Home
Unlabelled
libeneke la utalii wa ndani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hao mabwege kweli ni vibaka sana, yaani ukienda porini ujihadhari sana,kwani wanajifanya hawaogopi mtu wala nini tena ni wezi kama unavyosenma na wakali ile mbaya na kwa wanaokwenda Ngorongoro pale kwenye mlima wa kona kona baada ya kutoka mto wa mbu uwe makini wanapenda sana kutembea kwenye barabara ya lami kwa maringo bila woga uwe makini nao wanaweza kukuharibia vakesheni yako hasa kwa watoto na kina mama.
ReplyDeletehawa wasela wanabaka laivu ni wababe si mchezo juzi juzi vekesheni hapohapo getini gari ilipaki kioo cha gari kilikuwa wazi jamaa waliingia ndani wakabeba camera kofia chocolate wakalala mbele na nusu waning'ate kama sio kuruka nje ni mabaunsa hawa lol hawaogopi mademu hata muwe kumi
ReplyDeletembona mnakuwa serious sana kuhusu hao baboons. they are part of the safari experience - siyo tatizo la kitaifa linalohis kitaji warnings kivile
ReplyDelete