Bro. Michuzi, kwanza hongera kwa kazi za kutuhabarisha. Samahani naomba uiweke picha ya Mdogo wetu Daniel Richard wa Mwanza anayetarajia kutimiza miaka mitano (5) tarehe 21/12/2009. Mungu akuzidishie afya njema na amani yake itawale.

David, Doreen & Doris.
Isamilo Mwanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongrera Master Daniel na Mungu akuzidishie afya njema.

    ReplyDelete
  2. Richard KilimbeDecember 21, 2009

    Mungu ni mwema, Hongera Mater Dnny

    ReplyDelete
  3. KYANDO, N.Y.December 21, 2009

    Halo Danny,
    Hongera sana sana na Mungu akuongezee maisha marefu !!

    Nanyi wazazi, hongereni sana kwa malezi mazuri kwa mwanenu, ongezeni bidii ili tuweze kupata viongozi wa kesho !!

    ReplyDelete
  4. hongera Dany unastahili kuanza form one keshokutwa km sio la kwanza. ISRAEL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...