kutokana na maombi ya wadau wengi, mdau juma liganja wa tukuyu ametuletea taswira ya mlima rungwe ulio wilayani rungwe mkoa wa mbeya kama unavyoonekana leo. anasema kapiga akiwa kasimama maeneo ya posta ya tukuyu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. MLIMA RUNGWE NI WA TATU TANZANIA KWA UREFU BAADA YA KILIMANJARO NA MERU NA NI CHANZO KIKUBWA CHA MATETEMEKO YA ARDHI YANAYOTOKEA KILA MARA MKOANI MBEYA.

    ReplyDelete
  2. HAHAHAHAHAHHAHAHAH.....SAFI SANA.....LAKINI UNAWEZA UKATUPATIA UREFU WA MLIMA HUO.....NA SPECIAL FEATURES ZAKE.....JHOUNE ANDENDEKISYE MBIJE GHWA KUMAKANDANA.

    ReplyDelete
  3. Michuzi!! mwambie mdau NDAGA FIJO!!! na mwambie tunamuomba sana atume picha nyingine nyingi sana tuangalie home jamani....ninaomba sana mdau atusaidie kwa hilo...tupelile fijo blaza!!

    ReplyDelete
  4. Mangiii Juma, Hayo maeneo ya posta ulikuwa unafanya nini mpaka ukaambua kutoa hii taswira. Nahisi ni baada ya kushiba kunde. hehe

    ReplyDelete
  5. asante mdau TUKUYU ni moja kati ya wilaya chache za TANZANIA ambapo mzina mandhari nzuri ya kuvutia sawa na baadhi ya miji ya ULAYA MAGHARIBI

    ReplyDelete
  6. so? Mlima Rungwe ndio nini?

    ReplyDelete
  7. Ahsante sana nwana Mithupu bin Michuzi kwa ku reproduce taswira sahihi ya Rungwe mt.
    Ukiwa hapo alipopigia picha Posta, unaweza fikiri mlima huu ni mdogo lakini hapo ulipo uko kilometa 14 toka Posta na urefu wake ni meta 2961 juu ya usawa wa bahari(Kilimanjario ni zaidi ya 5000m)
    Mlima huu una volcano ambayo hata hivyo haiko active,haikumbukwi lini ili jirusha!!Lakini karibu na hapo kuna Lake Ngosi, ziwa la Crate kama Ngorongoro lakini lenyewe ndio crater lake kubwa zaidi kuliko yote Afrika.
    Makabila ya hapo yaliogopa samna kufika eneo hili ambalo hadi leo linatisha.

    Kwetu mimi ni paleee chini! karibu na kiwanda cha chai.

    ReplyDelete
  8. kaka mithupu lilino guhowule mpaka raha! asante sana, nahisi km nipo nyumbani. Tukuyu kijani haipungui! NE GWAMMASOKO

    ReplyDelete
  9. Ama kweli hiyo ndiyo Tukuyu (Tukuju), kwa wasioijua hali ya huko, hiyo picha wasidhani ilipigwa usiku, bali ni mchana. Hali ya gizagiza kama hiyo wakati mwingine hupiga wiki nzima, jua mnalisikia tu! Ni manyunyu na baridi!

    ReplyDelete
  10. Mount Kilimanjaro
    Mount Kilimanjaro
    5,895 metres kutoka usawa wa bahari

    Mount Meru
    4,566 metres kutoka usawa wa bahari

    Mount Rungwe
    2,960 metres kutoka usawa wa bahari

    KAMA PICHA INAVYOONESHA SEHEKU HII INA BARIDI SANA NA UKUNGU; KIWANGO CHA MVUA NI CHA MWAKA MZIMA.

    ReplyDelete
  11. the most beautiful place in Africa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...