyo pasipoti.
nina paspti yangu hapa na ina "surname/jina la ukoo"; "nationality/utaifa" nk
MIMI NATAFURA MAKARATASI SIJUI NITAPATJE,ET JAMANI KUNA MDADA HAPA WA WATANZANIA WA KUOA MAANA NA NDOTO ZA KUSHI TANZANIA.SASA HICHO CHETI MBONA ITAKUWA NGUMU KUOMBA KAZI WAJAMINI.
ReplyDeleteDesparete for makaratsi-rwandese
we mdau wa mahakama kuu ya dunia sio kitamburisho ni kitambulisho! L L L L hii ndiyo L L L ipo kama mkwaju L L L
ReplyDeletemwalimu wa a e i o u
We Anon wa 11.29.00am Mdau wa mahakama kubwa kuliko zote ulimwengu sio hakimu yeye.pale ni korokoroni tu kwahio kukosea L kuwa R usishangae msamehe kwa makosa hayo si dhani kama atarudia tena manake kule naona ana ongea Dutch sana kuliko kiswahili amepitiwa msamehe manake umekuwa kama mwalimu wa upee ama
ReplyDeleteNA WEWE MDAU WA 04:37 NI KWAHIYO SIYO KWAHIO, NI KUPITIWA TU.
ReplyDeleteNadhani sahihi mngesema sasa vyeti vya kuzaliwa ni vya lugha ya kiingereza tu, sio eti 'vya utalaam wa hali ya juu' hapo mtaeleweka.
ReplyDeleteWATU HAGUSHI VYETI HUWA WANANUNUWA VYETI HALALI TOKA KWA MAOFISA HUSIKA SO THERE IS NO PANACEA UNTIL YOU CURB CORRUPTION AND THAT WILL BE A MEDICINE FOR ALL EVILS. DAWA NI KUIKABILI RUSHWA NA SI VINGINEVYO KWANI NIMEONA WATU WENGI WAKINUNUWA VYETI HALALI NA PASSPORT HALALI TOKA OFISI HUSIKA
ReplyDelete