anko ameemdeleza vekesheni, safari hii bada ya kutoka buja katembele magofu ya karne ya 13 ya kaole nje kidogo ya mji mkongwe wa bagamoyo katika mchakato wa kuendeleza utalii wa ndani
katika msikiti wa karne ya 13

hapa ni caravan serai ambapo ndipo palipokuwa na
ofisi za utawala enzi za biashara ya watumwa


anko alitembelea kambi ya kisura wa tanzania pale kiromo resort, kama kilomita 10 kabla ya kuingia bagamoyo na kukutana na supa modo emmy anayefanya umodo sauzi ila sasa yuko bongo kusimamia kambi hiyo. habari zake zote BOFYA HAPA

mdau ayubu mzee wa london pia yupo bongo na hapa anafanya intavyuu na emmy




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. mkuu wa wilaya mota imeisha chaji ndio umeenda kuchaji,kwa nyepesi 2lizonazo ni kua umeonekana kwa dr.kafulia mganga maarufu pale b'moyo.

    ReplyDelete
  2. Michu umenikumbusha, nilishafika hapo, kuna kaburi la Sharifu na kisima kisichokauka, wanadai maji yake ni ya baraka. Basi tulipofika hapo wacha watu wajimwagie maji na kunywa eti wapate baraka.

    ReplyDelete
  3. Anko hivi T shirt hiyo ya pundamilia unazo ngapi? What is the secret behind maana ingekuwa inalalamika tungekuwa tumesikia ikipiga kelele. Hata hivyo inakupendeza. I like T Shirt lakini design mbalimbali!

    ReplyDelete
  4. Mzee wa Vakesheni, hiyo kazi yako ya Vakesheni naona ni nzuri na inalipa! niunganishie na mimi niweze kuwa naenda Vakesheni kila wiki katika kila nchi! si mchezo.

    Aminia!

    ReplyDelete
  5. Anko safari hii si vekesheni maana Kaole napajua hapo kwa vitu vyake, tuambie ukweli, tena umevaa na T-shirt ile ile uloambiwa usiiache!!Haya anko enjoy your time!

    ReplyDelete
  6. Michuzi ehee

    Picha ya kwanza jamaa hapa Mombasa naona wameipenda sana. Mashallaa!!

    ReplyDelete
  7. WATU WA MOMBASA WAMEIPENDA HIYO PICHA?

    KAMA KWELI MICHUZI HII NI BLAA TUPU KAA CHONJO KAKA

    ReplyDelete
  8. Anko Nanihii Kwa Kweli Kama kuna watu wanapenda Fulana zao basi wewe unaongoza,maana hii fulana yako Tangu nilipofahamishwa kuhusu Blog Ya Jamii mwaka 2007 naona bado unayo tu.Hongera Anko Kwa utunzaji mzuri wa mali zako.

    ReplyDelete
  9. MKUU, HAPO KAOLE KUNA MGANGA MAMA MMOJA WA MAKAMO ANA TITI MOJA NA MGUU MMOJA TENA UNA TENDE. HUYO KIBOKO NDUGU YANGU. KA NDO UMEMFUATA MAMBO YAKO NAJUA YATAKUWA SUPER, VIJIVAKESHENI HAVITAKUPIGA CHENGA NA WABAYA WATAZIMWA KA KIBATARI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...