Mchezaji wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake, Zena Juma (kushoto) akitafuta mbinu za kumtoka Hindu Mwalami wakati wa mazoezi ya timu hiyo ya kujiandaa na michuano ya kimataifa ya wanawake huko Nigeria ambapo Twiga Stars imealikwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. God move dadie

    ReplyDelete
  2. Uncle michuzi kama naomba uweke hii link ilikuonyesha mshahara wa $4,458,840 kwa mwaka si mzaha bali unagharama yake kubwa http://www.youtube.com/watch?v=iq5SYn959mY&feature=player_embedded
    enyoy

    ReplyDelete
  3. WATAPATA 0

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...