Jeshi la polisi limewatia mbaroni watu watano wanaotuhumiwa kuhusika na genge la matapeli wanaotumia jina la kimataifa ya chakula la World Food Programme (WFP) na kutapeli watu wakijifanya wanatafuta tenda ya kusaka dawa ya kuhifadhia nafaka kwenye maghala ya shirika hilo huko Kigoma.
Msemaji wa Jeshi la Polisi Afande Abdallah Mssika amewataja waliowekwa ndani kuwa ni Abdul Msangati (26), Juma Mohamed (47), Sikitu Idd (33), Emanuel Nchimbi (50) and Charles Maduki (36).
Amesema uchunguzi bado unaendelea na kwamba jeshi hilo limetupa nyavu zake kila pembe ili kuwanasa wote wanaohusika na mchezo huo mbaya.
habari kamili
BOFYA HAPA
kweli nchi ieisha yaani mpk waziri anapiga dili za walalahoi
ReplyDeleteI bet you wameshaachiwa by now kwa kukosa ushahidi. Bongo tambarare.
ReplyDeleteJamani wewe any hapo juu yaani huyu ni Emanuel Nchimbi (50) WAziri??? Haiwezekani kwani habari ingekuwa kote na angeachia ngazi
ReplyDelete