Home
Unlabelled
Tanzanian Khanga makes it to Hollywood! Emmy Awards
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
na pia ilimake a worst dress of that day
ReplyDeleteHapo sioni Utanzania wowote zaidi ya Obama = USA.
ReplyDeleteNiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiice
ReplyDeleteSAFI SANA YANI WAMATUMBI TUNAANZA KUTESA KILA KONA NA WATU KUANZA KUVAA VITU VYETU!!HATA KAMA HAINA PICHA YA TANZANIA CHA MSINGI VAZI LENYEWE LINAASILI YA WAPI!!KAMA NYINYI MNAVYOOVAA KABOKA ZAO!!HAZIJAANDIKWA TANGAZO AMA PICHA WAPI ZINATOKA ILA ZINAJULIKANA KUWA MNAAIGA YANI WATUMWA.
ReplyDeleteTUNAITAJI POINT
Wadau wengine wako negative kweli.
ReplyDeleteSoko la Marekani lilivyo kubwa kama vazi la kanga lingepata umaarufu wa kutosha viwanda vya nguo nchini vingeshindwa vyenyewe. Wakulima wangefaidika na pamba yao. Hatua ya kwanza ya kupata umaarufu ni exposure kama hiyo. Sio kila mtu atapenda lakini sio kila mtu atachukia. Big up kwa mdau aliyefanikisha kufikisha kanga viwanja hivyo.
tukiwaambia kuwa ubunifu upo mnakataa!! khanga sio vazi la tanzania pekee, ni vazi ambalo lilibuniwa pwani ya afrika ya mashariki likasambaa bara, na linaendelea kusambaa maeneo mbalimbali ya dunia na kuchukua mitindo mbalimbali kila kuchapo. ni kitu cha kujivunia kuwa utamaduni wetu unasambaa na kukubalika na kufanyiwa design mbali mbali kama sisi tunavyopokea hizo za ulaya na kuzifanyia ubunifu wa kusadifu mazingira na maonjo yetu!!! huu ndio utandawazi.
ReplyDeleteingieni google halafu type Emmys Worst dressed 2009
ReplyDeleteVictoria Rowell is mixed race, (Black & White) but she really appreciates her African heritage! You go girl! Asante and thanks for advertising our country, Tanzania.
ReplyDeleteI will have to say, any publicity is good publicity.
ReplyDeleteHaikuwa worst dress kwa shauri ya ubaya la hasha ni kwa sabu waUSA hawajazoea mavazi ya namna hiyo!
ReplyDeleteni kweli hata mie nilisikia ilikua the worst dress of that day. loh lakini tusikate tamaa wana holywood huko mturepresent
ReplyDeletehuyo dada alikandiwa vibaya vazi gani hilo mhh kibongo hata sio hivyo.
ReplyDeletehiyo khanga wengi walichukia kwa vile kulikuwa na picha ya obama ndio lilikuwahasa tatizo kubwa kuwa yeye anampigia kampeni wakati muda umeisha ndio maana ilikuwa worst dress otherwise mi nimependa na kwakweli ameitangaza tanzania hila kwa vile sisi watz ndio kazi yetu kuponda atujui jema hata angevaa ikawa na maandishi ya kibongo bado tungeponda yaani mi naipenda tanzania hila watu wake tu wengi wao kila KITU NI KUPONDA TU nafikiri michuzi km kawaida yetu tumtafute mtaalamu kutoka ulaya au india aje tz kwa mambo yafuatayo
ReplyDelete1.kuangalia udongo wetu unamatatizo gani?hasa kwa kila kizazi kinachozaliwa kuanzia uhuru mpaka leo una athari gani kwenye UBONGO wetu
2.aeneshe warsha,semina,matamasha km yale ya ukimwi hili wantanzia wawe wazalendo na nchi yao hata kwa kile kidogo
3.wasomi wengi waliopo nje waje kutoa michango yao kuwa kwa watanzania tunatakiwa kuishije? maana wao kila kitu kwao kuponda tuuuuuuuuuuuuu?
michuzi naomba kaka uitoe hii please
pekua hadi namba kumi na tisa.
ReplyDeletehttp://television.aol.com/emmys/photos/best-worst
Kanga yenyewe ilikuwa nzuri na inastahiki kupongezwa kwa kupaa katika hafla za kimataifa, lakini mtindo ulisakamwa dunia nzima. Ni bora kama wanataka kuitangaza kanga waitangaze kama inavyovaliwa na kushonwa na wavaa kanga.
ReplyDeletewao wamesema worst kulingana na bei ya vazi na designer gani..khanga haina designer na bei karibu na bure..wao kukandia sio shida, sisi wabongo twajua thamni ya khanga ati..
ReplyDeleteHuyo sio kwamba anaiadvertise khanga.....anamuENDORSE OBAMA!!!!hata ingekuwa material nyingine as long as imewekwa picha ya Obama yeye angevaa..... ukute hata hajui kama inaitwa KHANGA......
ReplyDeleteKwa hiyo kwa vile kuna mtu huko ng'ambo amesema ilikuwa 'worst dress' basi na sisi wabongo tunaona ilikuwa worst dress? Hizo ndio fikra zetu huru? Binafsi hilo vazi sina tatizo nalo kabisa, hata nikimwona dada yangu amelivaa popote nitaona burudani tu.
ReplyDeleteAliyeiona hiyo kwamba ilikuwa ni worst dress alitoa maoni yake kwa vigezo anavyovijua yeye. Vigezo hivyo yawezekana ni kuwa haikuwa Gucci, Versace na majina mengine waliyozoea. Vilevile vazi hilo halikuanika mapaja na nyonyo za mvaaji.
Nina hakika wabongo waliopo ughaibuni wakivaa mavazi ya namna hiyo baada ya siku chache waliosema ilikuwa worst dress wataanza kujenga hoja za kuonyesha kwamba kumbe sio mbaya kiasi hicho...na kumpa sifa huyo dada kwa kueneza fasheni.
Someni maoni ya wadau wa magharibi kuhusu 'worst dress'. http://www.huffingtonpost.com/2009/09/20/emmys-worst-dressed-2009_n_292924.html?slidenumber=0#slide_image
ReplyDeleteNakumbuka Rais George Bsuh aliporudi USA na kuwasimulia kuhusu ziara yake Tanzania, pia alivutiwa na Kanga zilizokuwa na picha yake, ambavyo kama kawaida ya kanga picha au urembo ktk kanga hukaa sehemu ya makalio ya mvaaji.
ReplyDeleteRais Bush alikunwa sana na jambo hili jipya ambalo alikuwa halifahamu kuhusu 'uvaaji wa Kanga' picha au marembo kuwa 'makalioni', hivyo akauliza kwa kunong'oneza na alijibiwa kuwa asiwe na wasiwasi hiyo ni sehemu ya maadhimisho, kumbukumbu , makaribisho na heshima kubwa kwa mgeni(www.youtube.com/george bush tanzania).
Hivyo si bure hata Hollywood wameipata meseji juu ya 'uvaaji wa kanga'
Mdau
San Francisco.