Nawatakia wachaga wote maandalizi mema ya x-mas tukutane MOSHI kuhesabiwa.
Salamu zangu za x-mas natuma kwa:
Maruwa, nkya, kiwia, Mawalla, masawe, mangi, mushi, Mosha,manka, Keku, Shirima, lyimo, Ngowi,Lyatuu,Temba,Munuo,Mmary,Kirumbuyo, Tarimo, Mbonika,Maleko,Mselle,Sillayo,Male,Mlay,Lauwo,Tairo,Mrosso,Shoo,Maeda,
Swai,Mauki,Shayo,Kimaro,Soka,Mkenda,makundi,Mangesho,Tilya,
Mamuya,Kinabo,Mlay, Mtei, Ulomi,Njau, Sirili, Matteru, Minja na Macha, ndanshau, temu, merinyo bila kusahau na watani zetu waparis
Ujumbe wangu ni ....tudumishe mila zetu..........
Mdau Mangi


michuizi upooo juuu yanai umetugusa kinoma yani hapo ni ku add more kitochi and nothing else mama anaandaa machalari nyumbani tupo juuu
ReplyDeleteYAANI MICHUZI NDIYO NINI BWANA, UMENITAMANISHA KUTAKATA TICKET YA NDEGE NIKJE HOME HARAKA.NAPENDA MILA ZETU BWANA, MBEGE HASA HAPO UJAWEKA MACHALARI NA SUBU YA MBUSI! THANX FOR THAT. MDAU UK.
ReplyDeleteUnatujazia mannzi tu wewe, kama ndo hivyo siuende radio tanzania kabisa shwaini wa kilalacha wewe.
ReplyDeleteMnyamwezi
Chrsimas imefika msimu wa kula Wali Kilimanjaro...sasa sala kila Jumapili Mapadri lazima wamalizie na "Twamsukuru Munguuu kwa Kutupa Mcheleee"
ReplyDeletemichuzi kwel umetutaja wachaga
ReplyDeletewote Aika mbee,aika sana mim ni macha
Uncle na mimi nazituma kwa wachagga wangu,Marealle,Chuwa, Asey na Urrasa
ReplyDeletekyeeeeeleeuwiiiii!!!! michuzi umetoa wapipicha ya babu yangu!!! mbuta!!!
ReplyDeletehapo kakosekana mzee masawe nadhani alikuwa anachoma nyama!
Yes wachaga tupo juu tuna wakilisha nchi ya tanzania tukiwa ma majirani zetu wa masai lol....ni nyama choma na mbege kwakweda mbele eeeeeeeeeeee
ReplyDeleteRia mbee
ReplyDeletedah mdau umenikuna sanaaaaaa! nesindiso saaa? rida mmbeee, rida kintu nawee! .... ina raha yake kinoma inanikumbusha kibosho nyumbani nikitoka nje pale afrikana bar wazee wanakuita ... ewe muna, ochooo uidikire!..
ReplyDeleteMukure
mzee michuzi ninashukuru sana kwa kuweka mambo kama haya,umenikumbusha zile mile zetu za kichaga kipindi kama hichi ningekuwa nyumbani ningekuwa nikiweka mambo sawa kabla ya kuelekea migombani sanya juu top,tukarie tu mbeke kwa wingi tukisheherekea noeli kwa raha zetu, kuna mama mmoja anapika mbege huku east london(forest gate) itabidi nikamcheki,mbege kwa afya. heri ya noel kwa wote
ReplyDeletenashangaa umesahahu kuwataja massawe na lema.
ReplyDeletenaona umesahau kina ngowi, kessy, kisamo
ReplyDeleteMdau mbona umesaha kumpa salamu Mboroo?
ReplyDeleteHizi salaam zina upendeleo.. zimeruka familia ya kina MBORO!
ReplyDeleteAIKAMBE, MEKU TUNAPANDISHA HUKO TAREHE 21/12/09.
ReplyDeleteWachagga tuko juu!!
ReplyDeletehapo akama wanaambiana,ria mekku,inyi ngikundi enda lambana na mka ulya mchaaa,aole matulu cha kiki....aahahh a ahahah
wale wa sengia,kibo hotel,ngaruma..mbuta,sia mono amma
uncle i send em greeting 2 my wachaggas meena,moshi,urasa,kihiyo,urio,mareale,sia,babuu,
ReplyDeleteAsante kwa salam zimefika ila mimi nawasalimia ukoo wote wa Kileo cha kwa nsando,pale kijiji cha Kashashi,sanya juu- Hai.Nawatakia xmas njema.Mdau Canada.
ReplyDeletena akina Kombe wamesahaulika jaminiiii.
ReplyDeleteAikambe Michuzi.Thats so nice 1 unity,1 tribe.Chagga 4 life.u 4got mwanga,Lema but ol in ol thanks so much n mostly welcome
ReplyDeleteJAMANI NYUMBANI NI NYUMBANI.JAMANI YAANI NINGEKUWA KARIBU NA MIE NINGEENDA MOSHI KUNYWA MBEGE,NIMEIMISS,SHALOLA MBATA ITO SHIKEPATA KIWEWE DENYI.WACHAGA NAWATAKIENI X-NJEMA NA MWAKA MPYA UJAO UWE MWEMA KWENU PAMOJA NA WOTE.OSHOO RIYA KAUPATA EKA NEWE!@!!
ReplyDeletekweli kaka michu umejiatahidi sana kuorodheah Koo mbalimbali hata mimi ni Macha!
ReplyDeleteohhh I'm proud of this,nimekumbuka sana Moshi,lol natamani ningekuwepo huko nihesabiwe na mie,na kuria mbege,hahaaaaa,wachagga tupo juuuuuu!!!!chagga girl from United State.
ReplyDeleteAisee hii picha nadhani kuna mtu ni jamaa wa KDC ameitoa hapa ni KDC moshi kwajuu kuna kisehemu wazee wa KDC huendaga kupata kitochi. Huyu mmoja ni mzee wetu gerson enzi za uhai wake. Mwengine ni rafiki yake mkubwa. Sijamwona ndugu yake mzee kiwia wa KDC aikambee meku!!!!
ReplyDeleteDunia kijiji! Hayo maeneo kwa chini kidogo kuna shule ya Msingi jina - Kilaremo ambapo nilianza kujifunza kuhesabu kwa kutumia vijiti na mifuniko ya visoda!Pumziko la mchana tunatoroka kwenda kuogelea mtoni. Aah kwa kweli, enzi hizo gari likipita watoto lazima tukimbie kwenda kuliona, Michezo kibao!
ReplyDeleteKimario na Malya hawakuwepo?
ReplyDeleteHUU SASA NI UKABILAIZATION....
ReplyDeleteBila kusahau wale wa msaranga, kidia, mbokomu, sango na kote kwingineko ikiwa na mamba mkolowonyi, mamba mbonyi mpaka mwika madukani, home sweet home wachagga oyeeeeee
ReplyDeleteCHADEMA....
ReplyDeleteMichu Vp? Mbona Chuwa na Ndosi walikuwepo lkn hapo cwaoni? Mama Panka Alikuwa,Mama Prisca Nae Alikuwepo! ROTFLMAO!!!!!!!!!!
ReplyDeleteASANTE SANA MICHUZI.Na mimi nawatikia WA-KWAY wote wa kibosho xmas njema Mungu akipenda tutakutana mkombole, yani ngetya kyuu gafla,
ReplyDeletemallya hakuwepo?
ReplyDeleteunatuwekea hivyo vizee vya nini?? weka mambo ya maana michuzi,
ReplyDelete(usibanie hii comment)
Hapa ndio wakati wa kunywaa mpaka mwaka mpya.
ReplyDeleteMimi nililetewa ungwa wa ulezi ulooteshwa lakini nikatemngeneza mbege bubu...Weewwee wala haikunoga si unajua ndizi za huku au labda mwenyewe sikujua jinsi ya kutengeneza...Ilitoka gongo badala ya pombe hiyo. lakini ilikumbusha mbali...Nilivyokunywa ikiwa "Kifue" ilikua tamu hiyo kuiacha ichachuke. Ikawa chunguuuuuuu
Michuzi uko juu. Wanaosema ukabila, CHADEMA ans so on hawana mila na hawana pa kwenda. nimeolewa kwa wangoni wanatupa big up wachagga. Its so fun mkikutana. hapo vijana wanaotoka mjini wanaulizwa maendeleo waliofanya si kuhesabu ghorofa za mjini. lazima ujenge kijijini na mjini. Wachagga tupo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeleteEti?Chuwa nae ata kuweko!!!basai tusimsahau na Gabrieli na mzee Urasa kutoka Uru Kishumundu.shukran kaka michuzi.
ReplyDeleteHAPO SAWA , nasisi akina Rwebangira,Mutakyawa,Kemirembe,Kairuki, Ntare,Rwakatare,Koku,Mugemuzi,Mwemezi,Kajura,Mutabuzi,Kaiza,Ngaiza tunawatakia kila la kheri..Vyombo walivyoshika wazee hao wa kichaga kwetu tunaita "AKASHUSI" na kinywaji chetu cha asili kinaitwa "LUBISI"..Jamani tudumishe mila zetu
ReplyDeleteMdau NTARE
asante sana kwa salamu kaka. pia bila kusahau watu wote wa rombo mkuu, familia zote za kijiji cha makiidi, kwa maangulwa, huruma hospital, kanisa la mkuu, msudu, kiraeni, kilmanjaro boys, shimbi, keni, mengwe, tarakea, mashati... heri ya xmass!!!
ReplyDeleteMdau UK
Hahahaha....kibulu na kisusio jamani ahhh, bibi Atanasia nimemkumbukaaaaaaaaa, kiboriloni mitumbani jamani, kula vumbi kwenye usafiri kwenda mjini nyuma ya pickup, shurti kope zinakuwa nyekundu, nawakilisha Assey, Marialle, Msaki, Kilasara, Lamosai na Maro,Kowero,Mrema,Shaa
ReplyDeleteMICHUZI TAFADHALI MBORO NI UKOO MKUBWA SANA NAOMBA WEKA HAPO UMETUSAHAU JAMANI
ReplyDeleteBILA KUWASAHAU KINA MAKURI WOTE WA NAURA MARANGU,NAMFUA MKUU ROMBO, MASAO,MRIMI,MASOYI,RINGO,TESHA,URRASA.
ReplyDeleteJAMANI HATA SHEMEJI ZANGU WATANI ZENU MSUYA, MMBAGA,MFINANGA,N.K
na mimi nasema "mwenye ukabila wa kichaga ivi asitie jicho lake umu blogu ya jamii"
ReplyDeleteovyo sana,so waliooa/olewa na makabila mengine ni makapi sio???
kwendeni zetu
Toka nimeanza kusoma eti sijamuona MREMA lakini sio huyo tu kuna Kanza Meta,Kimambo,Malisa,Mteri,Koka,Mola,
ReplyDeleteTenga,Masamu,Kesi,Masecha,Masuki,
Mshiu,Mlay,Marishamu,Mauki,Mmari,Mende
Msechu,Mlingi,Nyambo,Marawi,Swai,Ikamba, Tarimo, eee na wengine wengi tu hao pia nawatakia Xmasi njema.
MAANGULWA SHIDERE KWETU ILA MBEGE JAMANI TUACHE. RUVA EKUNDI HATAKU NDAONDI
ReplyDelete