mdau nanihii juzi wakati wa xmas katembelea mbuga ya wanyama ya ngorongoro na karudi na twasira hizi. juu ni boma maarufu la wamasai ambalo watalii hujionea jinsi wadau hao wanavyioshi
mfalme wa mwituni akiogea kula pozi mbele ya wageni wake
geti kuu ya hifadhi ya taifa ya ngorongoro
nyati mbele kidogo ya geti kuu
na hawa ndio masela wa msituni. wababe, wana nyodo na vibaka ile mbaya. ukizubaa tu kamera ama laptop imeondoka





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hao mabwege kweli ni vibaka sana, yaani ukienda porini ujihadhari sana,kwani wanajifanya hawaogopi mtu wala nini tena ni wezi kama unavyosenma na wakali ile mbaya na kwa wanaokwenda Ngorongoro pale kwenye mlima wa kona kona baada ya kutoka mto wa mbu uwe makini wanapenda sana kutembea kwenye barabara ya lami kwa maringo bila woga uwe makini nao wanaweza kukuharibia vakesheni yako hasa kwa watoto na kina mama.

    ReplyDelete
  2. hawa wasela wanabaka laivu ni wababe si mchezo juzi juzi vekesheni hapohapo getini gari ilipaki kioo cha gari kilikuwa wazi jamaa waliingia ndani wakabeba camera kofia chocolate wakalala mbele na nusu waning'ate kama sio kuruka nje ni mabaunsa hawa lol hawaogopi mademu hata muwe kumi

    ReplyDelete
  3. mbona mnakuwa serious sana kuhusu hao baboons. they are part of the safari experience - siyo tatizo la kitaifa linalohis kitaji warnings kivile

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...