TAJI LIUNDI(kushoto katika picha)meneja wa timu ya shirika la utangazaji Tanzania TBC SPORTS CLUB akipokea msaada wa jezi 20 za juu na chini na mipira miwili kutoka kwa meneja wa uhusiano,habari na mawasiliano wa SERENGETI BREWERIES LIMITED(SBL) Bi. Teddy Mapunda. Msaada huo una thamani ya shilingi laki 8. timu ya tbc kwa sasa ipo TANGA ikishiriki michuano ya SHIMUTTA(shirikisho la michezo kwa mashirika ya umma na makampuni binafsi).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Vodacom wanataka mechi na nyinyi TBC, mko tayari? wachekini kwenye email au Rukia Mtingwa.

    PS; Mnashauriwa kufanya mazoezi kwa nguvu muweze kwenda sambamba na Voda, maana mazoezi yenu ya mwaka mzima ni goli tano mtachapwa kwahiyo mnatakiwa kuwa mmekula jaramba miaka mitano ili mfungwe kagoli kamoja...NI HAYO TU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...