Home
Unlabelled
nyamagana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mafisadi bwana! eti they want to sell this historic ground.
ReplyDeleteila michu nani alitwangwa 2-1 hapo?
Jiji letu la samaki
ReplyDeleteUkipenda bwana kaz kweli kweli. Wewe mzee wa nani hii si useme tuu Yanga alilipiga bwawa la maini la bongo(Simba) goli 2 kwa 1, nani asiyejua labda watoto wa karibuni
ReplyDeleteNi kweli simba tulipigwa kipigo cha paka mwizi ambacho hatujakisahau mpaka leo. Tulikuwa tukiongoza goli moja mpaka dakika ya 89 kabla ya Sembuli kusawazisha na ilipokuja kipindi cha nyongeza Sunday manara akatumaliza kwa goli la pili. Nililia sana siku hiyo ikiwa mara yangu ya kwanza kukanyaga jiji la Mwanza
ReplyDelete...and visible in the background is Kigoto hill. On the left over a thousand people perished in the MV disaster back in 1996. Oh, where ie Tivoli - where you would sit on a balcony and take a drink while enjoying a game in Nyamagana (only if you were long sighted). The problem was no one would let us in on a shared bottle of fanta through the 90+ minutes of the game. What nice memories!
ReplyDeleteDuh Michuzi umenikumbusha hilo game la karne la watani wa jadi, Sunderland(Abidjan) kupigwa goli 2 kwa 1 na Kwala Lumper(Makwala) kwenye huo uwanja wa nyamagana. Tena wakati huo Sunday alipopiga goli la pili ilikuwa ni kipindi cha nyongeza, wakati huo ilikuwa ni dkika 15 tuu yani 7 unusu 7 unusu na siyo dakika 30 za siku hizi.Enzi hizo bongo ndiyo kulikuwa na mpira
ReplyDeleteMkuu wa nani Hii mimi mbona uwanja wenyewe siuonii naona sehemu ya wazi tu au mafisadi ndio washauvunja kwani ulikuwa kwenye mipango yao ya kuufisadi
ReplyDeleteMdau
Kisiju Pwani
tulicheza ligi ya mchopa hapo miaka ya mwanzoni mwa tisini. mechi zilikuwa weekend asubuhi.
ReplyDeletemtu unatoroka kwenda kwenye gemu ilihali ukijua bakora zinakusubiri ukirudi nyumbani,si unajua tena bongo? unaulizwa "mpira utakupeleka wapi?"
Si kwamba walitaka kuuza, mikakati nibado ipo. Kinacho endelea ni danganya toto tu. Hao FAT kujenga uzio mpaka leo bado sijui kuhusu majukwaa. Mashule ya wilaya ya nyamagana huwa wanautumia,si sekondary wala primary pekeee hata chuo cha Bugando pia hutumia uwanja huu. Mi nasemaje?? mafisadi wasipo poteza hisia zao juu ya uwanja huu, damu za watu zitamwakika hapo. Hom swt hom
ReplyDeleteAnony Sat Oct 10, 10:13:00 AM hapo ni nani? Ulicheza timu gani na mwaka gani? Unawakumbuka kina Nyanda na bishoo Luba?
ReplyDeleteheee watu walifia karibu ivo?MV bukoba
ReplyDeleteoooh yessss nyamagana stadium ata sasa uko wazi ivoivo,,karibun mwanza jiji la samaki na utulivu,hali ya hewa swafiiii,watu wapoleee(gete gete wasukuma)
hahahahaaaa im falling in love with mwanza,sijui kwanini