Malkia wa Mipasho Khadija Omar Kopa
Jumamosi hii atafanya mambo jijini Wichita.
wadau Mnakaribishwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Kaka Michuzi, wakati wa Richard akiwa Big brother house, ulikuwa mstari wa mbele kuwaeleza wadau juu ya kumpigia kura. Naona sasa hupo kimya kwa dada yetu Elizabeth kulikoni? dada yetu anahitaji kura zetu kwa kipindi hiki...kama ulivyofanya kwa Richard, naomba uwaeleze wadau kuwa dada yetu anahitaji kura nyingi before sunday.

    Mdau,

    ReplyDelete
  2. Wichita imekuwa lini jiji?? mbona ni kamji kadogo tu.

    ReplyDelete
  3. weweeeeee, nilipita hapo siku nne zilizopita nikielekea Dallas na nikaona huo unaoita kamji kadogo na sio jiji kwamba unaitwa "The city of Wichita".
    Huwezi kuulinganisha nafikiri na miji miingine inayojulikana US, bali nalo ni jiji pia.
    Nimeona leo kwamba ina watu 420,000 tu lakini huo mji unaouita kamji kadogo kana viwanda sita vya kutengeneza ndege. Viwanda kama Boeing, Cessna,Hawker Beechcraft,Learjet na Spirit na Aibus inatengeneza spare zake hapo. Nickname ya hako kamji hako ni "The air capital of the world".
    Haaaaaaaaaaa, niko njiani narudi na nilikuwa napitia Tulsa, OK hadi Kansas city na kuelekea MN, lakini sasa nitapita OK, city kuelekea Wichita , ili nimuone huyo Hadija Kopa, malkia wa mipasho kesho jumamosi hapo jijini Wichita, KS.

    ReplyDelete
  4. Uncle Michu kuuliza si ujinga Wichika ndio wapi?
    Mdau
    Kisiju Pwani

    ReplyDelete
  5. Hapa Kilakshari a.k.a Kakemakanekape hatakosekana. ha ha ha ha ha ha.

    ReplyDelete
  6. weee annon hebu acha ujinga eboo.Wichita iwe kijiji au jiji sie inatuhusu nini, wakati kwenu ni ILOLANGULU???

    ReplyDelete
  7. we anony hapo juu usijishaue na data za wichita manake nazijua zote.nilishaishi wichita ndo maana nikauliza imekua lini jiji. na siku nyingine jibu swali na sio kutuletea ratiba zako za kupitia Tulsa,oklahoma..kila mtu angeweka route zake za safari hapa kwa michuzi pasingetosha.Grow up..

    ReplyDelete
  8. Weweeee nimefika Jiji la Wichita Leo hii, saa hii hii , kweli kumbe ni jiji bwana. Wana uwanja mpyakabisa wa Basketball unaitwa Intrust Bank Arena. Wenyeji wangu wamenitembeza JIJINI WICHITA, kabla ya kumuona malkia wa mipasho.
    Ni jiji pia bwana leo jumamosi pametulia sana na highway zake za Kellogg, 1-35 na 2-35 na niko Hotel hapa N.Rock road, karibu na Uwanja wa ndege wa Jabara (Jabara Airport).
    Wewe uliyekaa hapo na ukaondoka , kama ulikuwa hujui hili nalo ni jiji, basi ndo maana uliondoka. Nimegundua nitahamia hapa kutoka MN, maana naona hapa nyumba bei ya dwezooooo, bwerereeeee, kulinganisha na St-Paul. Na mshahara ni sawa tu kwa kazi ninayofanya St.Paul, MN. Hapa nimeona kweli ni jiji na leo naona hali ya hewa hapa ni safi sana kulinganisha na baridi lilioanza huko MN. Mhh lakini Dallas nimepapenda zaidi kulko hata ST. Paul. Naona nitahamia huku chini zadi.

    ReplyDelete
  9. wote wanaongelea Wichita kijinga ni stupid na malimbukeni...sijui lini mtaacha ushamba....sad...so sad pple....

    Pigeni shule, anzisheni investments, be creative guys...acheni ulimbukeni, majungu na ujinga...

    Thnx kwa yule annoy anayeongelea Elizabeth big brother, atleast ni muhimu kdg....

    ReplyDelete
  10. Hiyo Wachita unayoongelea imejengwa na watu wanopenda na kujali kwao ndo maana ikawa hivyo kama ilivyo. cha muhimu si kutua ratiba zako za safari za kulala guest, piga shule upate akili na we uje ujenge kwenu. ulimbukeni mpaka lini? kazi zenyewe ni hizo za kubeba mizigo, kuuza sura restaurant na supermaket, pamoja na kusafisha vyoo, na wakati unaweza kuja kwenu ukaanzisha kitu na kuwa aluwatani. utumwa wa fikra mpaka lini si waafrika? tuamke, huko tunakokimbilia wenzetu walifikiri na wakachukua maamuzi ndo maana pako kama hvyo mnavyopaona. mmoja hawezi lakini tukiungana tutaweza.Tuamkeni jamaniiiiiiiiiiii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...