
MAGAZETI MAMA YA HABARI NCHINI, DAILY NEWS NA HABARI LEO, YANAKULETEA VODACOM MISS TZ 2009 KATIKA MITANDAO YAKE AMBAPO UKIFUATA MAELEKEZO HAPO CHINI UTAKUWA UMEPATA KITU NA BOXI. TIMU MAKINI YA KITENGO CHA MTANDAO CHA MAGAZETI HAYO KIMEFANY KAZI YA ZIADA KUKUPATIA KILE AMBACHO HAKIJAPATA KUONEKANA MTANDAONI. LIBENEKE LITAENDELEA WAKATI WA FAINALI KESHO. KAA MKAO WA KULA.....
Baada ya kufungua ukurasa kwa kubofy hapo chini, na ili kuona mrembo mmoja mmoja na kumsikia katika Youtube bofya 'profile' (ama 'wasifu wa washiriki') katika ukurasa kisha bofya juu ya picha kuona wasifu wake na picha tatu tofauti pamoja na video. Ni rahisi sana kama A,E,I,O,U...
Ukitaka kwenda Daily News
UKITAKA kwenda HabariLeo
Baada ya kuangalia video na wasifu wa washiriki wote, naweza kusema bila wasiwasi kwamba mshiriki namba 13 ambaye ni Sandra Mabaleka ndiye ataibuka mshindi. Ninaweka dau la Tsh1,000,000 kwamba Sandra atashinda.
ReplyDeleteDamn, i was wrong!!!
ReplyDelete