Limo nyingi sasa hivi zimepotea mitaani.
Mdau Lole wa Lole

kwa taarifa tu: mdau Lole wa Lole na wadau ni kwamba hilo ndilo lillilokuwa limo la kwanza la iddi janguo ambalo lilishika moto mapema mwaka huu maeneo ya Mikocheni Coca Cola jijini Dar. nimeongea naye kasema spea zipo kibao na kwake si taabu kuagiza nje na kwamba si kweli kwamba lilishika moto kwa sababu hiyo, bali ni hitilafu ya wayaring...
-Michuzi
Mdau Lole wa Lole
kwa taarifa tu: mdau Lole wa Lole na wadau ni kwamba hilo ndilo lillilokuwa limo la kwanza la iddi janguo ambalo lilishika moto mapema mwaka huu maeneo ya Mikocheni Coca Cola jijini Dar. nimeongea naye kasema spea zipo kibao na kwake si taabu kuagiza nje na kwamba si kweli kwamba lilishika moto kwa sababu hiyo, bali ni hitilafu ya wayaring...
-Michuzi
HAYA MAGARI NI YA HALALI????AU ???
ReplyDeleteSPEA FEKI ZINAMAANISHA HATA WIRES ZA KUFANYIA WAYARING...MBONA MNALETA ZA KULETA, HAMNA SPEA HAMAN SPEA
ReplyDeleteIddi,
ReplyDeleteKashaanza shughuli zake za Houston ... Nadhani wale walioko Houston watanielewa !
Jamani mna uhakika na yaliyotokea ni kweli ? Usilolijua ni usiku wa kiza !!
ReplyDeleteMie simjui huyo Iddi Janguo lakini huyo mdau aliyetuma hii picha inaonesha amefurahia sana kuungua kwa hilo gari... kuwepo kwa vipuli au kama havipo yeye inamuhusu nini? mtu akiagiza gari si anajua vipuri atapata wapi? jamani mbona mnaroho ndogo hivyo????
ReplyDeleteANKO!
ReplyDeleteInaonekana uko a bit biased. Hii habari ya kuungua kwa hili Limo na contents za maandiko yako na yale ya Iddi yana utata mkubwa.
Kama gari liliungua mwanzoni mwa mwaka 2009 kwa nini hiyo takataka isitolewe hapo? majigambo ya spea sijui nini, sisi hayatuhusu.
PLEASE KEEP DAR CLEAN.
Bro Michu, ahsante kwa kutufahamisha
ReplyDeleteLole wa Lole
MICHUZI HIYO HABARI ULIYOIPOST KUWAJIBU WADAU IMEKAA KIMBEA MBEA SANA HEBU JARIBU KUTUMIA USTAARABU KIDOGO UNAPOTAKA KUJIBU HOJA ZA WATU, YAANI UMEONYESHA UMELALA SANA UPANDE WA JANGUO NA KUKEBEHI WADAU WENGINE MWEH. UKIPENDA KUPOST POST TU UKIWEKA KAPUNI MESEJI IMEKUFIKIA
ReplyDeleteSasa Bwana Michuzi hiyo miwaya ya Kichina si ndo spear zenyewe tunazozungumzia? Au huyo mwenzetu Janguo anaelewaje juu ya suala la Spear? Pili, gereji za vichochoroni plus Chinese spears = fire. Hii ni formula nakupa wewe na wadau wengine muitunze.
ReplyDeleteToeni junk hiyo barabarani, au bongo hamna junk yard nini?
ReplyDeleteMungu atamsaidia Inshaalah!
ReplyDeleteHalafu usawa insuaransi ikalipa watu wakanunua jipya, sasa hilo jipya likiwaka kweli we Iddi sijui utasemaje!
ReplyDeleteIddi Pole sana nategemea na hii recession ulijiweka sawa afu naona umekuwa mkubwa sana, yaani sasa hivi ni muda mrefu tokea nikuone wakati tuko wote oysterbay. nilivyoona picha yako chini nimeona kama ninamwona mzee wako naona mko kopi right.
ReplyDeletenakutakia kila la heri.
mdau US
kuna stika za fire siku hizi
ReplyDeleteakuweka nini,
kila mtu na akili yake ya maisha...
ReplyDeletena goal zake pia..eg;Tegeta ya leo sio ile ya kiwanja Laki,
hata wanunue Chopper atajua atakavo itumia.....
Lawd have mercy on this boy!!! A'int nobody ignant or dumb not to smell an insurance scam. All I say to this boy is, " If u do the crime be ready to do the time." U got lucky once and u used all ur lifelines.
ReplyDeleteWajameni ni SPARE au KIPURI mwe!
ReplyDeleteIddi sio wa kukosa sper za gari kama ilo...ana ndugu 9 wanaoishi houston si wanamletea bule.sema idd umeama kutangaza jina twanga pepeta sasa unakuja kwa misupu.
ReplyDeletemdau money uk.