msanii wa kizazi kipya dully sykes (shoto) akiwa na dj choka (kulia) na rafiki yao kwenye internet cafe maarufu ya millenium tower kijitonyama jijini dar. dully ameiambia globu ya jamii kwamba anatamani sana kufanya kazi na supa modo cynthia masasi aliyeko marekani kwani amekuwa akivutiwa mno kila anapomuona katika video za wanamuziki mbalimbali. dully kasema atafarijika sana akipata nafasi ya kufanya music video moja na cynthia ambaye anamzimia mno

dili dili. dule sykes, niunganishe na joni mashaka nami nikuunganishe na cynthia. wote wapo malekani na cynthia ni rafiki yangu wa kalibu na wala siyo supa modo, ila kama unamzimia niambie nitapata nini ili nikuunganishe.tafuta namba ya mashaka john, unitumie kisha nikuunganishe na cytnhia wa masasi, je utaweza kupigwa na mwananke?
ReplyDeleteMan I luv Dully Sykes... he's a real hustler :-)
ReplyDeletejitahidi utengeneze nyumbe yako kaka acha ndoto za mchana mchana
ReplyDeleteAngela,
ReplyDeleteKama unampenda Dully si mtafute tu mmalizane wenyewe kwa wenyewe. Kusema hapa blog you love him haitusaidie kitu sisi waungwana.
Omuyasha wa Matiku lelo wangwisya!
ReplyDeleteati Omuhustula?
SIO SIRI CYTHIA NI MZURI AKIVAA ANAPENDEZA NA ANA UMBILE NZURI HALFU ARINGI
ReplyDeleteDully, huyo dada yuko Poa sana kwahiyo hilo lawezekana kaka.
ReplyDeleteDully jaribu kujifunza mbinu mpya za gemu,mziki sio mchezo vinginevyo kila siku utarudia rudia
ReplyDeletendoto za chooni
Akugwisya atiki go! ati nimwene enda go.Msige agende na bhumumu bhwaye.
ReplyDeleteMwaya asilia
Angalia usiuziwe mbuzi kwenye mfuko wa Rambo. Sio vyote vingaavyo ni dhahabu. Ila Sauti ya Dhahabu..lol
ReplyDeleteDully mdogo wangu nakupenda sana mtangulize MUNGUktk kila jambo baba unasikia?
ReplyDeleteWE DULLY KWANZA JIWEKE SMATI VINGINEVO UKIWA MCHAFU MCHAFU KAMA ULIVO HUTAWEZA KUJICHANGANYA NA WATU KAMA CYNTHIA SAWA
ReplyDeleteAah Cynthia, hana tabu kabisa Dully, ye sibagui sichagui atakae nizika simjui, atakusaidia.
ReplyDeleteHapo ujue damu imeshahamia chini!
ReplyDelete