Home
Unlabelled
uharibifu wa mazingira mvomero
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yote hiyo ni khali ngumu ya maisha,kwa ufupi maisha yamekua magumu sana acha wakimbilie kwenye raslimali zilizopo wafaidike pia.
ReplyDeleteKwa nini huyo mkuu wa mkoa amesimama juu ya magogo?
ReplyDeleteumeme hakuna na pesa zikitolewa wanakula na hata uliopo ni bei mbaya sana,gas ipo lakini serikali haifanyi chochote wananchi nao wa chini wafaidike,dawa ni kukimbilia kwenye mikaa tuu na kuni,sasa hapo mnajidai mnashangaa na kuwaita wahalifu,mnataka wapikie nini na kipato watoe wapi?
ReplyDeleteHuyo Mkuu wa Mkoa hatumii Mkaa? Kupikia Kande na kuchoma nyama? Hebu acheni unafiki. Wapeni wananchi alternative means kabla hamjaanza kusema ni uharibifu wa mazingira. Kuna waharibifu wa mazingira kama hao mawaziri wanaochoma gallons and gallons za mafuta kwa hayo mashangingi? Hebu tupisheni...
ReplyDeleteHuu ni upuuzi mtupu.
ReplyDeleteWananchi hawana alternative souce of energy (nishati mbadala) halafu wewe unasema tunahifadhi huu msitu mtu asikate mti wala kuchoma mkaa.
Mimi naona wewe unayetoa amri hiyo ndo mwenye matatizo ya akili.
Hii ni sawa na kuwa na sahani moja tu ya chakula wakati nikiwa na njaa halafu unaniambia niiweke nitaila wiki ijayo.
Unamuhifadhia nani?
Kesho watakuja wageni utawauzia hilo eneo wakate hiyo miti, wananchi wako umewafunga njela.
Umeme, gesi, jua na vyanzo vingine vya nishati mmekwisha vi-Richmond halafu mnashangaa watu kukata miti. Mnaakili kweli ninyi binadamu?
Kwani ninyi wenzetu ni wananchi wa nchi gani? Ni Tanzania hii hii tunayoijua sisi? Kwa nini mtufanyie hivi? Umeme mmeuharibu na hata hamkutuletea, gesi mmeharibu na mmejipelekea wenyewe, mtera na kidatu ndo usiseme. Halafu mnaishi kwa kodi zetu tena mkizivuruga mnavyotaka. Mmetunyang'anya kila kitu kilichokuwa chetu. Miti mtukataze tusikate, mnataka tushije? Tule chakula kibichi? Nyama mbichi? wakati hiyo nyama hata hamikagui, si mnataka kutuua kwa magonjwa.
Tukifa, mkitumaliza mtanyonya nani jamani?
Hebu kaeni chini mfikiri.
Ninyi serikali ndo mnaotuharibia mazingira na mirichmond yenu. Ufisadi tu mmejaa, pesa ambayo mngelitumia kutupatia nishati mbadala mmenunulia mashangingi na kufanyia umalaya.
ReplyDeleteHamjali tunakula nini? Tunalala wapi, tunaishije. Tunahitaji mkaa na kuni tuweze kupata nishati, hamtaki.
upuzi wa hali ya juu kabisa yani watu wakamatwa kwa jambo hili ,mbona hamuwakamati wauza unga wakubwa wakubwa nao wanajulikana na vigongo wa serikalini,mka muuwa bure amina chipuka/chifuka...kwa sababu ya kujua siri zenu...
ReplyDeletewatu wanatafuta riski zao kwa jasho lao nnawakamata,hamuoni hata haya wala aibu,mtumjibu nini mungu wenu kesho mkiwa ndani ya kaburi nafikiri mtaishi milele kuwanyanyasa daima walala hoi nakujishibisha vitambi vyenu kwa jasho la wavuja jasho walala hoi..
wajanja wa mitaani wenye kula deal na nyinyi ndo wanao ishi na kutuharibia watoto na wajuku zetu..
tanzania hii leo kuna kila aina ya vitendo vichafu na tamaa mbele..
lakin mlala hoi mungu yuko na wewe.
fisadi wakuwa wakuu wa serikalini..
HIYO NI HALI NGUMU YA MAISHA NI SOURCE OF INCOME AND CHEAP ENERGY, YOU CAN NOT AVOID BEFORE SOLVE THE WHOLE BIG PICTURE, CREATE EMPLOYMENT FOR THE PEOPLE, HELP THEM TO FIGHT POVERTY, OTHERWISE THEY WILL CONTINUE TO DECIMTE THE FOREST. VIONGOZI ACHANE UCHOYO SAIDIENI WANANCHI
ReplyDeletena tutakata sana hiyo miti mnataka tupikie nini? wakati umeme wenyewe ni wa mgao?? hata nyinyi wabunge mnatumiaga sana mkaa mkitokaga huko dodoma njiani mnapakiaga migunia ya mkaa mnashindilia kwenye hayo mashangingi yenu halafu mnajida bla bla hapa na baadhi yenu kwa kutumia nyadhifa zenu mnakata magogo mnasafirisha nje ya nchi mnajinufaisha wenyewe sasa si bora tufaidi wote??? punguzeni umimi
ReplyDelete