jamil & michael on their wedding day
If the community has ever come close to having a celebrity- married couple then Jamil Smith Cole and Michael K. Cole are it. At first glance you probably might not recognize this couple without the backdrop of the lavish wedding ceremony that's been seen all over the internet in recent weeks.

The couple's wedding photos were stolen from their Facebook profile and posted on numerous blogs and they immediately became the targets of praise and unwarranted controversy.But here on loldarian.com we will focus on the courage Jamil & Michael have shown by sharing their love publicly without apology, while teaching us a thing or two about true love as our latest couple to be featured in our popular "Couple Up" series.


For more






























Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 78 mpaka sasa

  1. kiama kimefika mwenyezi mungu atunusuru viumbe wake, haya mambo si ya kawaida.

    ReplyDelete
  2. Tuombe Mungu tusishuhudie haya Tanzania yetu Jamani.....
    Sasa hao wanawake wasimamizi wamewaweka wa nini,?????????????????? Na wao wanakubali tuu.

    ReplyDelete
  3. MICHUZI NAOMBA ONDOA HABARI HII HAINA TIJA KWETU TAFADHALI.

    ReplyDelete
  4. Kama mambo hayo yanafanyika huko Marekani basi hakuna shaka Tz yapo njiani Mungu tuepushie mbali ,kwani akili za wa Tz wengi wanimani west ndio kigezo cha maisha

    ReplyDelete
  5. By the way Who`s mumy nad who`s dady?

    ReplyDelete
  6. HAKUNA UBAYA WOWOTE I THINK YOU GUYS ARE JUST JELOUSY THAT IS IT. KWANI MAANA YA KUSHIBANA NI NINI? HAWA WATU WAMEPENDANA SO GUYS LEAVE THEM ALONE, IT IS NONE OF YOUR BUSINESS. WE HAVE THESE PEOPLE HERE IN WICHITA AND THEY ARE HAPPY PEOPLE IN FACT SOME ARE MY BEST FRIENDS. WIVU TU UMEWAJAA....

    ReplyDelete
  7. Laanakum! Aki hawa ni risasi tu!

    ReplyDelete
  8. Yaani binadamu tumefikia mahali tuna msahihisha mwenyezi mungu na kumlekebisha na kumuona kuwa amekosea kutuumba tulivyo. hii ni kufulu kubwa sana. mijitu imepanda juu vizuri lakini bure kabisa na hilo dume jike ndio hovyo kabisa. Eee mola tusamehe viumbe wako

    ReplyDelete
  9. isiwasumbue, siyo kila mtu anaamini mungu kama nyie, kuoana hawa inawasumbua nyie binafsi nini? Dunia haikukuchagulia mke wako, kwanini hao waambiwe nani waishi nae?

    ReplyDelete
  10. Ain't this some shit?

    ReplyDelete
  11. Jamani! Mwanaume ni yupi na "mwanamke" ni yupi?

    ReplyDelete
  12. yaani nimesikia kinyaa ptuuu!!! yaani na kuna wahudhuriaji kibao hapo....vichwani with imagination kwamba aft wedding ni honey moon kulipa fadhila za mahari uuuwiiii...kweli we have to pray jamani dunia imekwisha damn it!!!

    ReplyDelete
  13. Hakika huu ni msiba mkubwa sana kwa wanadamu, yaani vile Mungu alivyokuumba unaona si sahihi, na hawa ndo wanaotuletea mateso hapa duniani, mara jua kali, hamna mvua, kwa huu ushenzi wao, ewe Allah tunusuru.

    ReplyDelete
  14. Dunia imekwisha sasa na ao wapambe wanaona raha kabisha kusimamia au walilipwa mana mimi siwezi ata kwa bakora kusimamia ndoa iyo haramu

    ReplyDelete
  15. WAACHENI WAJILE URODA...HII NDO DUNIA...TOKA ILIVYOANZA NA ITAENDELEA HIVYO HIVYO AT LEAST SIYO EPA NA BOT

    ReplyDelete
  16. Tuache unafiki, Dunia nani kakuambia kuwa inaisha leo???? acheni watu waishi wanavyopenda, kama wewe unaona haifai acha, anayeona inalipa Poa. Maisha ni kuchagua na kuchagua ni Kupanga hakuna mstari wa kufuata. Hongera Maharusi.

    ReplyDelete
  17. sijaona cha ajabu.. labda sababu naishi Europe.
    Au sababu ni weusi?
    bongo kwenyewe mmejaa kibao mnaogeuzwa, na wengi wenu mna wake na watoto.. halafu kwenye mmablogu mnajidai kiama kimefika.. hakuna cha kiama wala nini... hayo mambo yamekuwepo miaka yote sema tu these days people are more free to express themselves...

    ReplyDelete
  18. kama allah (sw) aliwagharikisha kaumu lut sijui hawa atawapa adhabu gani, kweli mola ana subra kwa waja wake.
    mungu atawalipa wanachostahili.

    ReplyDelete
  19. kiruuuuuu.... nahisi na mimba itakaa mgongoni manake maungo yake ya uzazi yako nyuma! pole wee mama mzaa chema ila inauma sana jamani unazaa dume lako la mbegu la kuendeleza ukoo halafu mtu analitolea mahari. sodoma na gomora ilianza hivihivi
    miss michuzi

    ReplyDelete
  20. Ni wagonjwa hawa!

    ReplyDelete
  21. Michuzi sasa unatuwekea ya nini hapa? Huoni kuwa una-publicise tena bila gharama huu ufirauni? Washindwe na walegee. Huyo anayemwingilia mwenzie apate erectile dysfunction ambayo haitibiki hata kwa viagra.

    ReplyDelete
  22. nyie wanaume msio tosheka sijui mnataka matundu mangapi mpaka mbanwe kwenye madudu yenu ndio mkome mtu hutosheki na mkeo una taka na wanaume hapohapo mkeo akikupa kunako stahili hutaki unataka nyuma.nataka mungu awabadilishe wanawake wawe wanaume na wanaume wawe wanawake kwa mwaka tuwafanyie wanayotufanyia sisi waone tunavyoteseka.ningekua mungu mimii ningewa nyofoa hayo madudu yenu kwa hasira nilizo nazo.mnabaka hadi watoto wenu wakuwazaa tena wa miaka miwili,minne nakuendelea hamoni aibu kuwauwa watoto kwanini msibake wakubwa siwapendi ningekua raisi nikunyongwa tu.michuzi uitoe usiitoe ujumbe umekufikia hata wewe,utawaambiawenzio.

    ReplyDelete
  23. Harusi imependeza, you cannot take that away from them. Yanatuhusu nini? kila mtu ataenda na mzigo wake mbele ya Mungu. Hata kama wanakosea, siyo kazi yetu kuwahukumu hapa duniani. Mwachieni Mwenyezi Mungu awahukumu kama wamekosea

    ReplyDelete
  24. Inatokana unakaa wapi, hayo mambo ya kawaida kwenye Western countries. Bongo tuko brainwashed na dini ambazo hazina asili yetu. Na tumezichukilia serious kuliko waliozileta

    ReplyDelete
  25. Ee Mwenyezi Mungu nakulilia naomba niokoe mimi, familia yangu katika dhahama hii.

    ReplyDelete
  26. VIWANJA VYA TGNP TULIONA NA KUSIKIA VITUKO VYA HAPA TANZANIA KUHUSU USHOGA. WATANZANIA TUOMBE SANA KWA MOLA

    ReplyDelete
  27. Yaani Hawa ndio wanatufanya mpaka tuone kwamba kuna dhambi kubwa na ndogo, wakati kumbe dhambi ni dhambi tu. Mambo gani haya jamani? Yesu atusaidie

    ReplyDelete
  28. Yes, mbona ni vitu vya kawaida sana huku USA, tena hicho kichwa cha habari hapo juu ungepingwa sanaaaa....Miss California alipoteza ushindi wa Miss USA kwasababu alijibu kwamba anaamini ndoa ni kati ya mwanamke na mwanaume...na kuna states zinaruhusu kabisa...wenyewe wanaamini haki sawa kwa kila mtu.....tena wanaruhusiwa kuadopt watoto wakitaka....President Obama anabelieve ndoa ni kati ya mwanamke na mwanaume lakini anasema hawa watu wasinyimwe haki zao kama wengine.....upo hapo?...any way, Congratulation Mr. Obama for winning the NOBEL PEACE PRIZE!!!!........

    ReplyDelete
  29. *mwali huyooo embe dodoooooo...jamaa anafaidi

    ReplyDelete
  30. pole sana nyie mnaoupinga ushoga, hakuna aliyependa kuwa shoga bali ni Mungu aliwaumba hivyo! ni sawa na kuzaa kilema kwa hiyo hayo yote ni kazi ya Mungu! kama kijana wako amukuwa akakwambia siku moja kuwa yeye hana haumu na wanawake utamkana? ofcourse not! ni maumbile waafrica!

    ReplyDelete
  31. yaani hapo wote ni mashoga mpaka hao mabest kwa msiojua hao mabest ndio ma ladyboy au shemales. Hizi ndoa hata bongo zipo ila huwa zinafanyika kisiri sana

    Fri Oct 09, 05:12:00 PM, muogope mungu wako

    ReplyDelete
  32. Natamani niwacheke, lakini ukiwatizama tu unatamani utapike! Sijui akili zimewatoka! au wanawake wamewachoka! ah!Yani, how can ulive with somebody having everything just like you! are u insane guys!Eti halafu jamila! dah, jamila anatisha kama GANGSTAR!! MICHUZI PLZ REMOVE THIS AUKWARD NEWS

    ReplyDelete
  33. Mtu kama unalaana ndio utasema dini ni Asili dini si Asili ilishuka tu sawa na kusema Kuwacha kusoma masomo ya dunia sababu yalianzishwa na watu wa Nje wacha kuwa kichwa Nazi na kusema Dini ni Asili. Dini imeshushwa tu Middle East ila na Ya kila mtu Muumba ni mmoja tu.

    ReplyDelete
  34. wewe bishote wa wichita sijui mbona unasifia sana mvua imekunyeshea nini? lol!

    ReplyDelete
  35. Fri Oct 09, 05:12:00 PM Nazani ulivyotaka kuwafahamisha watu hapa sivyo unavyojuwa Akilini.

    Kuwashoga sio Kuumbwa na mwenyezimungu.

    Kama umezaliwa Kilema cha uume si ndio utembee na mwanaume imelaaniwa mtu wa Hivyo Ila kweli ukilema wa Kiume upo na si Ndio si mwanaume ni mwanaume tu atulie amuombe mungu afanye yale mwenyezi anataka ajiepushe na mabaya.

    Pale sasa unapokuwa na Mwanaume kwa Mwanaume Kumelaaniwa na Mwanamke na Mwanamke kumelaaniwa.

    Uume usipofanya kazi si kwamba ndio shoga au msenge ila kama ndio utajihusisha na mwanaume ndio ushoga unapokuja na laana inazidi.

    Wanaume na Wanawake tujiepushe sana. watu kama hawa nikukaanao chini kuwaeleza makosa yao basi. James

    ReplyDelete
  36. mimi naona mnawaonea wivuuuuuuu tuuuuuu jatianeni yakwenuuuuu....

    ReplyDelete
  37. Hapa Marekani, waMarekani weusi wanachukia sana habari ya ushoga/usenge. Hawaongelee kabisa au wanawatenga. Matokeo yake hao gays wanatembea na watu walio (straight) na kusambaza UKIMWI. Na siku hizi hao Gays wana haki zao. Usithubutu kuwasema vibaya, utakosa kazi! Ukweli wako kibao! Mimi ninakaa Cambridge, MA na mji wetu ulikuwa wa kwanza kuruhusu Gays kufunga ndoa hapa Marekani. Nilishangaa kuona idadi ya weusi Gays waliojitokeza kufunga ndoa, wanawake na wanaume! Zaidi ya nusu ya wana Halmashauri ya mji wa Cambridge ni Gays. Nyumba ikiuzwa inanunuliwa na gays! Kutokana na fikra za kisasa, wanajitokeza kwa wingi sasa. Ila watoto wao wanakuwa 'confused'. Wanataka kuwa Gay kufurahisha wazazi wao,lakini huko ni straight. Nawaona wengi tu hapa Cambridge. Wengi wanakuwa na watoto kabla hawaanza ugay. Watoto wengine wanakuwa adopted.

    ReplyDelete
  38. MUNGU ALIANGAMIZA ULIMWENGU KWA MAJI WAKATI WA SODOMA NA GOMORA LAKINI NYAKATI HIZI TUNAZOZIKARIBIA AMESEMA ATAUNGAMIZA ULIMWENGU KWA MVUA YA MOTO. KUTAKUWA NA KULIA NA KUSAGA MENO HAKIKA. Wanadamu tunapolisoma neno la Mungu tunaona kama ni hadithi za Halfulela Ulela....Lol!

    ReplyDelete
  39. Hakuna kiama wala nini yanaitwa maendeleo. Jamani hawa ni watu wa kawaida na wao wameamua kuishi hivyo. ni jinsi wanavyojisikia wao kumbuka mapenzi ni hisia kama unampenda mwanaume mwenzio kuliko kuishi kwa kujidanganya ukaoa wakati una wapenzi wa kiume ni bora kukubali ukweli. Jamani binadamu inabidi tubadili mitazamo yetu!!na jamani msiwahukumu hata kidogo!!!

    ReplyDelete
  40. Si mnapenda kuiga kila kitu, bongo tambarare, hayo ndiyo mambo ambayo huambatana na utambarare igeni sasa kwani samaki lazima aliwe pande zote mbili

    Mbega mweupe

    ReplyDelete
  41. samahani mkubwa michuzi mm nina swali kwa jamii yetu hii..NATANGULIZA ASHAKUM SI MATUSI....hivi kuwa gay ni kumlawiti dume mwenzio au kulawiti hata mwanamke kinyume na maumbile?manaake wengi wanapinga kulawiti lkn wanawalawiti wanawake hii nayo imekaaje sasa?ASHAKUM SI MATUSI TENA" MAKALIO NI MAKALIO TU YAWE YA MME AU MKE YOTE NI SAWA...SO WATCH OUT UR STEPS FIRST BEFORE U START BLA BLA HAPA...UKIPENDA NJIA ISIO HALALI HATA IKIWA NI KWA MWANAMKE BASI NA WEE PIA NI GAY NA KWA MANTIKI HII NADIRIKI KUSEMA THELUTHI TU LABDA NDIO SIO GAYS KWA DUNIA YETU HII YA LEO

    ReplyDelete
  42. "Kwa kuacha kwenu kukataza maovu na kuhimiza mema, adhabu ya Mungu ikija haitachagua mzuri (anayesali kimya kimya) wala mwovu (aliyekuwa msenge wazi)"----Koran.

    Hivyo kuomba/kusali haya yasije Bongo ni kazi bure,hautakubaliwa. kama unataka yasije bongo zuia yasije na funza vizazi maadili na tabia njema.

    ReplyDelete
  43. Furahisheni roho zenu ninyi mnaovutiwa na watu wa jinsia zenu. Kama uko bongo pole inabidi ujifiche bado. Ninyi watu wa dini, tambueni hizi dini za wenyewe mnazoamini ndo zinawajazeni chuki na kutamani sijui kiama na mwisho wa dunia. Ni ujinga na kukosa uelewa. Tupo wabongo wengi tu tushajinasua na minyororo ya dini na kinachotuzuia kuwafanzia watu wa jinsia zetu ni sababu hatuna mvuto nao ila kipingamizi hatuna!!

    Jielimishe utatambua kwamba kuna watu wanavutiwa na watu wa jinsia yao tangu kuzaliwa, na kuna watu wanajaribu tu kula kisamvu kama wengi wenu muwalavyo wake, au gf zenu. Wakipitiliza ndo hivyo tena.

    Dini zenu hizo ndo chanzo cha chuki sababu bitabu vyenu mviitavyo "vitakatatifu" vinawaelekeza hivyo

    Dont hate!!!

    ReplyDelete
  44. Haya sio mambo ya kuamini Mungu wala nini!! kwani mbona hatujawahi kusikia au kuona simba na ng'ombe wanakwenda kanisani au msikitini LAKINI hatujawahi kusikia mtu anayesema amewahi kuona simba madume yamepandana!!!! Sasa tutaanza kusema kuwa na mafisadi tuwaachw wafisadi kwa sababu wamezaliwa hivyo!!
    Huu ni aina ya ulemavu tunahitaji kuutafutia dawa kama tunavyotafuta dawa ya ufisadi!

    muumba apishe mbali katika hili wabongo tusije "tukaenda na wakati".

    ReplyDelete
  45. Wabongo michosho sana,sasa kwani hamjui Gays wapo na wanaishi humo humo mitaani na ni ndugu au marafiki zetu? hata mfanye nini hawa wapo walikuwepo na wataendelea kuwepo na hakuna haja ya kuwabagua au kuwaona wamelaaniwa ni maumbile yao tuu yanawafanya wapende watu wa jinsia moja na msichanganye dini maana sio kila mtu anaamini dini zenu,kwa taarifa yenu zamani mtu mweusi naye alikuwa anafikiriwa amelaanika na alikuwa anabaguliwa kila sehemu na ilikuwa ni kosa kubwa kwa mzungu kuoana na mtu mweusi na watu walienda jela kwa ajiri hiyo,Marekani sasa watu hawashangai sana haya mambo na yanakubalika kwa kiasi kikubwa na wana haki zao hawa watu...fungueni macho la sivyo watoto wenu siku watakuja kuwaambia wanapenda wa jinsia moja..mtafanya nini?waacheni waishi kwa furaha na wapeni haki zao zote!

    ReplyDelete
  46. hivi wee michuzi na akili yako, unaweka picha kama hizi ili iwe nini? situkani wala nini. hii ni globu ya jamii ambayo inafanya watu waishi pamajo wapendane kama inavyojulika mume na mke. sasa wee unaweka mme na mme ili iwe nini????
    introduction to Tz becoming like that or what?

    ReplyDelete
  47. Michuzi tunakuomba uondoe habari hii ziko habari nyingi za kuweka.

    hawa wanaosema kuwa wako Marekani ni jambo la kawaida labda nao ni mashoga ndio maana wanatetea sana.

    mnatutisha mnapokwenda Tz NA HELENI MASIKIONI KUMBE MKWISHAOLEWA HUKO ULAYA/MAREKANI?

    MICHUZI ONDOA HABARI HII KWANI HUNA HABARI ZA JOHN MASHAKA? UNAJUA KAMA WATOTO WENGI WANAINGIA HAPA?

    ReplyDelete
  48. Wewe anony wa 08:33 pm, please don't put racism and gay/lesbian/transexual issues on the same par!

    ReplyDelete
  49. Kama wachungaji kanisana wanalawitiana na kuruhusu kwa wafuasi wao, sembuse hawa wauni? nani atakemea?

    ReplyDelete
  50. WALAANIWE!!!

    ReplyDelete
  51. Ndomana Balaa za Dunia zinazidi Duh Kumbe ndio Uchumi unavyowaumiza wabeba Box huko mpaka wanaowana Wenyewe kwa Wenyeweeeeeee? Asalaleeeeeeeee Duh Rungu la kichwa KIpepe Paaaaaaaa!!!! Doh Asalale Basi tena Yesuuuuuuuuuuuuuu Weeeeeeeeeeeee Baki tu hukohuko huku kushaharibika.

    ReplyDelete
  52. Ndugu zangu watanzania,
    Hivi kweli woooooooooote mnaoshangaa mlikuwa hamfahamu kama huu ni utamaduni wa baadhani ya watu hapadu duniani.Mbona hata Tanzania utamaduni huu upo sana pamoja na kuwa hautambuliki kiofisi.Tuelewe kuwa dunia ni mchanganyiko wa tamaduni mbalimbali.Tunachotakiwa kufanya ni kuheshimu tamaduni za wenzetu kama vili wao wanavyo heshimu zetu kwa sababu "no culture is superior to another.Let us respect each other and make this world a better place to live for you and for me."

    ReplyDelete
  53. anajifanya kuwa mwanamke ni huyu mwenye ndevu nyingi,nywele zake kazichoka zimekuwa ndefu.

    pia utaona kashika ua na kuna picha koti lake linaonekana hadi miguuni.huyo mwenye mwili mkubwa ndio bibi harusi.

    Mwenyezi Mungu atuepeshe na awazindue hawa wenzetu.Tuliopo ULAYA tujihadhari na mambo haya.tutambue kuwa UTAMADUNI WETU NI BORA HIVYO TUSISHABIKIE KILA KITU.

    HAWA WAAFRIKA WEUSI WAMEKOSA MUONGOZO NA WENGI WALIKUWA JELA NDIKO WALIKOTOKA NA TABIA HIZI CHAFU.WAO WALIZALIWA SASA WAKIOANA WENYEWE NANI ATAZALIWA KUWA DAKTARI WA KUWATIBU WAO,NANI ATAKUWA ANASAIDIA WAKIWA WAZEE?
    WAO WALIZALIWA LAKINI WAO HAWATAKI KUZAA. NI WENDAWAZIMU HUU.

    ReplyDelete
  54. Nataka niwaulize nyinyi watetezi wa kinyume cha maumbile.

    Hivyo na wauwaji nao tuwaachie kwasbabu wanapenda kuaa???

    Hivyo wezi nao tuwaachie kwasbabu wanapenda kuiba???

    Hivyo na wabaguzi wa rangi tuwaachie kwasabau wanapenda kubagua???

    Hata ukienda katika Sayansi basi NATURALA LAWS zipo na ni lazima ziheshimiwe ili mambo yende kikawaida!!!

    Sheria zote zinatokana na maumbile na kutoziheshimu ni UGONJWA.

    Mgonjwa atibiwe kama hamuwezi kumtibu basi bora Mumuuwe musimwache akateseka namna hii.

    Hii ni adhabu in disguise!!!

    ReplyDelete
  55. MICHU TUWEKEE HABARI ZA CCM TU YASHIKA HATAMU,

    ReplyDelete
  56. Kwa comments nilizoziona humu, inaonekana ktk Watanzania wote, 50% ni gays. Halafu katika wale walioko USA, 85% ni gays. Si muda mrefu harusi za aina hiyo tutaziona Dar.

    ReplyDelete
  57. Pazi KibamandukaOctober 10, 2009

    anko mambo haya bongo msiyaogope, mtayazoea tuu. Kama "tumevizoea" vijanamke vilivyokonda tukavifanya ndiyo virembo, tumezoea kuvaa hereni, tumezoea kusherehekea besdei kwa keki na mishumaa (mpaka mizengwe pinda naye anafanya); tumezoea kusuka nywele watoto wa kiume; na hizi ndoa za wanaume kwa wanaume nazo pia tutaziozea tuu.

    ReplyDelete
  58. Ukipena boga, penda na ua lake. Utandawazi anaruhusu kila kitu, sasa cha ajabu nini hapa? Muziki hip hop, techno watu wanaona sawa, sjiju pochi za Gicci, sport wear adidas mara makalio ya Lopez ndio standard, tunafurahia. Wakija hawa kelele! Tuache double standards!!!!

    ReplyDelete
  59. kuvaa heleni asili yake ni kujitambulisha wewe shoga.

    ReplyDelete
  60. Kwa nini munapinga wakati makanisa yameshabariki hii michezo?

    ReplyDelete
  61. HII NI KITU YA KAWAIDA KWANI HAPO DAR KUWA MASHOGA WANGAPI WANALIWA UANI, NIMEFANYA KAZI SAUDI ARABIA KWA MZEE TAJIRI MWENYE WANAWAKE WANNE NA BADO NILIKUWA NAMPELEKA KWA WATOTO WA KITHAILAND KUWALAWITI KWENYE MAHOTEL MAKUBWA YA KIFAHARI, NA MZEE NI SWALA TANO MTU, SAUDI BOYS FROM THAILAND WAKO KIBAO WAMEWEKWA VIMADA NA MATAJIRI WAZEE, WENYEWE WANASEMA THOSE BOYS NI WATAMU KULIKO WAKE ZAO, NI KITU YA KAWAIDA IKO DUNIANI KOTE SEMA SISI NI WANAFIKI TUNAFICHA WENZETU HAWAFICHI.

    ReplyDelete
  62. Often times people tend to confuse the U.S. and the World, as if to say that the U.S. is the World: What happens in the U.S. happens everywhere else in the World. This is not true, infact it's the biggest mistake a person with a narrow mind could make. Having said so, these homosexual tendecies which seem to be spreading fastly in the Western countries, do not speak for the rest of the world. They might easily spell the end of the Western civilizations as we have known for years, but they do not speak for the whole world. So my people, get rid of that mentality that the Western countries[White People]hold the clues for the survival or the end of the world. The world will be here, and it's your responsibility to show resoluteness and belief in your ageold customs and traditions, traditions which hold the sanctity of marriage as a union of a man & a woman. Man & Woman. As long as Africa in general remains neutral, and Tanzania in particular remains neutral, free from these evils of the West, I'm never disturbed by incidents like these. Thanks.

    ReplyDelete
  63. JAMANI,JAMANI,JAMANI,JAMANI...NENO LA MUNGU LA SEMA "OLE WENU NINYI MNAO ISHI KINYUME NA MAADILI YANGU-NYAKATI ZA MWISHO ZIKIFIKA NITAWAKANA"..HAIJALISHI WEWE NI MUISILAMU,MKIRISTO,MPENTECOSTE,HUNA DINI AU ANYTHING...NDO MAANA MUNGU ALIUMBA MWANAUME NA MWANAMKE JAMANI???? WHAT IS WRONG WITH YALL...EE MWENYEZI MUNGU OKOA TAIFA LAKO..HAYA MAMBO NI MAZITOOO MUNO WAJAMENI AMA????MMMM

    ReplyDelete
  64. Nakumbuka Nyerere alipoacha urais baadhi ya watanzania walijua kuwa ndiyo mwisho wa dunia.Ulipoanza mfumo wa siasa ya vyama vingi baadhi ya watanzania waliozoea chama kimoja walidhani kuwa mbingu itadondoka na kufunika dunia.Marekani kuna baadhi ya wazungu hadi leo wanaamini kuwa wamelala usingizi wakiota ndoto kuwa Obama kachaguliwa kuwa rais,ipo siku wataamka nakukuta rais ni mzungu mwenzao.Kwahiyo watanzania mnaokemea na kustaajabu ya musa,mtake msitake wakati ukifika mtayaona ya firahuni.Mabadiliko ni kama upepo,unapovuma huwezi kuzuia,hasa ukizingatia kuwa uchumi wa Tanzania unategemea kodi za hao maharusi na wapambe wao.

    ReplyDelete
  65. Mnao-support ndoa hiyo tunaomba majina yenu. Sisi waarabu tunajua nanyinyi ni chakula.
    nanyinyi kuweni wazi wekeni namba zenu tuwatafute. Tunajua ni kundi moja ila kutokana na utamaduni na dini mnazojaribu kuzikana mnaona soo kujitokea.
    Wakati ni huu jitokezeni if u real know wat it means kuwa gay.
    Mnapendwa kupakatwa ndio maana mna-support
    Wagonjwa wa akili nyinyi
    Kutaja USA/Wichita/Europe sio kuwa na akili au busara-Msione soo

    ReplyDelete
  66. Jamani mbona tunataka kudhihilisha upumbavu wetu,?

    Ivi nani kasema kitu kikifanywa marekani basi ni sahihi! kosa ni kosa jamani , tangu kabla ushoga ni kosa... halijawahi kuwa sahihi. sex au love making au ngono inahusisdha ijaculation ili uzazi so imeumbwa ifanywe kati ya mwanamke na mwanaume.

    maumbile ya mwanamke yameumbwa kupokea uume na hata KUZAA bado yafae kwa tendo hilo lakini maumbile ya nyuma yapo kwa ajili ya haja kubwa na yabaki na kwalit yake. Basi kwa nini nyuma kunaharibika kama nio sahihi kwa tendo hili,? kwa nini mavi yamtoke bila ruhusa afanyae? kwa nini atoke maji afanyae?

    kwa kuwa si sehemu sahihi.


    msitetee upumbavu huu labda kama nawe unafanya. lakini hata ukifanya kosa litabaki kuwa kosa, SWALI kwa wanaotetea ... baba yako akianza ushoga utafurahi?

    ReplyDelete
  67. Wee mdau"Mdau Namilembe".Please, you must be joking! akili yako haina akili, and it is true! how can you compare incomparable?it is sad to hear you say things like that, when you yourself is know that it is sad.

    ReplyDelete
  68. Ove Mbogela, Jackson kama obabajo au oswambo ikwanza okhovomba amambo kama agha wighaha ndeti?unajua nyievanu mukwegha isinu siolosu halafu mukwanza okholueta lueta heeee heee. Sasa tote ove kama vunogwa avanu vatamaghe kama ava basi najiove basi ipange vuvomba isiyovivomba avanu ava mupitsa. eti hongera

    ReplyDelete
  69. Anonymous wa sat Oct 10,11:21:00 AM
    NImepata ujumbe wako ingawa wengi hawataelewa. Kaka/Dada kubali kuwa dunia ni mviringo ndio maana unapolala afrika marekani wapo kazini, inaponyesha Makete Singida Jua. Tusihukumu! Mwalemi Sitso

    ReplyDelete
  70. Anko nanihii,tafadhali shekhe usichafue hali ya hewa,jambo hili halina TIJA kwa jamii yetu hata kama linafanywa na nani sembuse hao wasio na maadili wala kuogopa Mungu.ukiliongea sana jambo mwishoni hukaa kichwani,na ukitaka kujua tabia ya mtu angalia nini kinamfurahisha,mwisho wenye lugha yao wanasema,if you fight a pig in the mud,is you who are getting dirty while he will be playing

    ReplyDelete
  71. MH,MKUU WA NANIHII,
    KESHO JIONI THE LEADER OF THE FREE WORLD FOR THE FIRST TIME IN AMERICAN HISTORY WILL ADRESS THE BIGGEST CONGRIGATION OF GAYS AND LESBIANS.COUL YOU P'SE POST HIS SPEECH.PROBABLY THAT WOULD HELP MY PEOPLE TO DEFINE WHAT FREEDOM MEANS.

    ReplyDelete
  72. hey hili sio jambo la kushangaza hasa kwa hapa dar cause baadhi ya wakubwa wa serikali imekuwa ndi nmichezo yao ya kuwalaghai vijana na kuwapa mapesa na kisha kuwafanyia upuuzi huo, msimamo wangu kwao ni mungu awashusie laana na upande mwingine nawaheshimu sana hao ambao wamezaliwa na hiyo tabia cause ndivyo walivyo and nobody can change them na siwezi kuwatenga sababu ni mashoga imefika wakati itokee ngo ya kuwasaidia jinsi ya kuepukana na magonjwa hatari ambukizi.

    ReplyDelete
  73. Mnashangaa nini?, Tanzania haswa maeneo ya pwani ulawiti ni kitu cha kawaida sana tuu
    Hujawahi sikia mashoga wameolewa huko Tanga ,Znz na Mombosa na hata hapa Dar.
    Siku ya kwanza naanza mchezo huu , kijana niliye kutana naye alikua anatoka maeneo ya uswahili , akaniambia eti tuoane, nilishtushwa maana sikutegemea kama mambo kama haya una weza fanya ndoa na isiwe siri , nikamuuliza unamaana gani? , akasema eti ahamie kwangu tuishi kama mke na mume, nikamwambia culture yetu hairuhusu kabisa kuoana ,akaniambia kwao uswahilini sio jambo la ajabu, ,

    Mnoa hisi na kua nahofu kuona vijana wanao rudi toka Ulaya wakiwa na hereni na wahakikishia msiwahofu kabisa hao vijana hawana tatizo kabisa, kuvaa hereni hakuhusiani na ushoga wala kusuka.

    Kwa uzoefu wangu , watoto wanao ishi maeneo yaliyo staarabika kama vile maeneo ya uzunguni kama vile Masaki ,Oysterbay Mikocheni na sehemu zenye kipato kikubwa .maeneo haya utakata masuala ya ushoga ni hayakubaliki na sio rahsi ku yaona wala kuyasikia na hata kama yanafanyika ni yana fanyika kwa usiri sana .
    Nijambo la kashfa na aibu kwa kijana wa maeneo hayo kufanya vitendo hivyo , ingawa ina wezekan hisia zipo za kufanya hayo

    maeneo ya uswahilini utakuta shoga ni kitu cha kawaida wapo na wengi wako open na hata mtu naweza sema nime lala na shoga fulani na isiwe aibu sana.

    jamani fanyeni uchunguzi kuhuzu hili muone kama uongo nikisema Sehemu za uswahili kuna mambo haya sana tuu

    Again Ushoga hauigwi , hakuna dume lijali anaweza sema leo nataka kuwa shoga, mashoga wenyewe wengi hawapendi kuw amashoga ni hali iliyo wakumba bila kuweza kuji control,
    Vitendo vyakishoga vina weza fanywa kama kuigwa pale inapo husisha uchumi, kijana ana weza kubali kufanya vitendo vya kishoga kutokana na tamaa ya pesa, na huyu naye fanya ushoga kw apesa sio shoga ila ana fanya vitendo vya kishoga sababu ya pesa.

    Ushoga ni nini haswa ?, ushoga ni hali ya kuvutiwa na kutamani kufanya maoenzi na jinsia yako , kama mwanaume na mwanaume au mwanamke kwa mwanamke. na hapo ina husisha naye fanya na naye fanywa.

    Watu wengi wanadhani anaye mfanyia mwenzake tendo hilo ni sio shoga, ukweli ni kwamba wote ni mashoga kwasababu kama ume weza mfanyia mwenzio basi unamatamanio kwa huyu mwenzako wa jinsia yako.

    KUna wale ambao wao wanakua namatamanio kwa jinsia zote mbili yani ya kike na kiume(bisexual), hawa utakuta ndio wameoa , ila kwa ushoga wana fanya kisiri , hawa idadi ni kubwa sana na inasemekana watu wengi wana aina fulani ya ubisexual, sema kutokana na mila dini na jamii wanaamua kujikaza kuto ipa na fasi hali ya kutamani jinsia zao ila ukweli ni kwamba utakuta wana vutiwa sana na jinsia yao pia.

    Watu wa aina hii wanao vutiw ana jinsia zote mbili , wengi ni wanajua kujificha kw amaana utakuta ni wakali sana na wanao kua wa kwanza kutukana na kuwasema gays vibaya ,lakini ukwlei ni pale pale moyoni wanajijua kua wanajisuta.

    Nakupa swali wewe uliye kua wa kwanza kutukana na kulani gays je una simama wapi kati ya hao, mimi na uhakika wengi walio toa comments za kulaana na matusi wengi ni bisexuals.

    Ukitaka kujua mwanume lijali ni yule ambaye haogopi chochote na wala hajistukii mashuala ya ushoga, ukisha ona mtu ana question masula ya ushoga na kujistukia uje kun aina flulani ya u bisexual hapo.

    ReplyDelete
  74. GOD FORBID...this is insanity at its climax...gosh no..

    ReplyDelete
  75. Kwa watu wanatokea mmkoa wa Mara, hasa watu wa Musoma vijijini, Kuna kitu kinaitwa "NYUMBA NTOBHU" ambayo it is acceptable within the community. TOFAUTI NI NINI?
    Kabla hatujanyooshea vidole practices za wengine tuanze na mila zetu ambazo nazo zimeoza tu. Boarding Schools zetu zimejaa malesbian kibao.
    Freedom of Speech? Yes.
    Waacheni na wao wajitanue, mbona wanaume wanaoa wake wengi kwa mila na dini na hakuna anasema dunia imefika mwisho. Dunia haikuisha wakati wa SODOMA NA GOMORA, ije kuisha leo! acheni ukora!!!
    HALO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
    x-o-x-o.

    ReplyDelete
  76. mdau wa namirembe umesema kweli. kama ni mwanao utafanyaje? nadhani hawa wanaoponda hapa hawana watoto au wadogo zao, ikitokea wakapata mtu wa karibu katika familia watageuza na kusema hakupenda kua hivyo. tumwachie muumba ndo mwenye kujua adhabu ya hawa kama kweli kuna adhabu hapo kesho.

    ReplyDelete
  77. Mama wee, I can never get use to this shit!!! what a waste, midume miwili kiama hichoooo!!!

    ReplyDelete
  78. mdau wa 3:41:AM umeongea ukweli wa mambo watu wengi saana ni bisexual na wanajua kujikausha sana kama vile haiwahusu kumbe wenyewe ndo lambalamba wakubwa huwa kuna mahali wahafanya kakosa kadogo sana ukiwa mjanja utajua tuu kwamba jamaa kisamaki hivi nyie wanaume ndo mambo gani hayo lakini?? kweli unafanywa na kumkatikia dume mwenzako halafu unakuja nyumbani na kudai unyumba burudani kotekote sio?? wapi mnaenjoy zaidi??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...