Meneja Masoko na Mawasiliano wa Kenya Commercial Bank, Christina Manyenye akizungumza na washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 wakati wa semina na warembo hao kuhusu masuala ya ujasiriamali kambini kwao Hoteli ya Giraffe, Dar leo
Mkuu wa kitengo cha wateja warejareja wa benki ya Kenya Commercial Bank Felix Mlaki(Head of Retail Banking) akizungumza na washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 wakati wa semina na warembo hao kuhusu masuala ya ujasiriamali kambini kwao Hoteli ya Giraffe leo
Meneja wa benki ya Kenya Commercial Bank wa tawi la Mlimani City Mary Samson (wa pili kulia), akizungumza na washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 walipotembelea tawi hilo, Dar, leo. Kulia ni Meneja Masoko na Mawasiliano wa KCB Christina Manyenye.
Chini Baadhi ya washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009 wakifungua akaunti katika tawi la Mlimani Vity la Benki ya Kenya Commercial Bank walipotembelea tawi hilo, Dar es Salaam jana. Warembo wote 29 walifunguliwa akaunti.
Warembo wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa KCB Benki tawi la mlimani city,Kesho ndiyo watamenyana rasmi.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. mamaaaa tumekwisha mwaka huu benki ya watani ya jadi ni ma-sponsor nao (hiki kweli kichecko), je mabenki na makampuni yetu ya nyumbani yanafanya nini, I guess bado wamelala ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

    ReplyDelete
  2. Kaka michuzi bin masalo asante sana tumezipokea hutuba kutoka kwa CHRISTINA MANYENYE (asifiwe Muumba)

    ReplyDelete
  3. Duh si mchezo hapo maana picha ya dada manyenye imenivutia kweli kweli!

    ReplyDelete
  4. DADA HUYO JUU KAPENDDEZA KWELI KWELI,DAH! HAPO WAME-WIN, AKIKUPA LECTURE UNAWEZA UKABAKIA UMEDUWA MACHO MITA MIA MBELE.

    ReplyDelete
  5. Michuzi mimi ndiyo nilitaka kupeleka posa kwa Mzee Makamba. lakini nikasikia hapa kwenye blog yako kwamba Mwamvita ni mjamzito.

    sasa kaka naomba contact za wazazi wa Christina Manyenye. nataka kwenda kutoa posa.

    ReplyDelete
  6. HIVI NDIVYO BINADAMU WA KIKE ANAVYOTAKIWA KUA,WENYE KUJIKONDESHA JIKONDESHENI TU ´LKN HUYU ANGENGUA KIMBAUMBAU MBAU MWIKO WA PILAU UNAZANI HIYO SUTI INGEMKUBALI HIVYO!!!1

    ReplyDelete
  7. Kaka michuzi Bin Masalo nimerudi tena kutaka kuliza kwani mpaka hivi sasa nandika ujumbe huu I can`t focus ,swali hapa ni hili hivi ulibahatika kupata picha ya moja tu ya Dada CRISTINA MANYEGE kama ulibahatika mbili tatu tafadhali tuwekee hata kama itakuwa uso wake haonekani kwani tunaelewa wakati wa kutowa darasa inakuwa ni vigumu mchukuwa picha .asante sana kwa leo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...