Vodacom Tanzania inapenda kuwakumbusha wateja wake wote wa Malipo ya Kabla na VodaJaza kuendelea kucheka huku wakitumia huduma ya CHEKA TIME ya dakika 60 BURE na wafurahie mawasiliano kwa SENTI 14 tu kwa sekunde kwa simu za Vodacom kwenda Vodacom pekee muda wote (isipokuwa kuanzia saa 11 jioni hadi saa 2.59 usiku) Jumatatu hadi Jumapili. Kujiunga, piga *147*07# na kuangalia salio la dakika zako za BURE, piga *147#.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...