Mara baada ya kumaliza swala ya Eid-el-hajj ya mwaka 2009 iliyofanyika East London. Bila ya mpangilio maalum wa majina ni kama ifuatavyo: Ustadh Hafidh Karama, Bwana Mohammed Lioroby, Bwana Saleh Jaber, Ustadh Khamis Faki, Ustadh Nassor Haroub na wengineo
KWA FURAHA, HESHIMA NA TAADHIMA GLOBU YA JAMII INAKUTAKIA MDAU POPOTE ULIPO SIKUKUU NJEMA YA EID EL HAJJ. MOLA AKUJAALIE AFYA NA AMANI KATIKA SIKU HII ADHIMU WEWE NA FAMILIA YAKO PAMOJA NA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI. AMIN
-MICHUZI


Takabal wahhu minna...
ReplyDeleteahasantee sana bwana michuzi nawe pia idd mbaraka njema na wadau wote walokuwa kila pande leo ni cku ya furaha na amani itawale kwenu. wasalaamm.
ReplyDeleteama kweli ukimcha Mungu kikweli, hukurahisishia mambo yako na kukuruzuku isivyo taraji(wa/ka).
ReplyDeleteSheikh Ismail amesoma dini na alipenda na kufundisha tawhidi (monotheism) na alijiepusha na tamaa kwa kufanya kazi halali (kidini). Walimu wenzake walijikita kwenye falak, uganga, kamari, disko n.k.
Sasa kashawazidi wooote, InshaaLlaah nabado.
Sheikh ismail, Umejaaliwa saana miongoni mwa viumbe wa Mungu, ukifanya istikama na kuepuka kuuza dini na waumini kwa wanasia kama viongozi wengine njaa (kwa visingizio tele) unaweza kukutana na Mtukufu wa daraja na babaye Ibrahim.
ReplyDelete