Check us out and listen live at
www.mambojamboradio.com
WE WISH YOU ALL A MERRY CHRISTMAS AND A HAPPY NEW YEAR 2010

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Penina - ArushaDecember 22, 2009

    Whow!! MJ naona mnatupa vitu live poa sana

    ReplyDelete
  2. MJFM Tunahitaji Mabonanza yale tena maana huwa hapashikiki pale Soweto Jumapili tafadhali turudishieni zile raha

    ReplyDelete
  3. Hivi hawa MJFM wameanza lini mbona naona wanakasi sana? Ila web yao imesimama na jamaa wanapiga ngoma siyo mchezo

    ReplyDelete
  4. Kwa vakesheni ya X-mass hapa Shinyanga hii kitu ni bomba sana hasa ukizingatia kuwa kule nje kumedondoka aishkilimu la kufa mtu.Yaani unajifungia ndani unakula ngoma hadi Jumatatu hata kama lambalamba lingine linakuja Ijumaa kama walivyopredikt,poa tu.

    ReplyDelete
  5. Hilo lambalamba ndiyo lenyewe hata mimi nalisubiri maana naona patakuwa hapakuchi lol!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...