Mdau George Njogopa wa Clouds Fm baada ya kula nondozzzz mwishoni mwa wiki katika masuala ya Jinsia katika Maendeleo( Gender Issues in Development) katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu J.K.Nyerere Kigamboni zamani (Kivukoni) .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Kaka HONGERA kwa ze nondoz. Nakutakia kila lililo la kheri. I hope itakusaidia hata ktk utangazaji wa habari pale radio mawingu na masuala mengineyo. majina ya watu na baadhi ya maeneo huwa unayatamka ndivyo sivyo mshkaji, jaribu kupraktizz pronaunsieshen zake kabla ya kuingia hewani mkuu. at times huwa unaharibu.
    Mdau Mcalabash chiggs, deslam

    ReplyDelete
  2. ...any relation to the late Major Njogopa at Makambako in the mid-80s?

    ReplyDelete
  3. kivukoni ni mwl jk na ustawi nayo mwl jk, hebu ona hapo unavyopata tabu kumuelewesha mtu

    ReplyDelete
  4. Bro na mimi nakupa hongera sana kwa hatua uliyopiga; ila naungana sana na mdau wa kwanza ni vile sijui ni wapi na vipi naweza ku-express mawazo yangu utangazaji wako ni mbaya, pronounciation ni mbaya kuliko mana unatangaza kama vile wewe sio mbongo au hujui kiswahili vizuri wakati kuna watu wanaishi nje ya Tanzania miaka kumi lakini akiongea kiswahili ni kama tunaishi nae hapahapa muda wote, tafadhali badilika, be natural.

    ReplyDelete
  5. Hongera sana Njogopa. Hayo ndo mambo ya kuzungumza. kila la heri

    ReplyDelete
  6. George ongeza kitabu zaidi. usiangalie nyuma

    ReplyDelete
  7. Kaka joji.
    HOngera kwa hatua uliyofikia, ni moja ya HATUA MUHIMU kiKAZI.
    Ila kama MDUA wa mwanzo hapo juu, kwenye KUCHAPIA umetia FORA Kaka. Make amend kidogo kwenye hili, maana wakati mwingine unaharibu ile ladha ya 88.4.
    Pia mfikishie SALAMU Kapten, mwambie ile kitu/ndude inaitwa CIRCUIT BREAKER na siyo SOCKET BREAKER.
    Maana mwezi sasa anaendele kutupotosha. Unless kama hicho ni kifaa kipya

    ReplyDelete
  8. S'pendagi kurudia lakini leo naomba niweke msis'tizo. George, elimu naomba ikusaidie lakini pia na ushauri wa humu ukusaidie. Una matamshi MABOVU katika taarifa. Yaani , foreigner si foreigner , mshamba si mshamba, da'asa pili si da'asa pili. Maneno, majina, kila kitu almost unakosea.

    Weka concentration usomapo taarifa na saingine hata bila ku practice, general knowledge tu inatakiwa ikusaidie kuunganisha au kutenganisha ishu. Mfano, " ... Waziri mkuu alipokuwa akisema hayo anahutubia.." sasa embu fikiria hicho ni kitu gani! hapo sentensi imefika mwisho. na saingine inafuatiwa na habari inayohusu kitu kingine kabisa.

    Na hivi ndio vitu vinatuangusha Watanzania wenzangu. Tunakalia ujanja ujanja usio na maana , lakini mambo ambayo yanahuuuuu ( lugha ya Leo tena) yanatushinda.

    Kama wanavyoniboa wa L na R.. au uzunisha , anazalau ... uwiiiii

    Waktabahu,
    Pekupeku Chakubanga Polo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...