Mdau Ayoub mzee with Sarah Amin(in red ) the widow of the former President Of Uganda General Idd Amin Dadah with a friend at a recent Charity event in London

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Mbona huyo Mzee Ayuob amejikunyata kama vile kuku wa kubanika au ndio heshima unapokuwa na kimama waliokuzidi umri?

    Johari

    ReplyDelete
  2. Huyo mtoto wa Idd Amin DNA ilipimwa kweli?

    ReplyDelete
  3. Okay, kiingereza kilipiga chenga kidogo. Kumbe mwenye nyekundu ndie widow, nilidhania widow ni huyo mwenye nyeusi, then huyo mwenye nyekundu ni mtoto wa Amin kwa huyo mama mwenye nyeusi.

    Okay tuko pamoja.

    Ayoub mbona huhemi?

    ReplyDelete
  4. widow kwa kiswahili ni 'kizuka' wa marehemu Jeneraki Amin.

    Naona wadau ktk picha wanaenda kiwakati na 'fasheni' za nguo.

    ReplyDelete
  5. Idi Amin was about 60 years old when he was toppled 30 years ago - he would have been around 90 today. The age difference maths don't seem to add up - or did you mean a granddaughter?

    ReplyDelete
  6. mzee ayoub muoga kajikunyata kama yuko kwenye snow. Angekuwa uncle michuzi hapo angepiga za mikono kama kawida yake

    ReplyDelete
  7. Anti- PhariseesDecember 30, 2009

    Michuzi naomba kutoa hoja yangu usiizuie:

    Ayoub kama mwanahabari uliyeboboa unatakiwa kumuuliza huyo mama kuwa

    Je katika uhai wake Amini, yeye Mjane, binafsi aliuonaje uongozi wa Amin?

    Pili kama ulikuwa mbaya yeye kama mke wa huyo dikteta alichukua jukumu gani ama kumshawishi kuacha kuua na kukandamiza watu wasio na hatia au kwa nini hakutoroka na kumwacha Amini.

    Hakika bado tunajadili namna ya kumuunga huyu mama kumsogeza huko Uholanzi kwenye mahakama itakayoundwa kwa ajili ya mauaji ya Idd Amin Uganda hata kama yeye amekufa atahukumiwa akiwa kaburini na waliomsaidia mfano hawa wake zake na mawaziri wake watahukumia ipaswavyo.

    Tukumbuke kuwa si Waganda tu hata Watz katika vita tulipoteza wapiganaji wetu kwa ajili ya upuuzi wa huyo mtu na hii familia yake iliyokuwa inampa tafu.

    ReplyDelete
  8. Duh, naona wabongo wenzangu ki-inglish kinapiga chenga. Kwa mujibu wa maelezo ya kaka Michu ni kwamba widow(kwa maana ya aliyefiwa na mumewe Iddi Amin Dada) ni huyo mdada mrembo mwenye kutamanisha kwa sana ambaye ambavalia nguo nyekundu. Sasa nyie wamatumbi hapo juu mnaandika kimakosa then mnajikosoa kwa kuendelea kuandika makosa hayohayo. Ndio maana wazungu wakija na mikataba ya madini tunaishia kuibiwa.

    ReplyDelete
  9. Nazidi kusisitiza umuhimu wa mazoezi. Mama mwenye nyeusi ...

    ReplyDelete
  10. jamani amesema widow na friend kwa hiyo huyo nyeusi ni friend tu

    ReplyDelete
  11. Mhh! Kitop cha widow wa Idd Amin...

    ReplyDelete
  12. Namkumbuka huyo Sarah enzi zake Idd Amin alikuwa kwenye miaka ya 18 au 19 hivi. Kwa hiyo sasa atakuwa kwenye miaka 52 au 53 bila ya shaka. Eeh wakati ule huyo mama alikuwa mboni la jicho la Idd Amin. Jamani umri katili kweli. Lakini bado kajitahidi kujiwekaweka vizuri.

    ReplyDelete
  13. MNAJUA NINI KILITOKEA WAKATI SARAH NA AMIN WAKISHIRIKI KWENYE MASHINDANO YA MAGARI? ETI WALIPOTEA NJIA KISHA WAKAKUTWA WAKIJINANIHII NDANI YA GARI LAO LA MASHINDANO.

    ReplyDelete
  14. Mimi nakubaliana na anti-pharisees... wewe utakubalije kuolewa na mwanaume mkatili kama huyo? Unajua nakubali mapenzi ni upofu but how can you be THAT blind? He was a murderer and nothing will justify the decision this woman in red made of marrying a killer... she should be ashamed of being called amin's widow....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...