Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Shamsa Mwangunga kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo
Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Donge Ali Ameir Mohamed kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...