Home
Unlabelled
kenya commercial bank na warembo wa Vodacom miss TZ 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mamaaaa tumekwisha mwaka huu benki ya watani ya jadi ni ma-sponsor nao (hiki kweli kichecko), je mabenki na makampuni yetu ya nyumbani yanafanya nini, I guess bado wamelala ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
ReplyDeleteKaka michuzi bin masalo asante sana tumezipokea hutuba kutoka kwa CHRISTINA MANYENYE (asifiwe Muumba)
ReplyDeleteDuh si mchezo hapo maana picha ya dada manyenye imenivutia kweli kweli!
ReplyDeleteDADA HUYO JUU KAPENDDEZA KWELI KWELI,DAH! HAPO WAME-WIN, AKIKUPA LECTURE UNAWEZA UKABAKIA UMEDUWA MACHO MITA MIA MBELE.
ReplyDeleteMichuzi mimi ndiyo nilitaka kupeleka posa kwa Mzee Makamba. lakini nikasikia hapa kwenye blog yako kwamba Mwamvita ni mjamzito.
ReplyDeletesasa kaka naomba contact za wazazi wa Christina Manyenye. nataka kwenda kutoa posa.
HIVI NDIVYO BINADAMU WA KIKE ANAVYOTAKIWA KUA,WENYE KUJIKONDESHA JIKONDESHENI TU ´LKN HUYU ANGENGUA KIMBAUMBAU MBAU MWIKO WA PILAU UNAZANI HIYO SUTI INGEMKUBALI HIVYO!!!1
ReplyDeleteKaka michuzi Bin Masalo nimerudi tena kutaka kuliza kwani mpaka hivi sasa nandika ujumbe huu I can`t focus ,swali hapa ni hili hivi ulibahatika kupata picha ya moja tu ya Dada CRISTINA MANYEGE kama ulibahatika mbili tatu tafadhali tuwekee hata kama itakuwa uso wake haonekani kwani tunaelewa wakati wa kutowa darasa inakuwa ni vigumu mchukuwa picha .asante sana kwa leo.
ReplyDelete