Michuzi,
Blog hii ya jamii inazidi kuwa jukwaa la mawazo mbalimbali.
Kuna vijana wa kichagga (kutoka Kilema na Marangu) juzi niliwakuta kwenye show room moja ya magari pale Kijitonyma wakinunua magari ya kwenda Moshi kusherekea X-mas.
Baada ya kuwadadidisi kidogo waliniambia kuwa huko uchagani wakati wa Krismasi ni wakati wa ku-assess ni mtu gani kaja na gari kali zaidi ili kuweka heshima yake kwa wazee. Waliendelea kusema kuwa wawapo huko Moshi mashindano kama hayo ni muhimu ili kuwapa masifa baada ya kuwanunulia wazee wa huko Kijijini nyama kwa wingi na pombe ya mbege. Wazee wao nao hufurahi kuwaona wazee wao wakiendesha magari hayo mazuri.
Cha kushangaza ni kuwa uchagani kwa sasa kuna umaskini wa ajabu uliojitokeza miaka ya hivi karibuni.
Kahawa ambalo lilikuwa zao kuu la biashara la wazee halipo tena. Je vijana hawa wanaoenda kutamba na magari hawaoni ni muda muafaka kwa wao kuanza kuangalia namna ya kuimarisha uchumi maeneo hayo ya vijijini badala ya kwenda tuu kutambiana na magari ya kifahari??
Blog hii ya jamii inazidi kuwa jukwaa la mawazo mbalimbali.
Kuna vijana wa kichagga (kutoka Kilema na Marangu) juzi niliwakuta kwenye show room moja ya magari pale Kijitonyma wakinunua magari ya kwenda Moshi kusherekea X-mas.
Baada ya kuwadadidisi kidogo waliniambia kuwa huko uchagani wakati wa Krismasi ni wakati wa ku-assess ni mtu gani kaja na gari kali zaidi ili kuweka heshima yake kwa wazee. Waliendelea kusema kuwa wawapo huko Moshi mashindano kama hayo ni muhimu ili kuwapa masifa baada ya kuwanunulia wazee wa huko Kijijini nyama kwa wingi na pombe ya mbege. Wazee wao nao hufurahi kuwaona wazee wao wakiendesha magari hayo mazuri.
Cha kushangaza ni kuwa uchagani kwa sasa kuna umaskini wa ajabu uliojitokeza miaka ya hivi karibuni.
Kahawa ambalo lilikuwa zao kuu la biashara la wazee halipo tena. Je vijana hawa wanaoenda kutamba na magari hawaoni ni muda muafaka kwa wao kuanza kuangalia namna ya kuimarisha uchumi maeneo hayo ya vijijini badala ya kwenda tuu kutambiana na magari ya kifahari??
NAWASILISHA
Mdau Migombani
SIKU KAMA HII DAR-ES-SALAAM WACHAGGA WANAIBIWA SANA SABABU WOTE WANAENDA KUKUTANA MOSHI KINA NDOSI,KIMARO,MASSAWE,MARIA,GRACE JAMANI YESU NA MARIA KAZIKWELIKWELI HAPPY X-MACHI KILA MTU. MARANGU.
ReplyDeleteNi kweli uchaggani umasikini umezidi saana especially miaka ya hivi karibuni. Tatizo siyo tu-zao la kahawa, vile vile viwanda vingi vimekufa au vimehamia mikoa mingine; mfano, Kilimanjaro Machine Tools na Kiwanda cha bia.
ReplyDeleteWahindi na wachagga hawawezi kufanya biashara pamoja, wote ni wajanja. Wachagga hawanunui kitu kwenye duka la Muhindi, wana nunua kwenye maduka ya mchagga menzao hata kama bei ni kubwa kuliko ya duka la Muhindi. Kwa hivyo wahidi wakahamishia biashara na makampuni yao moshi na kwenda Dar. Mfano ni Ladaki Kanji.
Tatizo lingine wachagga wamehamia Arusha. Badala ya ku-invest Kilimajaro, wamekimbilia Arusha na kujenga mahoteli makubwa ya kitalii;kwa mfano Snow Crest Hotel, Impala, Golden Rose, Kibo Palace N.K. Lakini they are not investing in Kilimanjaro. Hili ndio tatizo kubwa. By the way, wahindi wengi wamehama Arusha baada ya wachagga kuvamia.
Ni kweli uchagani kuna wivu wa maendeleo lakini kwa upande wa kujenga nyumba, kuwa na biashara nzuri na kubwa ambayo utaweza kuwasaidia hata wadogo zako, na kuwasomesha. (HASA MIAKA HII KUNA MASHINDANO SANA YA MTOTO WA NANI KAFIKA CHUO KIKUU NA ANA DEGREE)
ReplyDeleteHOJA YA MDAU
Hilo suala la mtoto kuja na gari ndio ufahari nadhani ni kuhisi kwa mtu tu na sio kitu cha lazima sana ila sitashangaa kwani tabia ya kuigaiga na kuonyesha tuna nini ni yetu kwa kweli hasa miezi hii.
Kuhusu umasikini ni kweli kabisa baada ya kuanguka kwa zao la kahawa imekuwa soo! lakini kama mtoto anaona wazee wanakufa njaa halafu hawasaidi kiuchumi anaenda nunua gari hayo ni matatizo ya hiyo familia uliokutana nayo show room... ila kwa familia nyingine hadi unaonea wivu hao wazee jinsi wanatunzwa....
UCHAGANI RAHA KUANGALIA WAZAZI WAKO WAWE NA NYUMBA NZURI, WANAPESA YA KITOCHI,NYAMA, WAKIENDA KANISANI WAMEVAA VIZURI, WADOGO ZAKO WA UNIFESTI HUKO DALISALAMA NK
HUO UBISHOO NI WA HAO HAO ULIOKUTANA NAO
Maoni ya hao vijana wa Marangu na Kilema ndio umeona ni Hali Halisi ilivyo Uchagani??!!
ReplyDeleteKwa taarifa tu ni kwamba Uchumi wa Wachaga miaka ya karibuni umehama kutoka kwenye Kahawa na Kilimo kuhamia kwenye Knowledge-based Economy.
Mimi nimekaa uchagani kwa miaka mingi sana. Wachagga siyo wajanja kama mnavyofikiria. Kilichowainua ni biashara za mpakani ambazo sasa zimekufa. Halafu walikuwa wezi sana wakati wa serikali za ujamaa, sasa makampuni mengi ni ya watu binafsi kwahiyo wamekwama...watamuibia nani? Moshi napo watu hawawezi ku-invest kwenye chochote kwavile wachagga majambazi mno..mji ambao saa 11 jioni umelala kwa kuogopa ujambazi..!! Kahawa nayo ndo hiyoo..halafu majumba wamejenga mahali ambapo hayana thamani...sasa ukijenga nyumba huko katikati ya migomba ni investment gani zaidi ya mahali pa kuzikiwa? Hizo nyumba zote zingekuwa zimejengwa mjini zingeleta manufaa sana. Ila kwavile wachagga wanathamini sana mila kwamba lazima uwe na nyumba kijinini hata kama ni ya kuzikiwa tu kwavile kukaa hawawezi...nyumba zina damu za watu majini yanawasumbua...kwahiyo jenga tu ya kujionyesha..wachagga si wajanja kabisa...ujanja wa macho tu..!! Poleni watani wangu...!!
ReplyDeleteMdau-USA
Aliyesema wachaga wanashindana Degree na Kuwa chuo kikuu mzushi tu hakuna watu hawajasoma kama wachaga wao utapeli tu wa biashara na wizi basi. wahaya stand up. Koku.
ReplyDeleteHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHAHAHAHAHAHAHAHA MDAU WA USA KAONGEA POINT MOJA YA UKWELI NA UKWELI SOON UTAUMA UTAONA MAONI. DUH DAMU ZINAWASUMBUWA MAJINI YANAWAKIMBIZA HAHAHAHAA UKWELI MTUPU. ALAFU WANASEMA WAMESOMA WAMESOMA?. MDAU MWANZA.
ReplyDeleteNYIE SEMENI YOTE LAKINI WACHAGA NDIO WANAO LETA MAENDELEO TZ.
ReplyDeleteWe anony Tue Dec 22, 08:03:00 PM, nani kwa kuambia ati Wachagga hawanunui kwa asiye Mchagga! Hivi unajua Moshi kulikuwa na Waasia wengi sana kabla ya Ujamaa na waengi wao waliondoka baada ya Ujamaa na Azimio la Arusha kuingia! Nenda Canada utawakuta Wachagga wa Kihindi na uache chuki! Na hao Wachagga wanaofanya biashara Arusha wanafanya na nani? na wa Mwanza? na wa Dar? Huwezi ukamkwepa Muasia nchi hii katika biashara kama unataka kufanya biashara ya mana! Na hao unaowapakazia wanalijuando mana wanafanikiwa!
ReplyDeleteIt is sad, lakini hayo mambo yapo sana uchagani.
ReplyDeleteNyie wote ni haters tu, hali ya maisha ni tough all over the country, na huwezi kucompare umaskini ulioko Moshi and any other rural area in TZ bado we are doing very well.
ReplyDeleteThe biggest problem ni CCM wameitupa KIlimanjaro kwneye kila aina ya misaada ya kiserikali mingi haiendi KIlimanjaro.
ANy ways regardless of what is going on last two yrs or so, wachaga are still the most prominent and most sucessfully tribe in East africa hands down.
Wachagga wapo juu sana. Wacheni wivu!!! Angalau wanarudi kwao mara moja kwa mwaka. Hao vijana walionunua magari pesa ni za kwao. kwahiyo wanayo haki ya kuzitumia wanavyotaka. angalau wamenunua magari na kuyapeleka kwao. wengine kazi kunywa pombe na wanawake. Uchaggani gari sio kitu cha kujivunia bali nyumba na kiamba(aridhi)hivyo ukiwa navyo utaheshimika sio kama mikoa mingine mnaishi kwenye nyumba za udongo na makuti ndio maana hata mnaona aibu kurudi kwenu. Nawapa changamoto mkoa gani uanaongoza kuwa na shule za sekondari kama sio Kilimanjaro? Halafu hao wanasema uchaggani kuna umaskini wana maana gani? wao wanaupimaje umaskini? Hatulimi tena kahawa kwasababu haina maslahi kwetu. Jamani tupo kwenye 21st century, we dont depend on natural resources, but HUMAN RESOURCES!!!!
ReplyDeleteWachaga wanazungumziwa kwa kuwa wako juu. Huwezi kuzungumzia kitu ambacho hakivumi. Watu wengi wanawachukia wachaga kwa jinsi walivyo. Ni kama mwenye kutembea kwa mguu anavyomonea kijicho mwenye gari. Ndio ukweli huo
ReplyDeleteBunch of haters. Leave Chaggas alone. Nyama nyie. Ngoja nikachukue Hummer langu niende Moshi iyo.
ReplyDeleteHALOO ulaya hadi africa wachaga tuko na tunasonga mbele!!!ole wenu mnaokaa na kupiga domo,kwanini msizungumzie makabila mengine hasa ya huko kusini na magharibi mwa Tanzania.Hata kusini iitwe mashariki wachaga tuko mbele!! angalia mdau unayesema eti hawajaenda shule,loo tujenge shule toka miaka ya 60s then usisome hiyo inaitwa wivu.JAMANI ANGALIENI WACHAGA WANAVOJITUMA NA MAGARI HUMMERS ETC NA VIJANA WA MIKOA MINGINE MJITUME NA SIO MANENO MENGI.FANYA KAZI ULE JASHO LAKO,HATA KWA WIZI WE TWENDE TUU.hahahahah wadau natamani ningekuwa moshi huku nakula mbege na mziki wa Kenny Rogers kwa mbali kwenye jumba la kifahari hehe!!
ReplyDeleteWachaga wako juu sana na watazidi kuwa juu kwa sabababu wanajua wanachokifanya.Chuo kikuu mlimani, Mzumbe zaidi ya asilimia hamsini ni wachaga kwakuwa wanauwezo kusoma.Merry X-mass kwa wote wanaowachukia na kuwapenda wachaga
ReplyDeleteWatanzania acheni ujinga wa ukabila fanyeni kazi muondokane na umaskini..yaani unakaa na akili zako unafikiria kabila letu sijui tumesoma, tuna maendeleo..mara wahaya mara wachaga wasomi..ehe!angalia wewe kwa kuji evaluate maendeleo yako umesoma hadi wapi na utasaidia vipi taifa lako, uta invest sector ipi na wapi kulingana na mipango yako..watch out jamani chuki zinaanzaga hivi hivi!wengine wanafanya utani ila wengine wapo serious wanachuki na makabila flani flani..kipanya kasema UMIMI tuache
ReplyDelete.... This is not an issue of being a 'Chaggan' or not, mimi naamini kila Mtanzania kutoka kabila lolote lile 'ANAWEZA'.
ReplyDeleteHapa mwandishi anataka tu kuonyesha ni kwa kiasi gani hali duni ya maisha inavyoongezeka huko Moshi vijijini, ni changamoto basi kwa wachagga wote wanaoenda kuona wazee wasiwe wanajali sana kujionyesha kimaendeleo bali pia wawe changamoto huko waendako katika kupunguza umaskini kwani ukiangalia kwa miaka ya karibuni vijana wengi wanakimbia vijijini na kuwaacha wazee ambao hawajiwezi.
Nivyema basi kwa wachagga wote wenye uwezo wa ku-invest nyumbani wakafanya hivyo...(pia na kwa makabila mengine vile vile)... [mcheza kwao hutunzwa].
Heri ya Noel na Mwaka Mpya!!!
Hey Haters! U see Us.
ReplyDeleteHey Haters U feel Us
Hey Haters
Hey Haters
mm nimeishi sana na wachaga, most of them kweli hawajasoma though wanajua kuitafuta hela kwa njia yoyote, wako radhi waibe ili wapate hela.
ReplyDeleteila sio siri ni ulimbukeni, kununua gari ya kujionyesha eti x-mass mida yao ya kwenda kuji-show huko moshi baada ya hapo hawaendi wala hawapeleki misaada kwako. wamejenga mijumba vijijini haina watu wanashindwa kuinvest sehemu za mijini kwenye makazi. ni hayo tu. MDAU from Moshi
nenda pande yoyote hapa tanzania utakuta duka maarufu. uliza ni lanani. utaambiwa la mchagga. maana yake ni kwamba wachagga wako juu, wanajituma, wapenda maendeleo ndio maana wanachukiwa. wachagga oyee.
ReplyDeleteMh kwa unafiki watanzania mmezidi, mkubali mkatae wachaga wapo juu siku zote na sio leo tu, anaesema uchagani kuna umaskini wa ajab nae hana maana, hapa dar penyewe mlo wa siku unawashinda mnalala mabandani maji ya tabu mpaka mnashindwa kuishi, nenda uchagani bwana hizo tabu hakuna, na zaidi watu mpo hata hapa dar hata kwenda makwenu hamuendi kisa wachaga wanaenda ndio mnawaonea wivu, yatawashinda lol.....
ReplyDeleteNyuuraaaa!
ReplyDeleteNawatakia wachagga wote maandalizi mema ya X-mas tukutane
MOSHI kuhesabiwa. Salamu sangu za X-mas natuma kwa, Maruwa,
Nkya, Kiwia, Mawalla, Massawe, Mangi, Mushi, Mamuya, Mosha,
Marialle, Manka, Keku, Shirima, Lyimo, Ngowi,Lyatuu,Temba,
Munuo, Mtei, Mmary, Kirumbuyo, Mkonyi, Tarimo, Mbonika,
Maleko, Mselle, Msale, Assenga, Nyange, Munishi, Mkonyi, Kessy
Sillayo, Male, Mlay, Lauwo, Tairo, Mrosso, Shoo, Maeda,Swai,
Mauki, Mremi, Kimaro, Soka, Mkenda, Makundi, Mangesho, Mrema
Kachenge, Macha, Tilya, Kinabo, Mlay, Mtei, Ulomi, Njau, Sirili,
Matteru, Minja, Kiwali, Maro, Mengi, Ndossy, Shao, Kimario,Masoy
Mengi, Chuwa, Mramba, Kombe, Chami, Komu, Lyakurwa, Kyara,
Kiria, Urio na Macha na watani zetu waparis.
Ujumbe wangu ni .....tudumishe mila se, mila setu..........
wadau sasa mnabisha nini??nendeni vyuo vyote vya elimu ya juu mkaangalie majina ya wanafunzi waliokuwa na admission kama hamjakuta wachaga ndio wanaongoza hata wahaya hawaoni ndani.....habari ndio hyooooooo.....tupo chini kama madini...lol
ReplyDeletekuna msemo usemao "mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe" fanyeni kazi acheni kusakama wachagga! tena nawasifu sana hao vijana waliokuwa show room kununua magari ya kutambia uchagani. wewe usiye mchagga umeenda lini kijijini kwenu? huthubutu maana huna pa kufikia sio? kwa taarifa yako, sasa hivi uchagani nyumba za matope au zisizo na umeme ni za kuhesabu, very few! kila kijana kajengea babu na bibi angalau nyumba ya vyumba 2 ya matofali na bati, kwa haraka haraka vijana wamejengea baba na mama zao nyumba za kisasa na pick-ups, na bado mjini huku vijana hao hao wana magari na majumba ya kifahari, regardless of how they are getting their income! what matters is end result and not the process. big up wachagga wote walioenda nyumbani this time na waliobaki mijini. haters mtajibeba!
ReplyDeleteI like this. BIG UP CHAGGAS!
ReplyDeleteMimi nachosema hapa sio ukabila tunajaribu kuwarekebisha hao wanaosema uchagani kuna umasikini kuna sehemu za tanzania ambazo hao watu walitakiwa wazizungumzie kwa umasikini.Naomba hao watu wakatembeleee vijiji vya uchagani waangalie kulivyo halafu warudi pale dar waende nje ya mji ndio watoe majibu.Mimi narafiki aliyekwenda uchagani kwa ajili ya msiba yeye alikuwa sio mchaga lakini aliporudi dar akaniambia sasa amejua kwanini wachaga wanaendaga kwao ni kuzuri hakuamini kuwa ni kijijini,naomba hao wanouzungumza waende nao wakaone.umeme uko vijiji karibia vyote nyumba iwe ya udongo au matofali ina umeme.
ReplyDeleteNATENA NA MKOME KUJADILI KUSU WACHAGA KWANI SISI NDIO NGUZO TZ
ReplyDeleteKTK VIJIJI VYA MIKOA YOTE UCHAGANI NDIO KUNA MAENDELEO
NANYIE MSIO ENDAGA MAKWENU JARIBUNI KUKUMBUKA MLIKUKO TOKA NAKU WASALIMU WAZEE WENU
Nenda East,West,North,South but olwayz chagga is the best n we will still be da top.Eti mnaosema chaggas hawajisoma mshindwe ivi kweli hapa Tanzania kuna mkoa ambao unashule nyingi kuliko kilimanjaro..?4 sure chaggas 2dumishe ushirikiano,Amani upendo na furaha alwayz.Nawatakia ol chaggas maandalizi mema ya X mass n New Year 2010..
ReplyDeleteMdau,
India.
NI KWELI KABISA WACHAGA WAKO JUU KWA SABABU HUYO MDAU WA MIGOMBANI ALIWAKUTA WACHAGA SHOW ROOM KUTOKA KILEMA NA MARANGU WAKINUNUA MAGARI YA KUENDEA MOSHI NA SIO KWAMBA ALIWAKUTA WAKINUNUA BAISKELI AU BAJAJ INAMAANA MPAKA HAPO AMESHAONYESHA WACHAGA WAKO JUUUUUUUUUUU NAWAPA BIG UP.
ReplyDeleteMIKOA MINGINE NYUMBA NI NYASI TU HUKO KWAO NENDA UCHAGAN KAMA UTAONA NYUMBA ZA NYASI.
ReplyDeleteNyie mkubali wachaga tuko juu na tunasaidia sana kwenye uchumi.Angalienine Arusha mahotel yote makubwa Kuanzia Ngurodoto nakuendelea ni watu gani hata juzi kikwete kaenda kufungua hotel mpya kubwa ya kitalii arusha ni ya mchaga mnasema nini nyie watu unataka kuniambia mtu atajenga hotel ya mabilioni halafu asiwe na maisha mazuri kijijini kwake wachaga oyeee.Nakumbuka babu yangu aliwahi kusema kwanini Kilimanjaro kusiwe na raisi wake. hahahhahah
ReplyDeletebrother misupu umeyabania maoni yangu kwenye topiki hii,ila mimi ntaendelea kukoment tu,sikati tamaa wala nini
ReplyDeleteMIMI NINAMUUNGA MKONO MDAU WA MWISHO.
ReplyDeleteJARIBUNI KUTEMBELEA UCHAGGANI MUONE PALIVYO. SIKATAI KUWA KUNA MASIKINI LAKINI WALIO WENGI NI MATAJIRI. KWAMFANO NYUMBANI KWANGU KIJIJINI UTOKI NJE KUJISAIDIA LAKINI DAR MPAKA UNAOGOPA INABIDI UKOJOE KWENYE NDOO AU KWENYE CHUPA, KWA SABABU CHOO KIPO MBALI.
Sisi wachaga na watani wetu Wapare maarufu kama waparisi, tutaendelea kupigana kiume katika nyanja zote, hata kama mnakasirika,mnatusema na kutuchukia.
ReplyDeleteKila mchaga na mparisi( mpare) tukutane Kilimanjaro tupange mkakati wa kuingia mwaka mpya kwa kishindo na sikuikamata Tanzania tu bali hata Africa na dunia kiuchumi.
NOT ONLY STUPID DEBATE, BUT ALSO NON-SENSE.
ReplyDeleteSIGNALS THAT TRIBALISM IS CREEPING IN TANZANIA
TOMMOROW YOU`LL DISCUSS, KWERE, ZARAMO, MASSAI ETC, WHERE ARE WE GOING?
AUTHOR, TRY TO ELIMINATE ALL COMMENTS WHICH WILL PROVOVE UNNECESSARY DEBATE.
mi nashangaa sana kweli watu kabisa na akili zao wanasema Moshi kuna umaskini.Hembu twende taratibu tukicompare Moshi na jiji kama Mwanza.Tuanza na usafi yani mi sijaona watu wachafu kama wasukuma mjini kuchafu maisha moshi tumeshinda mara nyingi kuliko mji wowote ule.twende kwenye starehe niambieni kuna hoteli ngapi za kitalii pale mwanza utaanza na tilapia sijui yaaani za kuhesabu.twende kwenye vyuo vikuu mwanza si kuna nyegezi na ina branch mbili tu. moshi KCMC, USHIRIKA,MASOKAMoshi ambao ni mji mdogo hata sio hadhi ya kuwa ni jiji mi nikisema tu hoteli za mtaa mmoja shanty town-AMEG,SALSALNERO,IMPALA yaani hizo ni mtaaa mmoja tu.haya twende kwenye madisko mwanza kuna disko hata moja kweli ambalo linaweza kufikia LA-LIGA,au mtasema pale karibu na kirumba upuuuuzi mtupu ule wapi kwingine. Mi kweli maendeleo gani nyie mnayozungumzia sasa mi mbona sielewi!!!!sema one thing i have to admit ni kwamba mwanza kuna opportunities ila wasukuma wamelala sasa.wajinga wakubwa.NI HAYO MTU WADAU
ReplyDeleteBASI NDUGU ZANGU MJADALA HUU NIMEUFUNGA RASMI.
ReplyDeletehuo ni wivu tuu wachagga wachagga mbona hamtaji makabila mengine?? nyie kina shomile nilienda bukoba hakuna nyumba tumigomba visivyo na afya na vinyumba ya udongo kwa kwenda mbele ubishoo wao ni hapo dar es salaam tu kwao maendeleo sifuri mtuache tuko juuu sana mwewe akiwa juu huona kuku mweupe kwanza
ReplyDeletemanka wa canada
NIKELI KABISA MIKOA MINGI NYUMBA ZAO NI ZANYASI NENDENI KWAWACHAGA MKAOSHE MACHO KWANZA HALIFU MKIRUDI MAKWENU MKATOE ZILE NYASI ZENU
ReplyDeleteNATENA SISI WACHAGA MSITUCHEZEE KABISAA KWASABABU MNAZO ZIJUA NYIE TUKIWAKAMATENI SIMNAZIJUA ZETU?NILAZIMA MLIPE KWA DAMU TU
Precision Air (Kumbuka ATCL ni kama haipo), IPP Media (kumbuka TBC ndiyo juzi tu imeanza wakati ITV ilikuwepo tangu 1990), Mahoteli yote Arusha, Maduka yote Tanzania... and the list goes on.
ReplyDeleteAnyway, Moshi Vijijini hakuna tofauti kubwa sana na Uzunguni, kwa asiyejua.
Cha kujipa moyo ni kwamba walichofanya wa Chagga kinaweza kuwa achieved by any other tribe... with application and a lot of effort
Nyerere alisema..."hata watu wengine wanazungumza zungumza ukabila....''
ReplyDeleteHaiweki tofauti kama wewe ni mchaga au mmasai ,we are Tanzanians and everybody has equal opportunity to make it there.Tabia mbaya kuita wengine wezi ,maskini .... nonsense,upuuzi mtupu.Pigana utoke,kwani kuna wangapi wanafanya bisahara wametoka na sio wachaga,wangapi wamesoma na wametoka sio wahaya!au wengine wanatafuta visingizio,nonsense!
Kuna watu wana sema wachagga wamejenga vijijini, wangejenga mjini wangepa hela.. Ebo..huu ndio ujinga wenu.. utapataje maendeleo vijijini kama huna nyumba ya kudumu? Utawekaje umeme kwenye nyumba ya nyasi? Waziri mkuu Pinda amekwenda mikoa ya kusini aka sisitiza wajenge nyumba za kudumu iliserekali iwapatie umeme... By the way, wachagga wamejenga kila mahali mjini na vijijini....check Dar na AR
ReplyDeleteMimi sijakataa mko juu...Ila swali langu kubwa ni kuwa hivi hizo nyumba ambazo mnajenga halafu hamkai ndani..ni kweli ati ni kwasababu mnafuatwa na majini kwavile nyingi ni zinatokana na damu za wenzio? hilo nimelisikia mwenyewe tena toka kwa Mchagga wa Rombo maana nilifika kwao wanakaa kwenye kijumba cha manyasi wakati kuna gorofa..akasema hapakaliki humo...!! Hebu kuweni tu wakweli..si suala la ukabila hii ni discussion tu..sisi wote ndugu..!! Mbona hamkai kwenye hizo nyumba? Hilo ndo linanikera..!!
ReplyDeleteMdau-USA
unajua tatizo la wachaga ni wakabila saana na ndio wanatulet down yaani wachagga wanatia kichefuchefu kama wahindi yaani sometime wangependa hata wawaoe wasichana wao wenyewe cos wana mlengo wa kushoto so hio sio ukabila ila ni kwamba wachaga mbadilike muache masuara ya uchaggalism na muwe na ushirikiano na makabila ya though wahaya wanasema wanajisikilizia lakini wana work hard kuji mix na makabila mengine, na huo ukabila sio siri one day something inaweza kuhapen
ReplyDeletewachagga plse chenge you need change bado mpo kwenye kalne ya zamani sasa hivi makabila yote yamesoma na hilo mnatakiwa mlitambue hilo so muache dharau ili tz iwe nice place to live
thanks
mdau Wed Dec 23, 08:32:00 PM:
ReplyDeleteHakuna aliye pinga ya kwamba makabila yote TZ yana wasomi. To be honest with you, Wazaramo wengi probably wamesoma kuliko wachagga. Usomi siyo issue tena TZ, the issue is; una itumiaje hiyo elimu kupata maendeleo. Wachagga wanatumia vyema elimu especially kwenye mambo ya biashara. Moreover, their risk takers.
Msangi kutoka Same.
Mau wa mwisho unakosea kumbuka wanawake wakichaga ndio wengi wameolewa na na viongozi nani asiyependa kumuoa mchaga wanaamini watapata maendeleo.wachaga hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Merry X-mass
ReplyDeleteHEMBU MSITULETEE UPUUZI WENU SIMMETAKA WENYEWE MAMZOZO?SASA SHANGAENI NIWANGAPI WAPO NA MAKOPYUTA?MAANA WALIO CHANGIA KWENYE HII MADA ASILIMIA KUBWA NI WACHAGA HiHii!!kyeuwiiiiiiiiiMSITU CHEFUE SHAYO EBUNILE TEE MBEGE YANGU NINYWE
ReplyDelete..nyiye semeniiii, mmalize..sijuwi kahawa, sijuwi unifesti, sijuwi machine tools, sijuwi wezi nk..ILA mademu wa kichagga, mwake sana!!!..utajiri wa achagga umehama tokea kahawa kuja know-how kuja sasa know-who ya ma-dada zao..mko juu, mae!..anzia makapuku hadi viongozi wa ktaifa wote wamenasa hukohuko: machame/marangu/rombo..ma-miss tanzania weengi..flora/shose, nani nani..ata ankal alikuwa huko majuzi..taire wadau hebu nifumbulieni siri hii..
ReplyDeleteHivi wee Anonymous, Wed Dec 23, 03:21:00 PM,
ReplyDeleteUmeenda kijiji cha wapi cha wakinanshomile? Hawa jamaa nshomile,pamoja na kujulikana wasomi wa PhDs nchi za Marekani(USA),Ulaya, Japan na Australia,wamejenga nyumba za ajabu vijijini. Wakina Malinzi na wengine huko wamejenga nyumba sio za mchezo vijijini,utafikiri umefika mbinguni. Sijui huyo anonymous ameenda kwa akina nshomile wapi? Hao jamaa walio nje ya nchi,wamejenga nyumba zao za ajabu vijijini na na hapo Dar kwa ajili ya kufikia. Pia,kila ninapoenda nchi za Ulaya au US,sijaona mhaya ambaye hajagusa shule hasa wanaume kwa kweli. Kabila hili kwa Elimu,hata na Nyerere alisema kuwa wahaya ni mwisho kwa Elimu. Kila mtu anataka kuwa na PhD akatambe kijijini kwake-:)ahahah...Hawa jamaa,kuna baadhi yao wamefanya kazi Idara za Marekani. Husicheze na kabila hili aisee.
muhaya mchumba tuu kwa mchaga mbona inajulikana kitambo na muhaya anadondoka misaluti kibao tuuu daaa nyie vp mmelogwa?
ReplyDelete