Home
Unlabelled
DK. KARUME AFUNGUA TAWI JIPYA LA NMB ZENJ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ugonjwa gani huu wa watanzania kila mtu kujiita Dr? Wengine siku hizi naona eti Engineer fulani...! Mbona huku juu kuna Maprofessor wenye Nobel Prize lakini bado hawaitwi Dr, Professor kabla ya majina yao? Mainjinia wa NASA hawaitwi Engineer fulani fulani. Wanaitwa moja kwa moja tu kwa majina yao. Huu utamaduni wa kujitukuza ndio unafanya watu wengine hata wanunue vyeti. Tumekuwa obssessed mno na hizi prefix. U-dr uko kichwani mwa mtu, na wala si kwenye jina la mtu. Michuzi, u-dr wa heshima hautumiki kwenye jina la mtu. Kama ingekuwa hivyo basi Koffi Anan angekuwa anaitwa Dr Dr Dr Dr Dr Dr Dr Dr Dr Dr Dr Dr etc etc Koffi Anan.
ReplyDeleteMimi kilio changu ni hii sera ya kusumbua wanafunzi wakiwa maskulini.Hizi shughuli za kiserekali za kupokea viongozi, kupelekwa kwenye viwanja kusherehekea mapinduzi na upuuzi mwengine haziwahusu wanafunzi!
ReplyDeleteTAFADHALINI VIONGOZI WAACHENI WANAFUNZI WASOME, MUSISUMBUE SUMBUE!!