Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Tanzania (KKKT), Alex Malasusa, akimpa baraka mtoto Sarah Moradi mara baada ya ibada ya Krismasi iliyofanyika kwenye kanisa la Azania Front jijini Dar leo.
waumini wakitoka nje baada ya ibada ya Krismas kanisa la Azania Front jijini Dar leo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani mimi niko UK nimeshangaa kuona wazungu hawaendi kanisani yaani leo wote wako ndani.tujiulize kuna nini?hawa ndio waliotuletea ukristu Africa hata malkia sijamuona akiwa kanisani.
    tutafakari

    ReplyDelete
  2. Huyu dada mwenye kitenge mbona amefanana na Irene Mcharo mama mke wa Julius.Watu kweli wako wawili wawili duniani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...