Vijana wadogo wakiume wakivuka barabara ya Madaraka karibu na mzunguko wa mnara wa saa mjini Morogoro wakiwa na kuku wao mkononi wakielekea kuwauza kwa wateja ili kuwezakujipatia fedha zitakazowasaidia kununulia mahitaji muhimu ya siku kuu ya Chrismas na mwaka mpya. Picha na mdau John Nditi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. masikini kuku yule yuko kwenye safari yake ya mwisho ya maisha yake duniani,yaani kifo chake ni muhimu sana kwa furaha ya mwanadamu!!!
    haaaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...