
BOFYA HAPA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michuzi umechelewa Elizabeth ameishapita, amepata kura nyingi sana toka Namibia, Angola, Bostwana, South Africa, amepata kura chache sana toka Tanzania, Kenya. Nadhani wengi walifuata maelezo yako na ya Ray, tulitakiwa kumpigia Elizabeth kura ili yeye aweze kubaki ndani ya Jumba na siyo vinginevyo. Nadhani kulikuwa na misunderstanding fulani, haya tungoje kesho tuone kama atakuwa nominated tena this week.
ReplyDeleteMdau
Finland
hapana michuzi hiyo ni system ya zamani, mwaka huu unampigia yeye muhusika ili abaki, So ili Eliza aendelee kuwepo unabonyeza kwenye picha yake yeye. Bigbrother 4 revolution you vote for a one to remain and not for eviction
ReplyDeleteWADAU HAPO JUU (FINLAND AND 07:10:00 AM)
ReplyDeleteNAONA KIDOGO MNAUFAHAMU KUHUSU BBA MWAKA HUU NDIO NIMEKUWA NA MVUTO WA HILI SHINDANO NAOMBA MNISAIDIE NAMNA YA KUMPIGIA KURA NIMEPENDA TABIA YA HUYU DADA. TAFADHALI NAOMBA MAELEKEZO
Kwa kweli Elizabeth kitabia ametulia
ReplyDeletemimi napenda kukuelekeza japo sijaulizwa mimi.ni hivi una kwenda kwenye site yao ukipata unajiregister alafu unaenda kwenye email yako utakuta link una click link halafu unarudi bba unaweka email yako password una login upande wa kushotojuu kuna neno vote click itakuja page inapicha za wahusika unaclick unae mvote inakujibu vote imekwenda na unapiga kila baada ya lisaa limoja.ndio nilivyofanya mimi nikiwa finland lakini sio mimi nilie toa maoni hapo juu nimwingine kutoka huku fin,sijui kura zetu za fin nazo zinahesabiwa za tanzania au finland hapo ndio sijui maana nimepiga nyingi mno.za mtv base wale hata ukipiga wasanii wetu hawashindi wanapeana wasouth africa wanigeria wakenya bila hela upati tuzo.
ReplyDeleteFrom 7.10am. Alivyojibu anony of 2.39pm ni sahihi kabisa. Unapaswa ufanye registratin then yu can vote several times after every hour iwe kwa email kwa sms na kadhalika. Kwa mliy Finland au nchi ambazo ni tfauti na zile 14 zenye washiriki, kura zenu zinachukuliwa kama friom rest of africa, ila ukipenda ujumlishwe kwenye kura za Tanzania then itabidi uchange pale patakapokuwa pameandikwa rest of afirca na u select Tanzania,. Kama mimi ni mdau niliy0po hapa UK, lakini huwa na v0te kwa kuselect Tanzania badala ya rest of africa. Unapaswa ku mvote yeye elizabeti au unayempenda aendelee kuwepo. Uki click kwenye picha ya mtu mwingine unayetaka atoke ujue unamuongezea max za kumfanya awepo. Nadhani imeeleweka na kwako Mzee wa nani hii
ReplyDeletewhy should i waste my time and money to vote for her? i find the whole idea of big brother as @@@@@@@@
ReplyDelete@ anony.. wa 12th oct, 08:21 pm, why even waste your time to comment? U R just jeuolus on her. try ur lucky else where
ReplyDelete