Mama Salma Kikwete(katikati) akiwa na Mke wa Rais wa Zambia mama Thandiwe Banda (kushoto) pamoja na mke wa Rais mstaafu wa awamu ya tatu mama Anna Mkapa wakishiriki mkutano mkuu wa mwaka wa kimataifa wa Taasisi ya Utepe Mweupe leo jijini Dar. Mkutano huo unaowashirikisha wanachama kutoka nchi zaidi ya 20 pamoja na mambo mengine unajadili uzazi salama kwa wanawake na njia bora za kupunguza vifo vya wanawake wakati wa kujifungua
Home
Unlabelled
MKUTANO WA UTEPE MWEUPE LEO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...