Home
Unlabelled
Mh. spika katika tamasha la nyimbo za injili mwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
AMEEEEEN! Hizo ndo shughuli zitakiwazo kwa saaana. Ila nina wasiwasi na hiyo michango km itawafikia walengwa! maana Bongo wajanja wengi huziweka mifukoni badala ya walengwa. Mungu awabariki mliondaa, kuhudhuria na kuchangia onyesho hilo.
ReplyDeleteHONGERENI ILLA, KWA SASA NAONA IMEKUWA KWA SAANNA, NADHANI UCHAGUZI UKO MACHONI KILLA MBUNGE ANALIA KIVYAKE TUNAONA SASA NJIA ZA KUJIPIGIA DEBE KWA MBINU MPYAx2 ZA KILA AINA KWA WABUNGE WOOTTE
ReplyDeleteNyie wasanii wa \injili muogopeni Mungu! Wewe John Shabani umechukua hela za watu Dar hujaonekana kumbe upo Mwanza!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMhe chegeni uko juu,mungu atakusaidia
ReplyDeleterubbish!!!
ReplyDeletesiku hizi mgeni rasmi anapewa zawadi? hao ni kweli wanamtukuza Mungu au wanapigia mwanadmu kampeni, tena asiyefaa!!
hakika moto wa kifuu cha nazi unawasubiri.......
wadau samahani mimi niko ulaya na mambo mengi ya tz yananipita sababu ya box,kwani spika wa bunge bado mzee sitta sio mama sijui anna abdalaha au anna makinda???au ni spika mstaafu???
ReplyDelete