HAVE A GREAT AND WONDERFUL 2010
Nimeona niwatakie HAPP NEW YEAR Watanzania wenzangu, pamoja na kufiwa na Mpendwa wetu Simba wa Vita sisi wengine tulio hai na tumshukuru Mungu. Mola aiweke peponi roho ya Mzee Rashidi Mfaume Kawawa - Amina.
Naomba nitume wimbo wa ABBA Group 'Happy New Year' kwa wadau wote wa Globu ya Jamii popote mlipo duniani
mdau wa Indiana USA
saria1974@gmail.com
Let me be the first one to give a comment in this New Year of 2010.Wishing ol Tanzanians & the rest of World.Happy New Year with good health,Peace,Joy,Love n Happiness always.
ReplyDeleteHeri ya mwaka mpya na wewe pia
ReplyDeleteAsante sana Saria1974 kwa salam na wimbo mzuri, umenitoa machozi kwasababu nipo kwenye kipindi kigumu sana kwenye mahusiano yangu na leo hii sina furhaha,I don't know what God has instore for me for 2010 but I will take one day at a time. Asante sana.
ReplyDeleteHappy new year to all wadau
ReplyDeleteHeri ya mwaka mpya 2010 kwa wale tuliochaguliwa kuuona. Mwaka 2010 uwe ni wa kutimiza malengo na ndoto zetu hata ikiwa nikukununua ndege au kutembelea sayari ya Jupiter.
ReplyDeleteBongosamurai