Napenda kuwataarifu wajasiriamali na business owners wanaohitaji ofisi
nzuri, safi ya kisasa kuwa kuna nafasi ya sq.m. 20 inapangishwa.
Wajasiriamali wote bila shaka mnafahamu ugumu wa kupata ofisi kwenye
majengo mapya ya kisasa hapa Dar es Salaam.
Land lords huwa wanataka uchukue "floor nzima" ema "wing nzima" ambayo
unakuta ni kubwa sana kiasi kwamba kodi hufikia $4,000 au zaidi kwa
mwezi.
Kama kabiashara kako bado ni kadogo ni wazi kwamba kodi kama hii itakushinda.
Hivyo basi njia mojawapo ya kukabiliana na tatizo hili ni ku-share
office space. Office Space hii nayo ni ya kushare. Ina ukubwa wa sq.m.
50, lakini 30 tayari zimeshachukuliwa, hivyo zimebaki 20.
Ofisi iko gorofa ya pili. Jengo ni jipya, ni safi, ni zuri, na ni la
kisasa. Liko jirani na Kariakoo, lakini sio pale kati kati ya Kariakoo
kabisa ambako pana kelele nyingi. Na haliko Posta Mpya, hivyo wale
wanaotaka ofisi iwe exactly maeneo ya Posta Mpya linaweza lisiwafae.
Kodi ni $18 kwa sq.m. kwa mwezi. Kodi hii inajumuisha kila kitu (kama
vile VAT, usafi, ulinzi, maintenance, pamoja na umeme endapo una
matumizi ya kawaida ya kiofisi (ie, computers, fax, photocopiers,
etc).
Kama una vifaa vinavyokula sana umeme inaweza kuongezeka kidogo. Pia
umeme wa TANESCO ukikatika kuna stand-by generator ambayo umeme wake
unatozwa separately kutokana na gharama kubwa za kuliendesha hilo
generator.
Unaweza kuchukua sq.m 10, au zote 20. Hivyo unatakiwa kuwa na minimum
ya $2,160 ambayo ni kodi ya sq.m 10 kwa mwaka. Kama utachukua zote 20
itakuwa $4,320.
*** CALL NOW 0714 537 085 ***
----
NB: Samahani kwa wadau wote mnaochukia bei za dola. Tunaipenda
Shilingi yetu kwa kweli, sema mambo mengine tunayakutaga, na hivyo
tunayafanyia kazi kama yalivyo.

Leo tangazo lako linaelekwa zaidi kuliko lilivyotolewa siku ya kwanza. Hivyo basi kwa kuwa watu watalisoma na kuelewa utapata wateja kama wapo.
ReplyDeleteInapendeza sana kuona watu wanajituma kufanya kazi na zaidi wanakuwa na moyo wa kuwashirikisha wengine.
Tanzania itajengwa na wenye moyo.
Keep it up.
TUNAOMBA MTUWEKEE PICHA ZA UKWELIKWELI ZA JENGO NA BAADHI YA SEHEMU ZA OFISI HIYO, KAMA VILE LOBY, KITCHEN, SOME CUBES, CONFERENCE ROOM, ETC....WATANZANIA INABIDI MJIFUNZE KUTANGAZA BIHASHARA..TUMIENI WATU WALIOSOMEA KAZI HII YA MARKETING....
ReplyDeleteNimekuelewa......JE GARI YANGU NITAPARK WAPI??.......manake parking is case sensitive.....HAYA TWAMBIE SASA
ReplyDeleteMimi nataka kununua jengo zima, naomba bei.
ReplyDeleteDr. US Blogger
MBONA HIYO PICHA NI YA KUTOKA MTANDAO WA FUNZUG AMEIKATA KIDOGO.
ReplyDeleteBRO, TUWEKEE PICHA HALISI YA ENEO HUSIKA TUFANYE MAAMUZI, PLEASE.