To Whom It May Concern:

On behalf of Benedicta Mkesi Mushi of Moshi Kilimanjaro Region we are looking for her son known as John Tabu.

John Tabu was born at Machame Hospital on 12th October 1971. His father was a mission Priest his name is withheld. At the age of 6 months, John Tabu was taken away from her mother’s by mission nuns and sent to Uganda. In Uganda was handled to an English/American family. Benedicta can neither remember the names of the family nor the mission nuns.

Benedicta remember only when she paid a visit to that family once in Uganda. The family left Uganda with John Tabu during Uganda war under Idd Amin Dada and she was told they went to England.

REQUEST
Benedicta Mkesi Mushi is requesting for anyone who has information of the whereabouts of John Tabu or John Tabu himself to contact her using the following numbers or email address.
Mob: +255 784 305950
+255 655 305950
+255 756 747876
E-mail: kevonamakelele@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Alichukuliwa kivipi kama ni mtoto wako?? Na mika yako hujawahi kumtafuta??

    ReplyDelete
  2. Nilifikiri PADRI huwa haruhusiwi kuwa na mtoto.....au?

    ReplyDelete
  3. JARIBU KUWASILIANA NA UBALOZI WA UINGEREZA NCHINI UGANDA, HATA HIVYO INAONESHA NI NAMNA GANI ULIVYOKUWA BIZE NA MAISHA UKIWA KIJANA KIASI CHA KUTOONA UMUHIMU WA KUWA NA MAWASILIANO NA FAMILIA HIYO UNAYOITAFUTA; SASA UMEZEEKA UNAHITAJI MTU WA KUKUTUNZA! ITAKULA KWAO.

    ReplyDelete
  4. www.aikamangi.blogspot.comNovember 30, 2009

    Important leads, if at all you are serious,
    ask the priest, If he is still alive. He may have valuable information. Contact the nun if you know her or the convent where she belonged!
    otherwise it looks like you you are joking

    ReplyDelete
  5. WAGANDA HAWA WAMETUCHUKULIA MTOTO NA SASA WAMETUFUNGA NA KIMEO CHETU MAXIMO ALIYETAMBA JUZI KUWA TUTAWAFUNGA NA WATANZANIA KWA USINGIZI WETU HATUJIULIZI KOCHA HUYU ASIYEFIKIRIA KUACHI NGAZI MWENYEWE KWA KUFUNGWA KILA MECHI NI WA AINA GANI.

    ReplyDelete
  6. khaa nimecheka adi basi duh early in ze morning

    jaman amesema priest aweza kuwa ata wa madhehebu wanayoruhusiwa zaa,upo apo???

    mh miaka yote iyo?eshasahau uyo jamaa maana ni mkubwa sasa,,

    kila la heri mama

    ReplyDelete
  7. ULIMWACHAJE MTOTO WAKO AENDE KUISHI NA MASISTER NDUGU YANGU AU NDIYO UNAFUU WA MAISHA? ANYWAY JARIBU KUWASILIANA NA SHIRIKA LA MASISTER HAO LAZIMA KUNA MMOJA ATAJUA HABARI ZAKE

    ReplyDelete
  8. Jameni wa Tz wenzangu, taratibu, mtu akituma kitu chake humu ndani ya public blogs, nimegundua ni tabia ya wengi badala ya kujibu wanaanza kukebehi, maandishi ya dharau na hatimaye kutokuandika kitu cha maana. Sio maana ya blog andika kile unaona ni cha msaada, watu wangapi tumesikia wanungana na wazazi uzeeni? na kwa kuwa leo ndio ameandika mnajua ndio ameanza kutafuta huo mtoto?. Sio vizuri narudia tumia blog vizuri ili iwe ya msaada.

    ReplyDelete
  9. Mimi nitatoa clue

    Tabu= Mashaka

    John Tabu = John ?

    Kama ukiweza kuisolve hii equation basi utajua mtoto wako yuko wapi.

    ReplyDelete
  10. Nyie wote hakuna hata mmoja aliemsaidia huyo mama Benedicta. Kama hamjui si mkae kimya tu badala ya kumbeza. Hivi mkoje nyinyi watu? Oh sijui kama ni padre ilikuwaje akazaa na maswali mengine ya kipuuzi tu. Nakubaliana na Anon wa 08:04:00 mia kwa mia.

    Tuwe wastaarabu jameni. Aagh!!!

    ReplyDelete
  11. Tafadhali sana ninawaomba nyinyi wote msioweza kuwa na msaada wowote msi-post comments zenu. Wacheni matusi, kejeli na kebehi zenu kwa kitu serious kama hiki. Kumbukeni "what goes around comes around." Wale ambao wana mawazo ya kuwasaidia wahusika kumpata mtoto wao, nawaomba mfanye hivyo.
    Hamadi Nkya.

    ReplyDelete
  12. Kila shirika la kikatoliki lina jina(Holly Ghost, White Fathers) nk kama unalikumbuka jina la shirika na jina la Huyo Priest ni vyema ukaliweka wazi ili iwe rakhisi kwako kumtafuta(kumtrace mtoto wako)Na kama unasema alipelekwa Uingereza huwa kuna watu kazi zao ni kuwatafuta watu waliopoteana toka wanazaliwa au aina yoyote ile.Kuna mwana mama anaitwa Trisha Goddad anayo tovuti yake hata ukigoogle unaweza kupata maelekezo zaidi jinsi ya kumtafuta mtoto wako huyo na huenda amebadilisha jina(Through Deedpoll)
    http://www.trishatv.com/
    Na yaonyesha walimuadopt huyo mtoto kinyume na sheria huenda ukapata compensation kwa muda wa miaka yote.Jaribu kufanya jitihada kuwasiliana na Trisha Goddad

    ReplyDelete
  13. Kuongezea hapo juu wasiliana na Red Cross International Tracing Dept na uwape maelezo yote ikibidi na jina la huyo Padri(Kasisi) itakuwa ni rahisi sana kumpata cha msingi huyo kasisi awe hai, huenda bado anamawasiliano na mwanaye au naye amekuwa Padri

    ReplyDelete
  14. anon 10:36:00 AM nimecheka hadi napata kwi kwi ya kicheko hivi ulifikiria nini lakini jamani watu mna visa acheni tuu sasa ina maana mtoto wake ni john mashaka au?? uuwii ha ha haaa

    ReplyDelete
  15. Mon Nov 30, 10:36:00 AM

    hahahaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii nakufa apa

    nilikua sijaelewa asante hahahaaaa

    ReplyDelete
  16. annon Mon Nov 30, 10:36:00 AM

    pliz tunaomba jitoe jina lako kwa leo tu maana umenivunja mbavu sijawai ona giniasi kama ww

    ReplyDelete
  17. John Mashaka... Unatafutwa na Mzazi wako...kumbe wewe John Mashaka una asili ya uchaga. Ndo maana wewe na Dr Shayo Hilderbrand hamuachi vituko...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...