Andrew Bukuku, Anasikitika kutangaza KIFO cha BABA yao MPENDWA Mzee Dyson A. Bukuku, Kilichotokea usiku wa kuamkia jumamosi ya tarehe 14/November 2009.
Msiba upo MBEZI BEACH,nyumbani kwa Marehemu Mzee Dyson A. Bukuku.
Mazishi/Maziko yanatarajiwa kufanyika siku ya Alhamisi ya tarehe 19/November 2009 katika MAKABURI ya KINONDONI ya ndani,Baada ya Ibada.

Kwa mawasiliano zaidi:
0713 565 431 - Tanzania
0713 25 25 08 - Tanzania
0756 779 213 - Tanzania
+ 4479 5628 1504 - UK,London
+ 8210 3141 7571 - Seoul
+ 8210 5780 7272 - Seoul

Email:andybukuku@gmail.com

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA
JINA LA BWANA LIBARIKIWE.
AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Andrew ChiduoNovember 15, 2009

    Pole Sana, Ndugu Yangu.Mungu atawalinda nyote,na kwa nguvu zake mazishi yataisha salama.Bwana asifiwe.Amen.

    ReplyDelete
  2. Bwana yesu asifiwe, wapendwa, damu ya bwana wetu yesu kristu iwazingile na kuwalinda kwa baya lolote lile katika kipindi chote hiki kigumu cha majonzi!
    Duu!
    Poleni sana,sisi tunapenda kuwapeni pole sana , tumepokea habari hizi za msiba kwa mshtuko mkubwa sana , mungu ailaze mahali pema peponi roho ya mzee wetu DYSON BUKUKU , tunakukumbuka sana kwa kupitia ucheshi na upendo kutoka kwa watoto wako , rehema na upendo wa bwana viwashukie mkae kwa amani na utulivu katika kipindi chote hiki kigumu mlichonacho cha majonzi ,
    Muwe wavumilivu na muwe na upendo miongoni mwenu
    AMEN.
    RICHARD & MAMMY (UK)

    ReplyDelete
  3. MUNGU AWABARIKI KTK KIPINDI HIKI KIGUMU POLENI SANA NDUGU ZANGU.PAUL LYIMO

    ReplyDelete
  4. Poleni sana, ndio kazi ya Mungu.

    US Blogger

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...