Home
Unlabelled
msiba anfield....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nou Camp nako kuna kilio. Wametandikwa Kirusi.
ReplyDeleteBwana Michuzi,
ReplyDeletemimi nimepiga makelele sana hapa kuhusu Liverpool ila sijui ni kwanini watu hawaelewi..
Sasa, kilichobakia ni kuwaachia TRUE fans ili waanze ku-coup Mechi. Ujue fans wakiacha kuingia kiwanjani nadhani Management watafikiria vizuri.
Tukiangalia upande wa ushambulia utakubaliana na mimi kwamba Mspaniola aka 'mzee wa mapande' Alonso hatunaye tena. Mungu ametoa na Mungu ametwaa!?
Sasa amebaki Gerrard yuko mwenyewe pale na hakuna mtu wa kutumbiza Mipira ili Gerrard amalizie..
Mimi ningependa kuandika Barua ya wazi kwa Benitez kumtaka kwamba, kama angeweza kum-train sentaaf (center half kwa ung'eng'e) ili awe anatoa mapande kwa Steven aka Stevie!?
Ujue, Benitez akikaa chini na sentaaf akamwonyesha KWENYE video za Training au Mechi zilizopita nini Alonso alikuwa anafanya tutaanza kushinda tena.
kwanini Benitez asiwe mshapu na kumweka mtu dedicate kwa ajili ya kudondosha mipira kwa Stevie lakini!? !? !?.. yaani hata copy and paste. kwanini wasiangalie walikuwa wanashindaje alafu una-copy. kwanini lakini jamani!?
..Alwatan!
= = =
Buffalo (Karibia na Tube Station hapa Liverpool)
New York
Rafa must go, people keep defending him and blaming the yanks but the truth is he has had 5 years to build this team, yet it's still very heavily dependent on 2 players!! It's simply not good enough. It's not so much the loss but the manner in which we lost this game and the Sunderland game; no effort, the whole team was lackluster in it's performance, no leadership, no cohesion! I never thougth i'd say those words in the same sentence as Liverpool...we are bigger than any one person..Bye Bye Rafa and thanks for the memories ..You'll never walk alone...ohh and take Lucas on your way out.
ReplyDeleteFrustrated Bwawa la Maini fan
Rafa in dire situation.I think he will get fired if he loses next Man u encounter.
ReplyDeleteThey keep on conceding goals from set pieces and corners and they are the only team in premiership normally put no players on both posts to defend unexpected balls.
They place too much reliance on Gerard,kuyt,Tores.on event they are unavailable,the team is hopeless.
Rafa must have sleepless nights and it is going to hurt,i feel it for him mate.
He is going to think of chasing shadows next Man u game.
I am an Arsenal fun..'In wenger I trust'
mdau uk
Big up Lyno!
ReplyDeleteBwana la Maini vipi tena, yaani mara ya nne mfululizo kushindwa mechi hizi za champion League!?
ReplyDeleteBwawa la Maini haijawahi kuanza vibaya namna hii ktk kipindi cha miaka 20 iliyopita, kulikoni?
Haya wikiendi hii mnakumbana na ManUTD, ndo mpo njiani kuachia bodi la 'big four' wa England premier league?
Yaani maswali kibao, ngoja nikalale.
Mdau
Gerard.
US-Blogger)
ReplyDeleteWadau, Bagamoyo mimi nimewekeza Dolla $4million. Mashaka hajawekeza chochote. Ki elimu, mimi nimesoma Oxfrod nina PhD ya Economics mashaka hana PhD kasomea Mzumbe ndo maana hajui anayoyasema
Mshahara wangu kwa mwaka ni $millioni 3. USD$ 3,000,000.00 mashaka kwa taarifa nilizonazo ni kwamba yeye ni Middle Investment Banker au Financial Analyst wa Kati. Njaa ndo inayomsumbua, hana lolote
Kwanza anakaa kwenye kiti kila siku akiuza Dhamana na kuadniak mikataba, na Mshahara kima cha juu sana ni $280,000 kwa watu wanaofanya hizo kazi. Akipata Bonus basi ni $400,000 kwa mwaka.
Mimi nimemzidi mara 2000 kwa mapato kwa hiyo asilete hapa mambo ya kujidai na Wall-Street yake. Wangapi kwani wanafanya kazi Wall-Street na hawanaga kelele kama zake za kuiskosoa serikali yetu tukufu? Sisi tunaipenda Dola
Nimewekeza Pale Mbezi Beach Dola $10,000,000 na Bagamoyo $4,000,000yeye kawekeza wapi? hakuna popote kwa hiyo mashaka hawezi kabisa kuje hapa kushindana na mimi.
Kikubwa nachotaka mashaka ni kupata Uwaziri au mkuu wa maswala ya Fedha, lakini nitamuandikia kikwete asimpe kazi kabisa.Abaki huku huko Marekani, wakata kama mashaka wakipewa Madaraka wanaigeuka Serikali na kuanza kuwa watumwa wa wazungu
Mashaka hacha kuniogopa, kama una aikili unavyodai, basi njoo tujadiliane kwenye TBC-Bongo Radio Bado wanasubiri Majibu yako. Kama unataka kuja Tanzania, nitakupa ka lifti kwenye Private Jet yangu hadi Tanzania, kadhalika nitakulipa $1million uli umalizie umasikini wako.
Na chief of staff wako Dr. Shayo nitampa $250,000. January Makamba nitampa $100,000 kwa hiyo jitayarishe hacha kuniogopa kama wewe kweli ni interlectual.
Hon. Dr. US-Blogger
Alumni Oxford University
Economics Department
Mi naona kimsingi Liverpool tunahitaji maombi ya dhati,maana nahisi kama tunagundu vile...C juzi juzi tu hapa tumetoka kufungwa na puto na leo tena....Ila kwa upande mwingine hata Kocha wetu Benitez ana mapungufu yake...Kimsingi ni hayo tu wanabwawa la maini wenzangu...Inauma kwa kweli...Cjapokea cmu tangu game ya Chelsea mpaka leo...
ReplyDeleteNa bado Jumapili!Maama weee!Tunawapa kitamu kulipa kisasi cha msimu uliopita!
ReplyDeleteMwana huu mnalo, naona Bwawa limekauka maini na sasa limejaa matope ama mapafu kabisa .... bwa hahahahahahahahahahahahhahahhahaha! Michuzi heri uhamie Sunderland ... ama Tawi lako la Tanzania nianze mipango ya kusaka kamati ya ufundi ili iende kumsaidia Bwana Rafa Bana Matezi.
ReplyDeletePoleni sana wazee wa bwawa la maini! Du, Five losses in a row, how nice?
ReplyDeleteMithupu, Dr Liki na wengine, take it easy. Hii ndio soka. Matatizo ni kuunda timu kutegemea pesa za wamiliki ambao kwa hali inavoonekana wamefulia!
TUENDE MBELE NA KUSIMAMA HAPO HAPO,BWAWA LA MAINI LIMEINGIA LUBA,HAKIKA SIKU YA KUFA NYANI MITI YOTE HUTELEZA.
ReplyDeletebwana asifiwe mr misupu, i mean salam araku, pole sana kwa kukandamizwa kwa mara nyingine, na mwaka huu mtakoma, naomba usibane mmatumbwi mwenzangu
ReplyDeletewadau wenzangu wa bwawa la maini tuna nini jamani? Mwaka huu ndio tumefulia au ni upepo tu unapita? Na mechi mbili zijazo tutatoka kweli manake tunakutana na visiki Man utd j2 na arsenal wiki inayofuata. Lakini u'll never walk alone tushikamane until the last breath! Mungu ibariki mainibwawa(liverpool)!
ReplyDeleteTatizo walijikamua sana msimu ulipita halafu hawakubakisha hata kidogo nguvu za msimu huu!!!!!
ReplyDelete....Hahaha sorry for the kopites...
kimbiza haooooooooooo kudadadeki
ReplyDeletewamefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
michu poleeee ila ndo hivyo tena mnyime unyumba mama mwambie unahasira sana na hutaki bugudha kwasasa!!
teh teh teh
Kaka roho inauma sasa tutafanyaje na mtoto kanyea mkono....Tusubiri jumapili tu tuone Busara za RAFA.
ReplyDeletehii ni team ya watu wawili tu, dats is very bad of liverfool,next weekend ngoma inakuwa 50-50, win five, lose five, duh, kali sana hiyo.
ReplyDeletepolen wadau,
hivi nyie mnaosema RAFA aondoke mnajua timu inadaiwa na management wameshindwa kulipa madeni... sasa kwa taarifa yenu haondoki kwani akiondoka itabidi wamlipe kwa kuvunja mkataba... tuvumiliane tu kila timu italia kwa wakati wake, ni muda tu ukifika liver wataanza kucheka wengine wataanza kulia.
ReplyDelete"IN WENGER WE TRUST"
bado naona kuna matatizo na huyo beki wetu Carragher. kazeeka sana. anafanya makosa mengi siku hizi. nimemfurahia huyo dogo aliyecheza nafasi ya Johnson. kanifurahisha.
ReplyDeletekiungo bado ni tatizo na Banitez haoni hilo. kimbinu anaonekana hana jipya. mbinu zote ni za zamani.
ushauri wangu; atumie vijana zaidi badala ya vijeba
na msipoangalia jumapili mnakunywa zaidi ya bao 4. kama hamtaweka pembeni frustration kuanzia kwa mashabiki, kocha hadi wachezaji.
ReplyDeleteMwanameekaaa eeeeeh, Mwanameka jirani yangu, ...........
ReplyDeleteKocha alishajengewa mazingira ya kuishi kwa amani lakini tayari mdudu alishawahi kabla. NI KUVULIA HATA KAMA MWELEKEO NI ALIJOJO,CHA MUHIMU NI KULINDA HADHI YA TIMU KWANI SI INAJULIKANA KAMA BWAWA LA MAINI NI KATI YA THE BIG 4.
ReplyDeleteWanachama na wapenzi wa bwawa la maini wote poleni,pili kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu kuwa kila mtu atalia kwa wakati wake,lakini ndugu zangu vilio vimetafautiana,siye wana wa DARAJANI tunakilio chetu lakini wenzetu hapana msiba mzito,maana ligi ya hapa ndiyo hivyo tena ,wiki iliyopita PEPE REINA kadaka BALOON badala ya mpira,kabla ya hapo MLIKUJA DARAJANI TUKAWADUNGUA mbili MTUNGI,jana tena LYON kawafanya ASUSA, kazi kwenu yaleyale ya mwaka 2006! kaka mkuu wa wilaya ya nanii angalia maradhi ya MOYO!? shauri yako.
ReplyDeletekwanini alimtoa gerrad mapema ????au aliumia nn??
ReplyDeletebwawa la maini limeingia figoooooooooooooooo
ReplyDeletehaya maogonjwa mengine yakujitakia, mkiambiwa shabikieni nyumbani mnaanza kelele 'ooh mpira wa bongo fitini, ooh bongo hamna mpira' sasa sijui mkeo nae akishindwa gemu utasema nyumbani hakuna gemu!! wewe mpira wa kuangalia baa kila siku nao mpira? utamu wa boli ushuke shamba la bibi full kujiachia!!
ReplyDeletesafi sanaaaa nyambafu na bado
ReplyDeletehahahahaaaaaa