Home
Unlabelled
laughter, best medicine
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kweli pesa ni sabuni ya roho duh!
ReplyDeletekulaaaleki!
ReplyDeletelazima atakuwa mchagga huyu!
ReplyDeleteMimtu mingine bwana tabu tupu,sa hapo inasomeka ubatizo wa mchaga na kwa kiinglish pia imeelezwa kwa wale wasiojua kimatumbi ila bado jamaa anasema huyo atakuwa mchagga! duh!
ReplyDeleteNimemkumbuka Witness(tatizo ni kupata zero).
Potz.
Hamna kiumbe asiyependa pesa....Nahisi tumezidi kuwasakama hawa ndugu zetu wachaga...Nafikiri mtazamo ubadilike kuwa wana akili ya kuzitafuta!!!
ReplyDeleteanony wa 04.09 umeambiwa hii ni kwa ajili ya kichekesho, usiende zaidi ya hapo.
ReplyDeleteJamani huu kasumba ya kuwasingizia wachaga kuwa ndio wanaopenda pesa naanza kuona kuwa sio kweli. Kwa takwimu za haraka haraka nilizozifanya kwenye kashfa mbili za Richmond na Epa zilizoitikisa nchi kwa miaka hii miwili sijaona kama ni wachaga wako kule. Sasa wanaopenda pesa kwa nini waambiwe ni wachaga??????
ReplyDeleteNawasilisha.