Home
Unlabelled
MR II apiga VETO dar na kuteka jiji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
big up kaka sugu, kiukweli unatisha
ReplyDeleteukumbi ulifurika si mchezo.nimeskiliza cd yako naendelea kukukubali
ReplyDeleteMnyonge mnyongeni haki yake mpeni,kwa ukweli sugu aka mr 11,wewe ni kiboko,yaani watu walikuwa wengi sana,yaani nilifikiri umeondoka siku nyingi kwenye game utakua hovyo,but haaa! umenipagawisha na umewapagaisha watu,GOOD JOB BRO!album ya kumi bado uko moto aah wewe kiboko.
ReplyDeleteHata kama clouds hawatopiga nyimbo zako,usikonde kaka tutanunua album na redio nyingine watapiga muziki wako tu kaka,usikonde.
ReplyDeleteasante asana kaka, lakini hawa vijana wa sasa ambao wapo kwenye game hivi wanajua kuwa wewe ndo chachu ya wao kufika hapo walipo?! coz without u bro i dnt think if thy'd b thr today..
ReplyDeletemuch respect kaka