Home
Unlabelled
Miss Tz 2009 is on!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WASUKUMA OYEEEEE
ReplyDeleteMAMBO YA ROCK CITY HAYO
hongera miss mwanza unastahili kilicho bora mamiss wa dar poleni sana na tabia zenu mbaya zimechangia mkose taji ni vizuri zaidi likienda mikoani mtie akili manake huwa mkishinda mnajionaga keki sana na kuanza ufuska mara tu mnapovua taji mnaipaka matope hii fani hasa nyinyi mamiss wa hapo dar mkizani nyie ndo warembo bora sasa imekula kwenu miaka miwili mfululizo safi sana hongereni hukoooo rocky city
ReplyDeletemiss michuzi - canada
Mh,Mkuu wa libeneke
ReplyDeleteHivi furture ya hawa warembo ni nini?Je,wanaendelezwa ki-elimu ili maisha yao baadaye yawe tambarare.Ni kitu gani muhimu hawa mabinti wa kitanzania wanachozawadiwa ukiondoa mshindi wa kwanza ambacho kitawapatia maisha bora mbeleni.Mimi kwa maoni yangu finyu naona hawa watoto wanatumiwa tu,sidhani kama wanaelewa ama kueleweshwa what next.Halafu mkuu kwanini sehemu kubwa ya glob yetu inatumika kutangaza mashindano ya warembo?Ukipata nafasi mkuu tunaomba tupatie taarifa zingine kama mauaji ya maalbino ili ku-balance news.Othewise tunashukuru kwa kutuhabarisha hasa sisi tulio upande wa pili wa bahari.Lengo ni kutofautiana tu wa wewe na siyo kupinga kazi nzuri unayoifanya.
hoyce temu, jackline ntuyabaliwe, anjela damas, happness magese, hiyo ndy ilikua miss TZ ya ukweli na seriuos,cos hao mamiss nliowataja hawana skendo za kijinga, wanajiheshimu na ni watu wanaojua nn wanachofanya, na angalia leo hii wako wapi kila 1anafanya shughuli mhm, but tokea hapo ni uozo na kuuza sura, miss anachaguliwa siku inayofata anaanza na skendo hd anamaliza term yk.
ReplyDeleteNi wa brown kiasi hiki au ni kamera?
ReplyDelete