The National Costume competition of Miss Earth 2009 was held on November 4, 2009 at the Cultural Center of the Philippines Grand Theater in Pasay City.All of 87 candidates participated in the competition, with Miss Tanzania winning the coveted Best in National Costume award.
Minor/sponsor awards were also given at that night which includes the Placenta Award which is given to Miss Puerto Rico and Pasigandahan Award (the award name is a combination of the main river that passes through Manila and the Filipino word for beauty) which went to Miss Guam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. "best in National Costume"? What national costume? What on earth did she wear, I wonder?

    ReplyDelete
  2. Hongera sana kwa Dada yetu Miss Tz! Lakini Anko mbona usitutajie jina lake kamili?

    ReplyDelete
  3. Mliakuvana, I guess what matters here is that she WON and nothing else! Me neither can not comprehend what she dressed in!

    ReplyDelete
  4. nimependa sana jamani amejitahidi mtengenezaji si kazi rahisi kutengeneza hii jamani na akiendelea kubuni atakua mbunifu mzuri wa kimataifa kumbuka mbunifu ni kutoka morogoro nje ya mji basi amefanya kitu ambacho ni kigumu kama huna moyo kutengeneza au mlitaka mbunifu atoke marekani,tuwe tuna sifiana kwa kitu nikizuri sio kukatisha tamaa,maelekezo kidogo au kukosoana sio mbaya lakini sio kukatisha tamaa.

    ReplyDelete
  5. Me too! I am not sure what she is wearing but "WE WIN, WE WIN," Who cares!!!

    ReplyDelete
  6. SASA WATANZANIA NASI TUMEJIKOMBOA KWA KUPATA VAZI LA TAIFA. HUU NI UHURU KAMILI SASA.

    ReplyDelete
  7. Kwa kweli ujinga wa wazungu ndio furaha ya Mwafrika :-) Nadhani wapo wanaofikiri Tanzania nzima tunaishi katika pori kuuubwa na wanyama wanakimbia kimbia mwituni kumbe wangejua wabongo maisha tambarare kwa baadhi wetu ghorofa inajengwa ndani ya miezi mitatu full aicondition everywhere kazini, kwenye gari, nyumbani, sehemu anayoenda pub kibao full AC mambo ya magari yanayoweza kulisha vijiji kwa mwezi mzima kudadadeki mtu anaendesha jijini Dar es salaam halafu vazi la taifa limepita magome ya miti aka mizizi...
    Ndio hivyo tena tumeshinda :-)

    Big Up!

    Nahisi wanadhani hata lugha zao hatujui... LMAO!

    ReplyDelete
  8. Wow!!!From Miss Tumaini to Miss Earth!!Hongera Evelyn, Am so happy for you! Hongera pia kwa Tanzania! Keep it up.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...