Home
Unlabelled
supa modo millen akiwa kazini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Happy Magese kitu jamani tuachane utani. Hana viskendo vya kipuuzi na mambo yake saaafi! Upo Juu mrembo!
ReplyDeletekwa kweli ni mzuri nimemfananisha na naomi.
ReplyDeleteAmeshajifunza kiingereza?
ReplyDeleteMIMI NI PETER NALITOLELA NAPENDA KUWAULIZA WADAWU HAWA KINA CYNTHIA MASASI MBONA HATUWAONI HUMU KWENYE MISHINDANO? KWANI WENYEWE SIYO WALEMBO? TENA HUKO ULAYA?
ReplyDeleteMICHUZI this is what we call modeling sio yule dada unayetuleteaga c............. GO Happy Go Millen love Ya.
ReplyDeleteMnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
ReplyDeleteGenerali spiking anafanya vizuri, lakini me aliniboa tu pale alipoona jina alilopewa na wazazi wake ni la "kiswahili/kishamba" eti akajipa jina la kuzungu! Mweeh! Kasumba gani hii.
Hapo tu ndipo aliponibowa!
Michuzi najua utaibania hii lakini potelea mbali mradi me fundo nshalitoa!
Huyu ana natural model look; looking serious and cute. Kina Miriam Odemba mpaka atabasamu ndio anakuwa mzuri. She is really tangaza nchi sio kina nanii wanaojisifia
ReplyDeleteHAPPINESS MAGESA UTANISAMEHE NAPENDA KUKUITA HIVYO KULIKO HILO JINA JIPYA. HONGERA SANA UPO JUU
ReplyDeletejamani wema sepatu angekuwa amejiheshimu angukuwa model mzuri sana, she has the looks and the lips! hongera sana dada happy u look fab! wema jirekebishe basi dada yangu, tunataka nawe ujiunge na happiness
ReplyDeleteNimemkubali... Big up gal.
ReplyDeleteThat is what i'm talking about.classic
ReplyDeleteHii kweli ni model natural maana hana fat kabisa na ame tone kona zote...big up girl,vipi una boyfriend? niko single lakini niko states,Michuzi fanya kazi nipate mchumba hapo kifuta jasho kipo!
ReplyDeleteAkivaa nguo anapendeza hivyo. Sijui inakuwaje bila mavazi...
ReplyDeleteKeep it up, endelea kuwakilisha. Ingependeza kama ungejitambulisha mtoni kama Nyamboga Magese lakini.
HUYU DADA AKIJITAHIDI KIDOGO TU MILIONEA. HALAFU INASEMEKANA YUKO NEW YORK. (DADA UNARUHUSIWA KWENDA KUANGALIA MECHI/BASKETBALL ZA HASHIM THABEET).
ReplyDeleteSasa wewe mdau hapo juu (oct.10th at 2:30am) unachanganya kachumbari na uji wa ulezi dada kuwa NEW YORK inahusiana nini na HASHEEM THABIT kucheza basketball????? watanzania ndo maana hatuendelei, tunachanganya mambo sana!!! HONGERA SANA SISTER HAPPY-YOU ROCK MY WORLD BABY AND MAY GOD BLESS YOU MPAKA UFIKIE ANGA ZA NAOMI CAMPBELL NA TYRA BANKS NA CHANEEL...usijekuwa kama wengine (the wanna bees) go girl..Mungu akutie nguvu..amen..
ReplyDeleteKWA KWELI FIRST GLANCE NILIDHAN NAOMI, THEN JINA LIKANICHANGANYA NIKAWZA NAOMI WATCH YOUR BACK, SASA BAADA YA KUFAHAMU NI M-TZ; FURAHA YANGU IKO JUU. USAURI DADA, Fuata masharti ya MANAGER, AGENCY AND TUNZA MWILI WAKO KWANI NDIO OFFICE YAKO, UKILETA MCHEZO UTAKUWA KAMA WALIOPATA BAHATI THEN WAKAWA WABISHI WAKARUDI HOME NA VISINGIZIO TELE. somehow my dream came true, hata kama sikuwahi kusema publicaly (just to few peaopel) that you have alook for modeling. DO NOT WORRY ABOUT NAME CHANGE - IF IT SELLS GO WITH IT!! GOD'S GRACE BE WITH YOU.
ReplyDeleteHata mimi namfagilia huyu mrembo.Go Millen..
ReplyDeletekwa wanaolalamika kwa millen kubadilisha jina, mbona hamlalamiki wanamuziki wanapojiita majina tofauti?? muacheni atumie jina analotaka ilmradi linalipa. kila la heri binti.
hilo jina hakubadilisha mwenyewe ni kule south waliamua vile millen limekaa kibiashara zaidi na kifupi lina mvuto haya majina sijui chausiku, sikudhani , shida, semeni, mwananyamala na jamii yake kwenye maswala ya biashara yao kushoto sana angalia hii chausiku vs beyonce ipi ina sound utamu??
ReplyDeleteMillen au Happiness uko juuu!! Unapendeza sana na nakutakia mafanikio mema. That's the way to go.....
ReplyDeleteUsipoangalia vizuri utadhani Naomi Campbel waoo am happy for you gal go go go and make money.
ReplyDeleteWork hard and fuata masharti siyo kula kula miugali tu na kuvimbiana usije ukarudishwaa jua kali sana huku
kwetu sasa hivi.