daraja la mungu juu ya mto kiwira wilayani rungwe
Kaka Michuzi,
naomba nikuletee hii kwa faida ya Watanzania wote!
Baadhi ya wafanyakazi wa DAWASCO tulipata nafasi ya kufanya ziara ya mafunzo kwa wenzetu ma Mamlaka ya Maji Safi na Majitaka Mkoani Mbeya UWASA tarehe 13 – 16 October 2009.
Tulibahatika pia kutembelea sehemu za kitaliii ambazo kwa kweli Wizara ya Maliasili na Utalii ikizitangaza, itakuwa ni sehemu ya kuweza kuliingizia Taifa letu mapato kwa namna Fulani!
Picha ya pili, tatu na nne ni sehemu inayoitwa KIJUNGU, wenyeji wanasema sehemu hii ni ya maajabu makubwa, maji hutumbukia hapo (pamekaa kama chungu) na hayaonekani huelekea wapi! inasemekana mtu akitumbukia eneo hili hawezi kuonekana hadia baada ya siku saba na tena baada ya kufanyiwa mila na wenyeji wa eneo hili,
Sehemu hii inasemekana aliwahi kutumbukia mtu mmoja tu na kutoka akiwa hai! Na alipotoka aliokoka na kuhama sehemu hii kutokana na maajabu aliyoyakuta humo ndani!
Picha ya juu inaonyesha sehemu ya maajabu mengine sehemu hii hiii, ni dalaja la ajabu ambalo linavukaa mto Kiwira! Wenyeji wanaliita daraja la Mungu
Mdau Lameck Victor Kashindye
Dawasco HQ
mdau akivinjari daraja la mungu

sasa mngeomba mungu hapo ili maji yaende mto Kizinga
ReplyDeleteKaka Lameck ongera kwa trip ya huko Mbeya.
ReplyDeleteMimi nilisharudi machimboni kwangu huku.
Kazi njema
Kweba
uncle George nakuona unavinjari tu sasa kweli sio mchezo nimefurahi sana kukuona.. ha ha ha
ReplyDeleteRajabu[UK]
tanzania ina vivutio lukuki na tungekuwa wajanja km wakenya tungefunika vibaya-vibaya!!
ReplyDeletesema tu sijui nn jaman uwiiiii
Kijungu chenyewe mbona hakionekani?
ReplyDeletenaifahamu vizuri sana hii sehemu wakati nikiwa chuo magereza kiwira mdau usa
ReplyDelete