Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Song lefu sana mpaka nimechoka,Hii mpaka uwena KILAULI ndio unasililizika.

    ReplyDelete
  2. Asante sana ankal kwa zawadi ya X-mass.Hili ngoma halichoshi kusikiliza.Yaani ni raha tupu.

    ReplyDelete
  3. wazee wa kazi hao bomba sana michuzi

    ReplyDelete
  4. Nakubaliana na mdau wa kwanza hapo juu, nyimbo nyingine hizi lazima upate kinywaji kwanza ndipo uzifurahie maana inataka moyo kuusikiliza wimbo mzima ukiwa sober. Mimi mara nyingi huwa na skip part ya kwanza ya wimbo mpaka pale wimbo unapochanganya towards the end. Bila kinywaji hizi nyimbo zinakuwa makelele tu.
    My two cents!!

    ReplyDelete
  5. mtumishi wa MakumbushoDecember 23, 2009

    Kama songi ni refu basi ujue linakukolea maana nyenzo ya kulisukumiza mbele kwa mbele ipo.

    Oh Kitokororo muzuri sana.. !!

    Michuzi Swali:
    Jamani hivi hawa wanaotajwa kila wakati na bendi kama baba Musofe na Chifu kiumbe wanafanya kazi gani na mchango wao katika maendeleo ya Tz ni upi ili nasi wengine tusiojua tuwaheshimu na pengine kuwaunga mkono?

    ReplyDelete
  6. Wazee wa Mujini, wazee wa pamba wanawajibika kama kawa

    ReplyDelete
  7. Hakika huu wimbo ni mzuri, nimeupenda sana, nawaza sana nikifikika bongo nikawaone hawa jamaa, duh kumbe nyumbani kuna mambo mazuri hivi, mimi nilikua ni njenje na jahazi tu

    ReplyDelete
  8. NYIMBO ZA KIZAMANI STYLE YA KIZAIRE KATIKA LP NYIMBO MOJA DAKIKA 20, OLD FASHIONED.

    ReplyDelete
  9. du! nakubaliana na wadau hapo juu nimestopisha baada ya dk 3, nitasikiliza siku nyingine nikiwa idle, ni mwimbo mzuri bila shaka but du, hata Mopao ana mchezo huo nyimbo kama treni, tofauti yeye yuko well known already, wanasema ukishakua well established musician then unaweza kutunga nyimbo ndefu kwani by then una loyal followers ambao wataput up no matter what,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...