Meneja wa Redds Original toka TBL Kabula Nshimo(kulia)akimkabidhi Vodacom Miss Tanzania 2009 Miriam Gerald zawadi ya mfano wa hundi ya shs milioni moja baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Miss Redd's Photogenic 2009 wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyika usiku wa kuamkia jana kwenye Hoteli ya Giraffe, Dar. Shindano hili lililoongeza chachandu katika fainali hizi za urembo linaratibiwa na Globu ya Jamii na kudhaminiwa na kilaji bomba kinachopendwa cha Redds Original
Vodacom Miss Tanzania 2009 Miriam Gerald akijidai na zawadi yake ya mfano wa hundi ya shs milioni moja baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Miss Redd's Photogenic 2009


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...