
Kaka kwa heshima kubwa naomba msaada wako wa kuijulisha jamii ya kitanzania kuhusiana na tovuti yao ya
inayohusiana na kuuza magari,hii ni tovuti isiyo na gharama kwa mtanzania yeyote anayetaka kuuza gari lake kupitia humu,anachotakiwa kufanya ni kujisajili na kuweza kutuma picha na maelezo ya gari lake bila gharama yoyote.
Sisi tumechagua njia hii kuwatumikia watanzania wenzetu kwa maana tunaamini Tanzania itajengwa na wenye moyo. Hivyo basi tunapenda kuwakaribisha jamii nzima ya kitanzania kutembea tovuti hii ambayo inapatika katika lugha ya KIINGEREZA NA KISWAHILI.
Tunatanguliza shukurani kwako Mh
Magaribeipoa team.
Tunatanguliza shukurani kwako Mh
Magaribeipoa team.


ni wazo zuri sana na ninashukuru kwa jambo hili, maoni yangu naweza kusema msiishie kwenye magari tu, kuna vitu kama nyumba pia haswa kwa watu walio nje ya nchi wangependa kununua nyumba sasa shida inakuwa uelewa..
ReplyDeleteukisikia kubaniana riziki ndio huku, sasa sie wakina www.tzadverts.com tukale wapi, polisi au?
ReplyDeleteGood stuff - very impressive. You may wish to immediately extend it to real estate...
ReplyDeletekweli bongo tambalale hatu pamoja na kukaa kwangu nje sijawai ona site kama hii,wazo zuri sana,website ni nzuri sana na kazi ni nzuri.asanteni
ReplyDeleteNJE YA WAPI AMBAKO WEWE UMEKAA NA HUJAONA SITE KAMA HIYO, NCHUMBIJI? MBONA ZIKO KIBAO SITE KA HIZO HUKU NJE, SI JAMBO JIPYA, ZIKO SITE NYINGI TU UKIENDA U.K, U.S.A, CANADA, JAPAN NA NCHI NYINGI TU. THAT IS COMPUTER BASED, KUNA NCHI PIA HATA KWENYE TELL HUWA KUNA VITU KAMA HIVYO, MAGAZETI YA BURE, NI KITU CHA KAWAIDA TU.
ReplyDeleteGood job, love ur site so far...mueke na real estate pia...na tzadverts watakula police kwasababu matangazo yao hayana tarehe. hujui nyumba imepostiwa leo au miaka imepita.. kwa nyumba ni muhimu kuweka hiyo nyumba na watu kujua iko kwenye market siku ngapi. na nyie mkijitahidi mukaweka hayo maelekezo mutapata watu wa kuaminika.
ReplyDeletena kama nyie matakua ndio wakucontrol site mjitahidi kuondoa matangazo ya watu wasioweka asking price. mambo ya bei ni mawasasiliano hayana mpango siku hizi tz na sio watz tu wanaotafuta nyumba, watu wengine wanapenda kuona nyumba, iko wapi ni bei gani waangalie na huo mtaa nyumba zake zina thamani gani kabla hawajaanza kuongea.
Upuuzi huu wa kubaniana riziki ni nini?Ndo maana hatuendelei wewe kama una site pia advertise then the best service itamtoa mjinga kwenye business hamna kitu kama kunyimiana riziki.be creative mchawi wako ni we mwenyewe lol!
ReplyDeletehiyo ndio maana ya utandawazi,hamna kubaniana riziki hapo,nimependa kazi yenu,nadhani sasa wabongo wanaanza kuchangamka.
ReplyDeletesite ni copy and paste na kuedit kidogo.mlioko mitaa ya obama mnanielewa
ReplyDeleteMnaposema magari bei poa mi nilifikiri ni bei poa kweli, lakini kwenda kuangalia naona gari za Tshs 46 million! Hiyo bei poa iko wapi hapo?
ReplyDeleteSuper!!
ReplyDeleteLANDCRUISER YA 2000 SHS MILLIONI 46??? A TEN YEAR OLD CAR
ReplyDeleteSHS 46,000,000.00 UNBELIEVABLE. GARI KAMA HIYO UNAWEZA KUPATA KWA £2500 HAPA UK AMBAZO NI SAWA NA SHS MILLIONI TANO PAMOJA NA USAFIRI NA TAX TUKADIRIE JAMAA WATAKUUMIZA HADI IFIKIE MILLINI 15 SASA HII TIFAUTI YA NEARLY 30 MIILINI MWA JAMENI?
sifahamu sana juu ya bei za magari ya hawa jamaa wa magaribei poa ila nimekerwa sana na uongo na unafiki wao kuwa wamejitolea kuwatumikia watanzania..ukweli ni kuwa wanaganga njaa kama vile watu wengine tu,si kwamba wanawatumikia watanzania bure bila wao kupata faida
ReplyDeleteukitaka gari we agiza UK.BEI POA HUKO. MILLION 15 HAD 20 UTAPATA GARI USAFIRI, NA USHURU.
ReplyDeleteSasa wewe MKE uongo wa hao magaribeipoa upo wapi?hata kama kama na wewe una gari na unataka kuliuza unaweza kutumia mtandao huu,kama utapata mteja na kuliuza hauoni kama utakuwa umepata msaada mkubwa wa kuuza gari bila gharama kutoka kwa hao wanaojiita magaribeipoa,ndugu mbona unakurupuka na kutoa komenti za ajabu,
ReplyDeletekwa taarifa yako katika maisha kila mtu anaganga njaa kwa kila jambo alifanyalo,sema wenzio wanaganga njaa kwa kutumia akili zaidi,hakuna kutumia nguvu tena,wewe ni loser usiyejua dunia inaendaje.
Hizo barabara zenyewe ziko wapi?Ni miujiza mitupu magari bei poa na hapo hapo barabara nia zile za 1900 kweupe wakati wakazi walikuwa kidogo na wenye magari ni wachache.Kuna umuhimu wa feri boti tu sio magari bei poa!!!!!
ReplyDelete