Kama upo Kazini au Nyumbani tembelea
kwa ngoma mbali mbali kali na nzito toka Tanzania ili uburudishe na ukonge roho yako kwa idadi ya miziki zaidi ya 1000+

Kama ni kijana, Umri wa Kati, mzee na upo Tanzania au nje ya Tanzania MK Music Galaxy ni chaguo lenu wote, Kuna miziki kama Bongo Flava, Bongo Dance, Taarab, Zilipendwa na Nyimbo za Injili.

Karibu kusikiliza ngoma kali za Tanzania na uburudike roho yako. MK Music Galaxy hatufuti Miziki ili kuongeza mingine, MK Music Galaxy tunaongeza Miziki kila siku na kuutangaza Mziki huu wa Kitanzania.

Kwa wanamziki chipukizi (underground) na wale wakongwe mnaweza kutuma kazi zenu hapa na kuweza kujitangaza na kuutangaza Mziki huu wa Tanzania.

Kwa test bonyeza hapa kula song hizi Kali. Au Tembelea MKMG kusikiliza miziki zaidi ya 1000


1:


2:


3:


3b:


4:


5:


6:



Ukipata habari hii mtumie Rafiki Yako.
Sambaza habari hii, Tangaza Mziki wa Tanzania.

Daima tupo Pamoja!

MK Music Galaxy
Exploring The Tanzanian Music.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. IT IS A GOOD JOB INDEED, WITH WOW FACTOR. HERE AS WELL I HAVE SOME FEW COOMENTS TO MAKE TO THOSE WHO ARE INVOLVED IN MUSICS, AND THAT IS, YOU KNOW WHAT! MUSIC DO NOT HAVE A SPECIAL LANGUAGE, MUSIC BY ITSELF IS AN UNIVERSAL LANGUAGE, ONE COULD SING IN ANY LANGUAGE AND STILL FOLKS AROUND THE GLOBAL COULD ENJOY IT, AS WE KNOW THERE WAS A TIME WE IN TANZANIA WE WERE MASSIVELY ENJOYING BOLINGOBOLINGO FROM ZAIRE, AND I BET SOME FEW OF US WE WERE NOT FAMILIAR WITH LINGALA, JUST FEW DAYS AGO FALLY IPUPA COLABORATED WITH OLIVIA FROM G-UNIT IN NEW YORK CITY AND PRODUCE A STUNNER GLOBAL STANDARD SONG, EVEN OLIVIA HERSELF SUNG IN LINGALA AND FRENCH IN SOME PARTS, AND THAT WAY ZAIREAN MUSICS START TO FIND ITS WAY INTO USA MARKET, I APPRECIATE IT IS A VERY HARD MARKET TO CRACK, BUT SLOWLY WE CAN GO GLOBAL. MUSIC IS SOURCE OF FOREX AS WELL, SO I BEG YOU GUYS TRY TO MARKET OUR MUSIC GLOBALLY, IT IS POSSIBLE AND NOTHING IS IMPOSSIBLE UNDER THE SUN, JUST TRUST YOURSELF, BE YOURSELF, AND THAT "YES WE CAN" ALSO I BEG YOU GUYS TRY TO LEARN TO PLAY INSTRUMENTS, IT IS GOOD FOR LIVE CONCERTS, ALSO TRY TO CHOREOGRAPHY, LEARN DANCING NICELY IN FORMAL WAY, YOU CAN HIRE CHOREOGRAPHER/ DANCING TEACHERS AND FROM THERE TAKE IT GLOBAL. YOUR MUSIC IS ONE OF A COUNTRY'S IDENTITY, THERE ARE PEOPLE OUT THERE THEY KNEW USA SIMPLY BECAUSE OF MICHAEL JACKSON'S MUSICS, SO LET US TOGETHER MAKE IT HAPPENS- "TUPO PAMOJA"

    ReplyDelete
  2. Bab kubwa, respect

    ReplyDelete
  3. mk music galaxy mnajitahidi saaana kwa kweli ni website ambayo ninaipenda pale tu niamkapo asubuhi naifungua na kwenda na kusikiliza miziki ya nyumbani... sio siri mnawakilisha wasaanii wa nyumbani vizuri na kupata kuwafanya kujulikana sehemu nyingi... nivizuri kupata watu kama nyinyi ambao mnaiwakilisha nchi yetu ya Tanzania in 1 way or another.
    MILLEN M. JACKSON

    ReplyDelete
  4. du hizi nyimbo mlizoweka hapa ni kiboko mmeipangilia ipasavyo kazi nzuri saana wa kubwa. Mpangala

    ReplyDelete
  5. hahaaaa duh hii nyimbo ya zilipendwa sio mchezo imenikumbusha mbaaaaaaaali kweli mwaka wa arubaini na saba enzi za ujana wangu.

    ReplyDelete
  6. ahsanteni kwa kutuwekea miziki hii leo hapa katika blogu yenu hii ya jamii inatufanya hapa tusherehekee sikukuu yetu ya idd kwa raha na muhstarehe kwa kupata vitu vya kinyumbani kutufarijisha, tunashukuru sana glob ya jamii pamoja na music galaxy. wadau wa Rusia

    ReplyDelete
  7. nyimbo no. 3 na 3b zimepigwa na kikundi gani tujulihe tafadhali nizimetulia duuuu nami ntampigia Asali wangu nimpe stori

    ReplyDelete
  8. Mimi binafsi nimeupenda huo wimbo wa mwisho wa dini. Ongereni na mbarikiwe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...