Home
Unlabelled
Tina Turner Live in Concert in dar!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wow!!! an old Diva, the legend coming home innit?
ReplyDeleteMichuzi bwana kwa kachumbari? Eti fulani kashashinda ngumi kabla hazijapigwa? Ngumi leo saa tatu usiku we unaandika saa sita na nusu mchana kua fulani kashashinda? Au umekua Sheikh Yahya sasa?
ReplyDeleteningekuwa bongo lazima ningeenda kumuona.. nani kamleta huyu kusaga nini? manake hao ndio watu wanaofanya vitu vyao bongo. wenzetu hawazeeki, cheki miguu ya huyu bibi.
ReplyDeleteaSaNtE
ReplyDeleteBIG SCREEN CONCERT!!! I WONDER IF SHE WILL BE THERE.. TANGAZO NI UTATA MTUPU.
ReplyDeleteMZOZAJI
Jamani hili tangazo lime kaa kitapeli sana, haiwezekani Tina Turner alivyo legendary star afanye show hapo Sweet easy ambapo hata Lady JD akifanya show hapo ni hapatoshi.
ReplyDeletePili kiingiloa hicho kidogo sana yaani sitegemei kiingilio hicho (watu watakua wengi sana)na eti kuna snac za bure , jamani mbona mna mdhalilisha huyo TIna?.
Hebu kuweni serious , mnapo leta wasanii wakubwa jaribuni kutupa venue ambazo ziko na nafasi kuliko kutujaza jamani.
Au sija elewa? nimeona hapo chini ni big screen concert inamana sio kama TIna anakuja TZ ni kwamba concert yake itaonyesha kwenye big screen au?
Hii ni kamba kwa wala vumbi wasiomjua Tina ni nani,sio bongo flava huyo...na wala hawezi kuja kupiga TZ kwa ajiri ya pesa labda charity!
ReplyDeleteJamani wadau nisaidieni kunielewesha kama nitakuwa nimeelewa sivyo ni kwamba sio "Tina anakuja hapa ila ni concert ya watu/mtu wataojifananisha na Tina, pia hata hapo kwenye tanganzo neno live limekatwa hivyo sio kwamba Tina yu aja TZ.it is a Tina look alike thing nee!
ReplyDeleteMBONA JAMANI HII IMEKAA KIWIZIWIZI..."TINA LOOK ALIKE"...BIG SCREEN...PLZ COME CLEAR...
ReplyDeletejamani jamani yasije yakawa ya voda na kofi olomide we haya weee... a diva like this kimya kimya tuuu ... mtaniambia
ReplyDeleteukame huu nunueni ticket muone cha mtemakuni! ITS A JOKEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
ReplyDelete